Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,762
- 26,051
mkuu wazungu wengi ndio wamerudi kwenye hii kazi hasa baada ya kampeni ya serikali kubinya fedha za kujikimu.Nesi hatakuwa ni mweusi, wazungu wanasua sua kwenye hizo kazi ingawa kuna pesa na realible.