Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Kama hizo ndio digirii bora mie nisokuwa nazo. Watoto boding. Mume kachapa lapa. Ni yeye, housegerl na wine. Sa hapo kazi ya housegerl nini kama si kudeki matapishi ya bosi akishakolea wine.
mbana unamfuatilia sana huyu mama?tulia na jamaa
 
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
 
Hahahhahahahahahahaha
lakini si ukae kimya? Shida hiko wapi? Bado unamtaka? Kwani yule kakuacha?
Pole sana kuku karudi kwenye banda lake la kudumu! Watoto hawajambo?
Unamjua. Si ni wewe ulimsaidia kufuta zile sms nilizotuma humu JF eti asiadhirike. Poa lakini ujumbe umefika na lengo limefanikiwa. Yupo home, nimemwambia saa 12 jioni isimkute nje ye kawahi sa 11. Sa niwe na ugomvi tena wa ni?
 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/61237-kama-natoka-na-mumeo.html?highlight=
Huna jipya,wewe usiekuwa na degree mbona amekushinda?jana umekuja unalialia hapa,umepewa za uso ukaamua kuifuta thread

Kahonga mwenyewe wenye mtandao wakazifuta. Lakini yameisha yuko home, kusameheana kawaida. Ile ilikuwa ni sindano nilimchoma kutibu kibri, sasa kapoa sina sababu ya kuendeleza wakati keshaomba amani. Kama ulisherehekea imekulaje kwako. Kimekunukia upyaaa. Kama wa kiume kuna mwanamke anakuhitaji sana yuko huko anakeshea wine. Tatizo kajikondesha ati ndo usomi, kama unapenda zilizosinyaa mbona yupo kajaa tele na wine utapewa kila siku anajaza kapu supermarket.
 
Sophy huyo jamaa na wewe atakushinda tu,mfupa ulimshinda fisi wewe utauweza?kama alimcheat aliyefunga nae ndoa kanisani atakushindwa wewe?pozeo
 
Nakuonea huruma bidada. Kama mwenye digrii mbili yuko hivyo ninavomjua sijui we mwenye nyingi hali yako ikoje. Vp na we wine unakunywa?

hahahahahhahahahhahahhahah nilikuwa tu nasikia habari zako bi dada shosti!mzima?za maisha?
karibu!
mi naitwa snowhite
sidhani ka tushakutana popote!au?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahha
Pole sana muombe mungu akupe kuku wako hili kila siku aingie kwenye banda ulilo tengeneza.

Kahonga mwenyewe wenye mtandao wakazifuta. Lakini yameisha yuko home, kusameheana kawaida. Ile ilikuwa ni sindano nilimchoma kutibu kibri, sasa kapoa sina sababu ya kuendeleza wakati keshaomba amani. Kama ulisherehekea imekulaje kwako. Kimekunukia upyaaa. Kama wa kiume kuna mwanamke anakuhitaji sana yuko huko anakeshea wine. Tatizo kajikondesha ati ndo usomi, kama unapenda zilizosinyaa mbona yupo kajaa tele na wine utapewa kila siku anajaza kapu supermarket.
 
wewe kinakuuma nini?

Kinamuuma mwenyewe mi kiniume nini. Ye kataka digrii na wine. Na cheti cha ndoa na pete. Keshavipata. Kama kuna kinachomuuma kinamhusu sio mimi. Mimi nimekipata changu ninachokipata. Na pete navaa, ziko tele kwa masonara hela yako tu.
 
Sophy huyo jamaa na wewe atakushinda tu,mfupa ulimshinda fisi wewe utauweza?kama alimcheat aliyefunga nae ndoa kanisani atakushindwa wewe?pozeo
Azote will yu please spare me this Da Sophy
please mamii!si unajua navokupenda enh!sitaki upate shida saaana!
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahahahahahahaha
lakini si ukae kimya? Shida hiko wapi? Bado unamtaka? Kwani yule kakuacha?
Pole sana kuku karudi kwenye banda lake la kudumu! Watoto hawajambo?

Hivi kumbe ni kuku? Na yule anayekeshea wine mtaa wa kule ni kuku au mtetea? Msinchekeshe miye!
 
Kinamuuma mwenyewe mi kiniume nini. Ye kataka digrii na wine. Na cheti cha ndoa na pete. Keshavipata. Kama kuna kinachomuuma kinamhusu sio mimi. Mimi nimekipata changu ninachokipata. Na pete navaa, ziko tele kwa masonara hela yako tu.
tusalimiane kwanza sophy banaa!
 
Back
Top Bottom