Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Mi niko pouwa. Ila majukumu yameniwekea spidi gavana. Lol.
Ila si kuwa nimepotea jumla, nachungulia chungulia kama hivi; nkiona povu inakuwa ngumu kusoma kimya kimya, lazima nigune.

ndo nilikuwa nakuchungulia hapo chini nikawa nasubiria madongo, lol!
utu uzima dawa, sasa tumewaachia wadogo zetu akina snowhite....
salama lakini rafiki?
 
weweeeeeeeee watu wana degree 5 na wanaishi na waume..... nini degree 2 bwana......
atuwache tupumuwe na waume zetu....
cc. snowhite, gfsonwin

najuta safari ya toka kwa ofc hadi hme ilinigharimu kuwa offline uzi umeenda sana huyu nlitaka akitoka hapa akasimulie.
anajiona mwanamke kumbe kiwanda cha kutototleshwa watoto. mwenzio kwa raha zake anakuj=nywa wine zake na kulala kwa starehe shida kwako wewe unayehangaika na visepe na maziwa ya watoto pampers kila saaa na milango ya hospital haikosi.

anajidai tu aje hapa aone vyeti si tu vya shule na vya kitandani dawa yake huyu namsaka huyu bwana kisha natembea uone kama angerudi kwake period. Bahati yako umenikuta mzee. ungeshika adabu.
 
te te teeee, huyu kurudi hapa tena labda usiku wa manane, lakini nina uhakika atarudi kutusoma.....
ugolikipa wake, kuzalishwa yeye, kutunza mume yeye, mwenzake anajilia tu kila anapojisikia kwa raha zake.....
kama yeye angekuwa anapendwa sana mbona siku zote hizo huyo mama mwenye nyumba hajatimuliwa?
utaishia kuwa kipoozeo tu akitoka kwa mkewe.......
 
aisee, kumbe eeh? japo kapande hapo kamenifanya nicheke mwenyewe as kuna ka-ukweli fulani ndani yake, all in all bidada umeshusha nondo na darasa la ukweli. Asante weye, be blessed
lane karibu jamvini mdogo wangu,

achana na huyu watu tunamvumilia sasa anataka kutupanda kichwani. ngoja kwanza arudi live alifikiri kusoma ndo tunashindwa ndoa. watu tupo humu degree tatu na bado ndoa ziko na 10+yrs. hubby akikutizama kama vile ndo mmetoka kufunga ndoa leo, japo nimezaa lkn kama kigori. hubby anatunzwa hadi anajiona mchanga kila siku.

wacha weweeeeeeeeeeeeeeee hebu niwekeeni ule wimbo wa dada yake mzee yusuph bana maneno semeni..
BAK tafuta huu wimbo bana mwekee huyu dasophy umburudishe manake anafikiri kapataaaaaaaaa kumbe kapatikana.
 
Last edited by a moderator:
FP just wait akirudi anakuja na uzi mpya au anarudi humu!
Daaah upweke ni hatari sana!

Ruttashobolwa, snowhite, King'asti, Kongosho, Azote.......
good job.
Chhezeya kuiba mume wa mutu weye, ambaye unamwona kwa madakika, kwa nini usichanganyikiwe ukiwa na ukame!
hapo pata picha mtoto anaumwa, halafu mwenye mume wake anasema tuwatoe watoto kubembea, lol!
hapo ndo patamu..... wewe mwananyamala peke yako, mwenzio mary brown na first family.... utajibeba
 
Last edited by a moderator:
te te teeee, huyu kurudi hapa tena labda usiku wa manane, lakini nina uhakika atarudi kutusoma.....
ugolikipa wake, kuzalishwa yeye, kutunza mume yeye, mwenzake anajilia tu kila anapojisikia kwa raha zake.....
kama yeye angekuwa anapendwa sana mbona siku zote hizo huyo mama mwenye nyumba hajatimuliwa?
utaishia kuwa kipoozeo tu akitoka kwa mkewe.......
FP nina hasira sana na mwizi wa mume wa mtu manake yaliwah kunikuta mm ila niliweza kumdhibiti na leo hii yuko anaumwa hoi kitandani.
huyu dada anataka hadi akina Blaine wahofie kuoa wasomi. anajisifuuuuuuuuu kumbe sifa zenyewe za kukata kiuno tu. mtakula na kuvaa viuno wewe na huyo hawara. ngoja nanga ipae utarudi hapa kuomba msaada.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha
mwl gfsonwin! @da sorphy ana hitaji maombi na huruma za juu!
Yani huwa na jiuliza kama mtu unajua jogoo ni wako wasi wasi wa nini?
Bila shaka ana walisha watoto wake kwanza akirudi kutoka huko anakuja na nyimbo mpya!
lane karibu jamvini mdogo wangu,

achana na huyu watu tunamvumilia sasa anataka kutupanda kichwani. ngoja kwanza arudi live alifikiri kusoma ndo tunashindwa ndoa. watu tupo humu degree tatu na bado ndoa ziko na 10+yrs. hubby akikutizama kama vile ndo mmetoka kufunga ndoa leo, japo nimezaa lkn kama kigori. hubby anatunzwa hadi anajiona mchanga kila siku.

wacha weweeeeeeeeeeeeeeee hebu niwekeeni ule wimbo wa dada yake mzee yusuph bana maneno semeni..
BAK tafuta huu wimbo bana mwekee huyu dasophy umburudishe manake anafikiri kapataaaaaaaaa kumbe kapatikana.
 
Last edited by a moderator:
FP nina hasira sana na mwizi wa mume wa mtu manake yaliwah kunikuta mm ila niliweza kumdhibiti na leo hii yuko anaumwa hoi kitandani.
huyu dada anataka hadi akina Blaine wahofie kuoa wasomi. anajisifuuuuuuuuu kumbe sifa zenyewe za kukata kiuno tu. mtakula na kuvaa viuno wewe na huyo hawara. ngoja nanga ipae utarudi hapa kuomba msaada.
si bora hata hivyo viuno aviweze?
watu kama hawa kelele tu hawana lolote!
 
si bora hata hivyo viuno aviweze?
watu kama hawa kelele tu hawana lolote!

hakya mama huyu mi nnae hadi atabadili ID ngoja kwanza tulia.
halafu utakuta mtu mwenyewe sura tu yakukopa, umbo la kuazima, kimo kanyimwa na rangi ndo kabisaaaaaaaa
halafu analeta tambo hapa kama vipi ajitokeze hadharani tumthaminishe kwanza.
 
Hahahahahahahahahahahahaha
anakuja muda si mrefu anawalisha wanae!

kumbe hata nyie mnajua kuzodoa!!
 
jamani mtoa mada ukuje pande hizi mweeeh. umelikoroga leo, ukiwa mwizi lazima uwe na kifua uliona wapi mwizi anajitapa kwa uwizi wake hadharani? sasa kimenuka usikimbie best
 
FP nina hasira sana na mwizi wa mume wa mtu manake yaliwah kunikuta mm ila niliweza kumdhibiti na leo hii yuko anaumwa hoi kitandani.
huyu dada anataka hadi akina Blaine wahofie kuoa wasomi. anajisifuuuuuuuuu kumbe sifa zenyewe za kukata kiuno tu. mtakula na kuvaa viuno wewe na huyo hawara. ngoja nanga ipae utarudi hapa kuomba msaada.
nasita kuuliza what you did here. ntabaki kuwepo gizani kwenye hili. i can see you're very angry
 
Hahahahahahahahahahahahaha
anakuja muda si mrefu anawalisha wanae!

ndo mana kafanywa kiwanda cha kutotolesha watoto mwenzie akila zake bata.
eti anaona sifa kunukiwa mikojo na maziwa kumvuja..........hahahhhaha.............wenzio wakinukia kitu cha givenchy yeye ananuka pombo atajibeba na michupa yae ya uji saa hizi.

nataka shida mie aendelee kuchanika msamba bibi tena huduma ni bure siku hizi.
 
akinaAnna ni nani?

hivi na wewe nimekubamba??
Anna alikuwa ni binti moja alinileteaga za kauleta enzi zile, sasa mie huwa mwanamke yyte anayetembea na mume wa mtu namwita ANNA
 
Back
Top Bottom