Diaspora hawapendani

Diaspora hawapendani

So what unaishi karibia na Beverly hills kama una mbavu katingishe mbavu zako kwa Kanye West na Kim Kardashian maana ni majirani zako

Kumbe jirani yake Kanye West! Mbona jamaa ni mweusi sana aisee, Au weusi wa kitanzania ni tofauti na weusi wa sehemu nyingine? Aisee kweli nimeamini mange mropokaji.
 
Hhhhaaaaaaa itakua blacks wa mbele ni wazungu
 
Kumbe jirani yake Kanye West! Mbona jamaa ni mweusi sana aisee, Au weusi wa kitanzania ni tofauti na weusi wa sehemu nyingine? Aisee kweli nimeamini mange mropokaji.

Hapo sasa kanye ni m mweusi tena ebony afu yeye ooh Mara wazungu wazungu . Wazungu my a**
 
Yani huyu mwanamke ni mental case kabisa.
Kwanza kabaya,
Pili kana chuki na miwivu
Tatu ana uahamba fulan usioisha chaaa!
Ni wa kihurumia.

Ana chuki mbaya aisee, kuna siku aliweka ugonjwa wa miguu kwenye blog yake, eti wenye miguu minene ndio wanaougua huo ugonjwa, akaweka miguu ya ZARI na kusema wifi yenu mnamsifia ana miguu mizuri kumbe ugonjwa huo kaubeba. Dah. nilishangaa siku nzima unawezaje mchukia binadamu mwenzio naman hii tena hata hamjawahi gombana? Mange hapana aisee, hivi hakuna mpare atuambie maana ya hili jina? au kapewa la kimakonde upande wa mamake tupewe tafsiri yake please pengine jina ndio tatizo sijui ni masumbuko, chuki, mwehu au ? Loh.
 
Ila hua anachekesha sana na mgazeti yakee mim siku hiz nishamzoeaaa
 
Bali anawaumiza sana anaowaanika kwenye magazeti yake kwa kuwa watu wana ndugu wanaoziona hizo kashfa, yeye alibwatuka kweli alipotukaniwa bhoke na flora, akadai kutukaniwa mtoto inauma, yeye hakomi kawaleta wa shamimu eti wamepauka, juzi tena kaja na mtoto wa mboni eti uwiii mtoto wa chifu kiumbe eti maskini mtoto mamake hasemi ubini wake, sasa hii ya nini? Mange iko shida.
 
Acha wakosanee sie tucheke banaaaaa
 
Acha wakosanee sie tucheke banaaaaa

Na kweli, walishatamba sana wadada wa mujini wanaojua kutumia pesa vikundi kutwa mara diner kempisk, mara week end mbudya na watoto wao, mara lunch kwa fulani leo ktwa vigroup kama watoto wa primary na vikundi vya rede, leo michambo mtelezo kazi kubwa Eduction is sex, ovyo kube sasa education is EX.
 
Alizaaga bahati mbaya huyo hhhhaàaaaaaa

anatamani ampake rangi awe mweupe
ila inatia hasira ujue we uko ulaya mmeo ana hela bado unauza nguo na shedo bongo...
kwa nini usifungue duka huko huko mamtoni etiii
halafu dalili ya upathetic,inferior na ujuha ni kutojikubali na kujinasibisha na wengine kujifanya ww km wale
 
Wanawake wanaoishi nje hawatofautiani na wanawake tuliopo tz yaan waswahili balaaaa, lakin hatusikii wanaume wa Huko wakigombana gombana tu ,yaan sijui hawakutegemea kuishi Ulaya ,yaan tabu tupu,
Hongera zake kwa kuudharau weusi ,sie wengine weusi ndio roho zetu ndio zinatukuna balaaa,,,,siku nyingine linaandikaga upuuzi tuu
Huyo linda nae amuache mwenzie kila siku kumsema insta linda nae kazidi uchokozii zamani nilimtetea kanichoshaaa nae
Mi msukuma anapiga box wèeee wala yupo poa tu na marafiki zakeeee ,

Wewe, unajua Linda alimkalia kimya sana huyu njiti...
kila post mange alokua akipost alikua lazima amchokonoe Linda.
Yani Linda alisema hamjibu na akakataza watu kumquote kwenye mambo ya Mange.
Amevumilia sana.
Mwache amchambishe.
Anavomtukanaga kajala na Shamy anajiona bingwa sana.
 
Ana chuki mbaya aisee, kuna siku aliweka ugonjwa wa miguu kwenye blog yake, eti wenye miguu minene ndio wanaougua huo ugonjwa, akaweka miguu ya ZARI na kusema wifi yenu mnamsifia ana miguu mizuri kumbe ugonjwa huo kaubeba. Dah. nilishangaa siku nzima unawezaje mchukia binadamu mwenzio naman hii tena hata hamjawahi gombana? Mange hapana aisee, hivi hakuna mpare atuambie maana ya hili jina? au kapewa la kimakonde upande wa mamake tupewe tafsiri yake please pengine jina ndio tatizo sijui ni masumbuko, chuki, mwehu au ? Loh.

Jini makata
 
Ila hua anachekesha sana na mgazeti yakee mim siku hiz nishamzoeaaa

Mimi huwa naumia sana.
Wala sichekeshwi, siku atawekwa mtu wako wa karibu utaumia.
Atatukanwa, atafedheheshwa na wenye chuki naye watakuja kuua kwenye comment.
I say NO kwa Mange kaah.
 
Nyani Ngabu

hhhhhaaaaaashhhhaaasss
thank uuuuuuuuuu
no more arguments
hhhahahaaaaaaaw nione watu wanavyoukana utanzania na kujinasabisha na uzungu
kisa wameolewa na wazungu..
MUNGU niweke mie
 
Last edited by a moderator:
Acha wakosanee sie tucheke banaaaaa

Aah we binam nimekushindwa
Sasa wewe watu wakikosana ndo burdaaan!
Hapana Mange kazidi sana.Anajiona kama mngu mutu.
C's mom kaona hawezi uhayawani ule jamani.
Kwa kweli napenda umbeya ila ulr wa Mange una pili pili na umekojolewa na chuki binafsi.
 
Wewe, unajua Linda alimkalia kimya sana huyu njiti...
kila post mange alokua akipost alikua lazima amchokonoe Linda.
Yani Linda alisema hamjibu na akakataza watu kumquote kwenye mambo ya Mange.
Amevumilia sana.
Mwache amchambishe.
Anavomtukanaga kajala na Shamy anajiona bingwa sana.

Umenifurahisha eti NJITI, na anavyopenda shari anasubiri zari amjibu apate pa kuandikia gazeti mwenzie kafundwa kimyaaa.
 
Back
Top Bottom