TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
ngumbaru kimada hahhahaha! TIMING, njoo kamanda mi natamani ucheke hapa. akili ya kikong'ota!
kamanda acha kabisaaaa, mwezi wa toba huu, naiona hiyo ndala inavyohangaika kuvuka mlango wa chooni japo ifike chumbani
hebu isugueni tena mtumie brashi la choo itakate, wageni wakija chooni basi waivae, wakiondoka waiache hapo hapo.... ikishatumika mwezi ianikeni juani iondoe harufu
kwi kwi kwi kwi kwi....