Diaspora hawapendani

Diaspora hawapendani

Jiulize kitu kimoja huyu mange anavyopenda kujionyesha akila burger tu atapost leo hii awe na nyumba ya $1m aache kuionyesha? hata kama iko kwenye matengenezo asiionyeshe huyu mwanamke si mzima nawaambia. Hana cha nyumba wala ushuzi anapanga kiapartment cha uswahilini na ndio maana hawezi onyesha picha za anapoishi.. Mtasubiri hiyo nyumba mpaka mwisho wa dunia bytheway nyumba ya $1m LA ni nyumba chovu sana kwa watu tunaoishi marekani na kuwa LA mara kwa mara tunajua nyumba nzuri LA unapata kuanzia $5m na hiyo ya kawaida maskini anaita wenzake maskini wakati yeye hapa ndio anaonekana maskini mpuuzi sana huyu mtu

Na nyumba ya milioni moja Marekani ni ya kutambia? Really?

Na kwa mtu anayejua uchumi hawezi kununua kijumba cha dola milioni moja L.A.

Hupati value for money hapo kwa sababu unacholipia ni jina na/ au eneo lakini si property yenyewe kiuhalisia.

Dumb wasteful spending.
 
Yaani upumbavu kweli:

Matajiri wa KUZUNGU - yaani Uzungu ni sifa nyingine zaidi ya utajiri. Katika market ya Fort Lauderdale nyumba ile ya vyumba viwili tena ya kizamani sana (1967) iliuzwa kwa $235,000 tu halafu mtu anasema ni sehemu ya matajiri wa Kizungu tu. Anaweza kuwa ana point nyingine lakini hiyo juu inamdiscredit kabisa.

Sasa akarudi ana correct kwamba kakosea address nyumba yake imejengwa 1959 haha Mange umeishi kwenye nyumba ina umri zaidi ya babako mzazi? halafu unatwambia wewe tajiri? ebu kalisha vimatako vyako vya scones chini fasta
 
Ana chuki mbaya aisee, kuna siku aliweka ugonjwa wa miguu kwenye blog yake, eti wenye miguu minene ndio wanaougua huo ugonjwa, akaweka miguu ya ZARI na kusema wifi yenu mnamsifia ana miguu mizuri kumbe ugonjwa huo kaubeba. Dah. nilishangaa siku nzima unawezaje mchukia binadamu mwenzio naman hii tena hata hamjawahi gombana? Mange hapana aisee, hivi hakuna mpare atuambie maana ya hili jina? au kapewa la kimakonde upande wa mamake tupewe tafsiri yake please pengine jina ndio tatizo sijui ni masumbuko, chuki, mwehu au ? Loh.

Mange kwa lugha yetu ni kichaa tena yule sugu
 
Kwenye blog yake tangu aachage kupitisha facts zinazomwagwa na kufungia watu wasiingie ndio nilijuaga kuna kajitu hakako ok, anajifanya anajua ila akiona wasemao facts za kumvuruga bichwa anawatema ili aonekane yupo juu kwa wale wanaomshadadia.

Na wengi wanaingia kusoma, hata likes zake kwa topic nzuri familia walianzaga kumchunia...inaumaje hapo basi

Mwimbo wa mdogo mdogo wa D unamuhusu sana....
zingifuri ungenichambia huyu njiti ningekuoana wa maana sana.
 
Last edited by a moderator:
As I said most of rich people are living there.. Sijasema billionaires hawapo pia

And I mostly appreciate ATL kwenye upande wa Real Estate ndio maana nikawa namshangaa huyu binti anavyoidharau ATL kiasi cha kuifananisha na Shinyanga

Atuwache wasukuma wa Shy, hatuombi ugali kwa mtu.
 
Na nyumba ya milioni moja Marekani ni ya kutambia? Really?

Na kwa mtu anayejua uchumi hawezi kununua kijumba cha dola milioni moja L.A.

Hupati value for money hapo kwa sababu unacholipia ni jina na/ au eneo lakini si property yenyewe kiuhalisia.

Dumb wasteful spending.

Si kaja juzi juzi haelewi kaona kafika masikini ya Mungu hajui $ million moja LA ni kaji apt ka 2bedrooms tena ushenzini huko but all in all hajanunua nyumba huyo mwanamke believe me when i say that.. kwa mashauzi yake ya kijinga nakwambia angeonyesha kama alikuwa anaonyesha viwanja sijui mbweni havina hata nyumba leo asionyeshe nyumba kwenye mtaa wa wazungu weusi ni yeye na mtoto wake tu khaa mwanamke swaini huyu
 
Awe kanunua au hajanunua....ain't nobody gives a shit.

What got me the most is her bragging about the supposed lack of black people at her son's school as if that is a badge of prestige or something.

That just goes to show you what a dunderhead she is.

I know a whole bunch of trailer parks which there is not a single black person living in them.

So what's the big deal really if not just downright nincompooping, to coin a word!
 
Unaweza kuwa sahihi.. Haya ni maelezo yake .

Then in 2004 nilijiunga na AVU-UDSM ambapo nilipata degree yangu ya Business Administration na sasa nipo Dubai nasoma Masters(MBA)

Mostly nimekulia Dar-es-salaam.

source : BC EXCLUSIVE: MANGE KIMAMBI’s TELL-IT-ALL INTERVIEW - BongoCelebrity

AVU ilikuwa ni African Virtual University ambayo sina uhakika kama bado ipo. Ilikuwa inatumia majengo ya computer science hapo UDSM na hata Director wake alikuwa ni Profesa wa hapo UDSM- nadhani Profesa Mwinyiwiwa. AVU siyo sehemu ya UDSM na wala haitambuliki kama AVU-UDSM. Wenye elimu ya kuungaunga utawajua tu, wanapenda sana kujikweza kielimu.
 
Hiyo AVU itakuwa ni moja ya zile diploma mills.
 
Cant believe great thinkers mnamjadili huyu mama na kujitetea na vipato vyenu. Hahaha.
She aint even working!
 
Una uhakika hakuna wealthy people ATL?

Unajua kuna Forbes billionaires wangapi ATL?

Wealth kwako ni kuanzia dola kiasi gani?

Soma hii profile kutoka Forbes:
Source

GDP ya Atlanta ni kubwa kuliko ya Miami. Ni kubwa kuliko ya Czech Republic, Ireland, na Algeria.

Hapo tunazungumzia mji tu na si jimbo zima la Georgia.

Soma na hii:

That is nothing to sneeze at.

Thank you for this HATA MERCEDES BENZ HEADQUARTERS ZAKE ZIMEAMISHIWA HAPA
KUTOKA NEW JERSEY. PORCHE NAZO HEADQUARTERS USA NZIMA ZIKO HAPA, CARTOON NETWORK ZIKO HAPA, HATA MASTERS GOLF CLUB THE HIGHEST AND CLASSIEST HIPO HAPA MJI WA AUGUSTA TIGER WOODS VISITS IT NA ANACHEZA GOLF HUKO..... And your AWARD WINNING FASHION DESIGNER LB APPAREL ANAWAKILISHA TANZANIA KWENYE JIJI KAMA HILI LENYE MAENDELEO YA KASI SANA LOTS OF HOLLYWOOD CELEBS OWN HOUSES HERE KUNA COUNTRY CLUBS ZA KUFA MTU.
 
Jiulize kitu kimoja huyu mange anavyopenda kujionyesha akila burger tu atapost leo hii awe na nyumba ya $1m aache kuionyesha? hata kama iko kwenye matengenezo asiionyeshe huyu mwanamke si mzima nawaambia. Hana cha nyumba wala ushuzi anapanga kiapartment cha uswahilini na ndio maana hawezi onyesha picha za anapoishi.. Mtasubiri hiyo nyumba mpaka mwisho wa dunia bytheway nyumba ya $1m LA ni nyumba chovu sana kwa watu tunaoishi marekani na kuwa LA mara kwa mara tunajua nyumba nzuri LA unapata kuanzia $5m na hiyo ya kawaida maskini anaita wenzake maskini wakati yeye hapa ndio anaonekana maskini mpuuzi sana huyu mtu

Na hawezi kununua nyumba hata ya dola laki mbili kutokana na income Yake hawezi kupata mkopo na Hana kazi . Ata subiri sana
 
Mange anasema hamuwezi kujifananisha na wa daslamu teh teh kawadharau sana wasukuma huyu

Ni kweli karusha dharau sana, labda kaachika na bwana msukuma. Waliokulia Dar wengi wao wananiuzi sana utadhani sijui wao ndio bora zaidi ya akina namasie.
 
Duh...Hivi huyu dada kafika Los Angeles juzi juzi nini? Maana nina M/washikaji zangu wako Los Angeles kuanzia Pasadena (Rich City) mpaka Santa Barbara na wamekaa huko miaka zaidi ya kumi.Hawa watu wametuliza maisha na wanajilia taratibu vya kwao bila kele..sasa huyu dada labda kafika juzi juzi basi tu kelele nyingi.Kweli binadamu tunatofautiana.Kazi kweli kweli!
 
Mtu yupo majuu kutwa kuchwa analia na mafanikio ya wenzie East Africa.
Anasema hamna mtz anayesomesha mtt chini ya miaka mitano ila yeye USA nzima.
Mie nadhan zile sembe alizokua anauza mzee wake na huyu alikia anarambishwa sio bure

Ha ha ha!
 
Back
Top Bottom