Diaspora hawapendani

Diaspora hawapendani

Mi nashangaa tu mange anavyochukia weusi, oohh, hapa nilipo hakuna mwafrika hata mmoja kwani kuwa mwafrika ni dhambi? Yeye anasema mumewe hapendi kuishi huko walipojazana weusi mbona huyo mumewe ana banana na yeye mange kitandani na ushare nae maswala ya ndoa au mange kuolewa na mzungu kajiona nae mweupe? Kama mumewe hapendi hao weusi basi angekaa kimya tu mtu akimbie majirani weusi lkini kaona mke mweusi
 
Nilijiua mambo ya msingi nikaja mbio mbio kumbe ushuzi wa drama queen

jamani muswada usainiwe baasss mi nimechokaaa
 
Watajiju hata wangeishi juu ya mti ni wao....

Ngoja mie nicheke maana hata gazeti hilo ziwezi lisoma naenda kumsoma Sakafu mie

Mtu yupo majuu kutwa kuchwa analia na mafanikio ya wenzie East Africa.
Anasema hamna mtz anayesomesha mtt chini ya miaka mitano ila yeye USA nzima.
Mie nadhan zile sembe alizokua anauza mzee wake na huyu alikia anarambishwa sio bure
 
Mi nashangaa tu mange anavyochukia weusi, oohh, hapa nilipo hakuna mwafrika hata mmoja kwani kuwa mwafrika ni dhambi? Yeye anasema mumewe hapendi kuishi huko walipojazana weusi mbona huyo mumewe ana banana na yeye mange kitandani na ushare nae maswala ya ndoa au mange kuolewa na mzungu kajiona nae mweupe? Kama mumewe hapendi hao weusi basi angekaa kimya tu mtu akimbie majirani weusi lkini kaona mke mweusi

Tisa kumi anavomwita Florah Lyimo baboon akati yeye ana mtoto wake wa kike anafanana kabisa na tshaka tzulu.
 
Yaani kaandika hivyo mie simsomagi kumbe katumbuka mautumbo haya nitasoma baadae nicheke mie.

Sijui kichwa chake kinakuwaje, lol hapo ni kumaanisha kwa wa TZ wote walio USA niliona wamemcharua re anapoishi instagram I guess ndio amewajibu mgazeti huo.
 
Tisa kumi anavomwita Florah Lyimo baboon akati yeye ana mtoto wake wa kike anafanana kabisa na tshaka tzulu.

Na kutukana wenzake wanabeba mimba za majanini, bila kusahau huyo bokhe wake nae ni mimba ya majanini. Kuolewa kumemtoa ufahamu utafikiri hakua anategea hilo kwenye maisha yake.
 
Mtu yupo majuu kutwa kuchwa analia na mafanikio ya wenzie East Africa.
Anasema hamna mtz anayesomesha mtt chini ya miaka mitano ila yeye USA nzima.
Mie nadhan zile sembe alizokua anauza mzee wake na huyu alikia anarambishwa sio bure

Labda babake alikuwa anamtumia kama taster kujua sembe original or fake, jitu gani la kike linamchukia mamake wa kambo bila sababu na kutwa kujipendekeza kwa mchepuko wa babake? Hiyo familia ilikuwa na tatizo kama baba alikweza kumu introduce mwanae kwa mchepuko wake ni shiiida.
 
unajua mtu anaweza kuwa mwerevu kwenye kundi la wajinga...naona ndo yanaotokea hapa..mtu anatumia nguvu nyingi kuprove kwamba yuko juu ya wengine..kama kipo ni kipo, kama hakuna ni hakuna tu...kuandika kote huko na bado naweza kukuona bado mlalahoi tu...kama vile umejenga nyumba ya udongo katikati ya masaki ili mradi na we uonekane uko juu....
 
Mi nashangaa tu mange anavyochukia weusi, oohh, hapa nilipo hakuna mwafrika hata mmoja kwani kuwa mwafrika ni dhambi? Yeye anasema mumewe hapendi kuishi huko walipojazana weusi mbona huyo mumewe ana banana na yeye mange kitandani na ushare nae maswala ya ndoa au mange kuolewa na mzungu kajiona nae mweupe? Kama mumewe hapendi hao weusi basi angekaa kimya tu mtu akimbie majirani weusi lkini kaona mke mweusi

sema wewe....mtu kukaa kwa wazungu tupu ndo kelele zote hizo...kwani si anaweza kukaa uzunguni hlf ndo ukawa maskini wa mtaa.....yaani hajui kwanza yeye mwenyewe anaonyeshaje uafrika wake bila kujua..yaale ule ushamba wetu tipiko!!!
 
Mi nimeamini kuna mtu alisema mange kakulia uswahili kwa mamake, baba ake kamchukua kisha kua, so kwenda kuishi nyumba yenye gate akajiona tajiri, eti yeye baba ake alikuwa rafiki na kikwete yeye kacheza na riziwani hayo mwanamke anapayuka kweli. Ukitaka jua mjinga kutwa kusifia na kuwaanika wadogo zake aliochangia nao baba na kuonesha nyumba wanazoishi, wadogo zake upande wa mama hawazungumzii wala haoneshi nyumba aliyokuwa anaishi na mama ake mzazi eti huyu ndio mwanamke aliyeelimika, lohh, mambo ya ajabu kutwa kupayuka ujinga kuita wenzake malaya na wanawtoto wa majanini wakati yeye mwenyewe zao la majanini anamtukama mamake na yeye mwenyewe na mwanae juu, kweli ujinga wake ni -0. pyee.
 
hahahaaaasa
haloooowwwww
nicheke mie mwl wa primaryyy
niliyefeliii,
niliyeanza chekechea miaka tisa ,niliyezaliwa mtanzania asilia
baba,mama,babu na bibi pyua swahiliiii
ingliiish nkaikuta zanaki kwa mama mramba form oneeee
asante serikali kutujali sie walalahoiiiii
haki ya mama tusingesoma ht shule ya msingiii siee
leo ht jf nisingeijua mieee sijui ningekua sitimbi nalimaaa
haya jamani mnaoishi ulaya hongereni sanaaaa
mie ht BURUNDI sikujui hvyook
sembuse wenzetu mnaishi ULAYAAA,mmeolewa na wazungu,matajiri,mnalipa ma ada ht nifanye kazi miaka laki mshahara km huo mie siupati wa ada ya mtoto mmoja....!!

eehhh MUNGU weee niwekeee mieeeeee ....mja wakoooo
nione ya walimwengu jamani...
nishuhudie watu wanavyoishi maisha ya kwenye TAMTHILA
maskini mieer
 
Woe is me!
 
sema wewe....mtu kukaa kwa wazungu tupu ndo kelele zote hizo...kwani si anaweza kukaa uzunguni hlf ndo ukawa maskini wa mtaa.....yaani hajui kwanza yeye mwenyewe anaonyeshaje uafrika wake bila kujua..yaale ule ushamba wetu tipiko!!!

Hahaaaaa umenichekesha na comment yako. Kwani kuishi na wazungu ndo mwisho wa matatizo au? Ali haribu ni alipotukuza ngozi nyeupe utafikiri yeye ni mzungu. Watu wengine mana kujidharau tu na kuji show.
 
Hii neighbourhood haina ngozi nyeusi ati, wazungu tuuu,,,,,

Huu ni zaidi ya ushamba, upumbavu, na ulimbukeni. Pia ni ujinga na kukosa kabisa exposure.

Kwa hiyo kama hiyo hood haina watu weusi ndo nini? Umeenda kukagua kila nyumba ukakuta hakuna mtu mweusi? Na kama hakuna so what?

Just fatuous nonsense. Mawazo kama hayo yanaonyesha ni jinsi gani mtu bado alivyo nyuma kifikra.

Hao wazungu ndo unawaona wao kuwa binadamu bora zaidi au? Hawanyi hao? Hawajambi? Mashuzi yao kwako ni manukato? Asubuhi midomo yao hainuki? Wana damu ya kijani?

Jinga la mwisho kabisa. Eti hakuna ngozi nyeusi...so what bitch? Who cares?

Mie mwanangu anasoma,kwanza hakuna mtanzania anaesomesha mtoto marekani

Hiki kimwanamke kimekuja juzi tu Marekani halafu kinaanza kutoa kauli zilizo presumptuous namna hii?

Hakuna Mtanzania anaesomesha mtoto Marekani? Watanzania wote waishio Marekani unawajua? Unazijua hali zao za kimaisha?

Watoto wa nani ambao hawajasoma prekindergarten? Unadhani ni wewe tu mwenye uwezo? Yaani unajitambia kupeleka mtoto preschool? Preschool nini wewe....watu watoto wao washakuwa na private tutors wewe unajitambia preschool. Dalili za ushamba hizo.

Hujui Watanzania wote walioko Marekani. Wengine hali zao nzuri za kiuchumi ndizo zilizowapeleka Marekani.

kila mtu anasubiria mtoto afike miaka 5 akasome shule za bure….Watanzania wachache mnooo, tena wakuhesabu ndo utakuta wanasomesha watoto ambao hawajafika 5yrs

Lini ulifanya hiyo sensa we mjinga?

Halafu unadai eti Atlanta ni sawa na Shinyanga.

Seriously bitch? Ushawahi kufika ATL wewe au unaropoka ropoka tu kuhusu vitu usivyovijua?

Olympic city unailinganisha na Shinyanga? Mji wenye 'world's busiest airport' unaulinganisha na Shinyanga? Mji wenye international prominence unaulinganisha na Shinyanga?

Mji ambao ni wa tatu kwa kuwa na makampuni mengi yaliyopo kwenye Fortune 500 unaulinganisha na Shinyanga?

Mji ambao ndo makao makuu ya Coca-Cola, makao makuu ya The Home Depot, makao makuu ya Delta Airlines, makao makuu ya UPS, makao makuu ya CNN, TBS, TNT, The Weather Channel, makao makuu ya CDC, Emory University, Spelman College, Morehouse College na kadhalika unaulinganisha na Shinyanga?

Hebu vilete hivyo vitako vyako tuone kama kuna mtu utamstua na hivyo vijisenti vyako.

Vilete hivyo vitako vyako uje uone watu weusi wasomi wenye mipesa yao.

Mshamba wa washamba wewe. Ongelea vitu unavyovijua. Usivyovijua waachie wanaovijua.
 
Mi nashangaa tu mange anavyochukia weusi, oohh, hapa nilipo hakuna mwafrika hata mmoja kwani kuwa mwafrika ni dhambi?

Huo ni ushamba, ujinga, upumbavu, na ulimbukeni tu. Karne ya 21 yeye bado anaongelea mambo ya hakuna ngozi nyeusi mtaani kwake wakati White House mkazi wake ni ngozi nyeusi.

Mambo ya rangi ya ngozi yalishapitwa na wakati na ndo maana Wamarekani kwa wingi wakamchangua rais asiye mzungu.

Sasa yeye huyu nadhani kifikra bado yupo nyuma sana. Yupo karne ya 19 na 20, enzi za Jim Crow.

Kwake ni jambo la majivuno akiona mtaa anaoishi hauna watu weusi. Ambacho hakijui pia ni kuna mitaa mingi tu Marekani ambayo wanaishi watu weusi matajiri kumshinda hata huyo mzungu wake. Kwanza huyo mzungu wake sidhani kama ni tajiri.

Yeye anasema mumewe hapendi kuishi huko walipojazana weusi mbona huyo mumewe ana banana na yeye mange kitandani na ushare nae maswala ya ndoa au mange kuolewa na mzungu kajiona nae mweupe? Kama mumewe hapendi hao weusi basi angekaa kimya tu mtu akimbie majirani weusi lkini kaona mke mweusi

Anai-diss Atlanta pasipo hata na kujua. Mji una dazani ya mabilionea wa US dollar, na mamilionea wa kumwaga anaulinganisha na Shinyanga?

Ni wazi hajawahi kufika Atlanta huyo.
 
Nyani Ngabu

Kaah!
Leo umenifurahisha ukinitukana poooa tu sijali.
Sio kwa kichambo hiki!
By the way tako la mange ni kama kiskonzi, ashukuru sana yale matako yake alopandikizwa.
 
Last edited by a moderator:
Yaani upumbavu kweli:

matajir wa kizungu tu wanakaa hapo…
http://www.zillow.com/homedetails/4321-NE-13th-Ave-Oakland-Park-FL-33334/43083856_zpid/

Matajiri wa KUZUNGU - yaani Uzungu ni sifa nyingine zaidi ya utajiri. Katika market ya Fort Lauderdale nyumba ile ya vyumba viwili tena ya kizamani sana (1967) iliuzwa kwa $235,000 tu halafu mtu anasema ni sehemu ya matajiri wa Kizungu tu. Anaweza kuwa ana point nyingine lakini hiyo juu inamdiscredit kabisa.
 
Haaa jirani umeona na wewe eeh?

Huo ni zaidi ya ushamba!

Marekani ya karne ya 21 mtu bado analeta mambo kujidai kuhusu mtaa ambao eti hauna weusi.

Kwanza kajuaje hauna weusi? Kuna vibao vimebandikwa visemavyo 'For Whites Only'? Sidhani.

Yaani kwake uzungu sijui ndo nini tu. Nadhani yeye kuolewa na mzungu ni kama vile ni genetic step up.

Mara eti shule asomaye mwanaye hakuna ngozi nyeusi...I mean, so what's the big deal?

Halafu anaponda sehemu ambazo hata hazijui vizuri.

Na kununua kijumba cha bei kubwa kwenye viunga vya L.A. wala si ujanja kama unaweza kununua jumba kubwa zaidi lenye square footage ya kutosha na yard space ya kumwaga kwa bei hiyo hiyo kwenye jimbo au mji mwingine.

Huko L.A. sana sana unacholipia ni jina tu na si ubora wa kile unachokinunua.

Hao akina Warren Buffet bado wanaishi kwenye nyumba zao huko Omaha, Nebraska huku ndo matajiri wakubwa duniani.

Sijawahi kuona mtu mshamba kama huyo dada. Eti hakuna ngozi nyeusi.....hahahahahahaaaa.

Swala la rangi ya ngozi limebaki kuwa ni ishu kwa wajinga na wapumbavu wachache sana na yeye akiwa mmojawapo maana hata White House mkazi wake ni ngozi nyeusi. Justice Department nayo inaongozwa na ngozi nyeusi. State Department nayo ishaongozwa na ngozi nyeusi.

Rangi ya ngozi siyo dili. Ni ujuha tu kung'ang'ania dhana zilizokwishapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom