Diaspora hawapendani

Diaspora hawapendani

Huyu mshenzi namna alivyo na dharau anazozionyesha kwa kada mbalimbali toka USA mpaka TANZANIA kama kangekuwa chakula basi weka mbilimbi,au achali kabisa aina zote za pilipili kuanzia mbuzi,kichaa,manga na ndimu zote bila kusahau limao ili kuleta ladha ya chakula bado chakula hicho nisinge kila,kila jambo zuri lipo kwake anagombana na kila mtu anajua kila kitu. Stop acting like you know everything unless your name is Google,yoyote anae jikweza mungu humkweza tizama comments za watu wengi humu wanatoa maoni yao kukuonyesha namna tabia yako ilivyo.Huo mchanyato wako wa kuponda toka Atlanta mpaka shinyanga umejua kudharau watu na mungu nae ana sababu zake ungepewa kingi weye sijui ingekuwa mwisho kwa nia njema jua midomo ya watu si mizuri.
 
Ni kweli karusha dharau sana, labda kaachika na bwana msukuma. Waliokulia Dar wengi wao wananiuzi sana utadhani sijui wao ndio bora zaidi ya akina namasie.

teh teh teh alafu anaendelea kusema mtaa anaokaa hakuna mweusi, wala shule watoto wake wanasoma hakuna ngozi nyeusi. Sasa sijui na sisi weusi tulimfanyia nini??
 
Cultural imperialism and inferiority complex pia na ushamba mwingi.
 
Ngoja nijiendee zangu Follyies nikaburudike huku naangalia Single Ladies episode 5 na Kandy Burrus show
 
Cultural imperialism and inferiority complex pia na ushamba mwingi.

teh teh teh unajua jana uzalendo ulinishinda nikaenda kwenye hako ka blog chake.. Hivi ni kwanini anafanya vile?? Ana'attack wanawake wenzake bila hata ya aibu. Alafu ukisoma between the lines unaona anatumia fake ID's humohumo kwenye blog yake kujitetea na kujisafisha.. Only great thinkers can see that..

Kuna mtu alimshutumu alete picha ya nyumba anayojenga au hiyo apartment anayokaa au hata address lakini hilo swali likajibiwa na mtu mwingine ati ya kwamba asiweke hivyo vitu maana watamfata huko aliko wamfanyie kitu mbaya, hata address usiwape kabisa teh teh hapa nikajua tu huyo demu hana lolote hana chochote na ni ID yake mwenyewe hii. Maana kuna wakati hiyo ID inajichanganya inasema iko bongo wakati mwingine inasema iko US..

Hebu tumwache The Richest Tanzanian in US :msela:
 
hana utajiri wowote kadata na laifu ya states alidhani mteremko kama dubai shurti miwivu akiona wenzie wanakula bata halafu yeye kageuka housemaid US lazima uchambe wima!
 
acha tuu jini kisirani achambwe anajifanya untouchable sasa kwa linda break zimekatika mzaramo anamwaga razi balaa… mwanamke utadhani hajazaa anavyomchamba zari imagine na ile mimba.
na huwa mimba ni kisirani tosha halafu mtu anakuletea maudhi deile inauma sana kina roho chafu mnoo na kujidai kibabe, ubabe una mwisho kasahau dingi yake naye alijidai mbabe unalamba mke wa mjeshi halafu unamletea nyodo wee alirukishwa ukuta mzee mzimaa aliomba wamuache awape ile hoteli yae ya ritz kule mbezi majamaa yakagoma wakamwambie sie tunataka mtandao wa tigo tuu ndo utakuwa na heshima mujini.
mzee ile kitu ilimuuma mnoo alienda south africa counselling mwezi mzimaa lakini ile image ya samvu la kopo haikumtoka akaamua ajirestishe in pisi. sasa mtoto wake ndo ana hasira na kila mtu yani lile jini kisirani hii kitu inamtafuna hadi kwenye mifupa na sijui kwa nini hajifunzi kwa yaliyompata babake.
 
mi nkajua hizo hela zake katafuta mwenyewe kumbe za kidume ---- sana huyo demu akakojoe huko alale!!!
 
Huyu mange pamoja na kumuita Linda Mzee lakini hamfikii kwa uzuri..
Naona anazidi kujikondesha kimekomaa hakina hata nyama..
hakiwezi kupata nyama kilee wewee kutwa kinawaza kimuwangie nani kina wivuu hataree sasa linda ana uzee gani? mtu kalingana na zari lakini anamuita zari bi kizee bila aibu huyu alirukwa na akili ile siku dingi aliliwa samvu la kopo ebu jamani fikirieni tuu baba ako mzazi anapigwa mtungo na vidume saba uwii mwacheni adate ni ana uchungu hadi na sisimiziii hawezi kuwa sawa kamwee ile hali ya babake inamsumbua mnooo… tunajua unaumiaa ingawa nyuma ya keyboard unajidai jiwe la mtoni wapiii hadi unalia ukitoneshwa donda ndugu!
 
jamani mwenzenu anafanya diet
 
jamani mwenzenu anafanya diet
watu wanafanya diet wanapendeza mwenzangu anakauka ka ukuni kisa hakilali usiku kinakesha kinawaza kimuumize nani huwa kinashushaga post saa tisa za usiku time za kule na linaachiaga meseji saa nane usiku hadi kumi alfajiri hapo pembeni kuna mume kalala bado kuna kuamka asubuhi uande mtoto kwenda shule na mwingine anywe uji sijui hata kama anajua kuwasaidia wanae homework kutwa yuko kwenye blog na insta anatukana watu na mi id fake ati ni mke ya muzungu ptuuuuuu….. mzungu amekula loss hadi mume karudi darasani manake kaona huyu golikipa hasara tupu. hata mzungu akimuachia aendeshe nyumba kwa wiki moja watakula nyasi!
 
hakiwezi kupata nyama kilee wewee kutwa kinawaza kimuwangie nani kina wivuu hataree sasa linda ana uzee gani? mtu kalingana na zari lakini anamuita zari bi kizee bila aibu huyu alirukwa na akili ile siku dingi aliliwa samvu la kopo ebu jamani fikirieni tuu baba ako mzazi anapigwa mtungo na vidume saba uwii mwacheni adate ni ana uchungu hadi na sisimiziii hawezi kuwa sawa kamwee ile hali ya babake inamsumbua mnooo… tunajua unaumiaa ingawa nyuma ya keyboard unajidai jiwe la mtoni wapiii hadi unalia ukitoneshwa donda ndugu!

Saa izi analia lia kwenye kiblog chake.
Fans wake wamemchamba na kumtukana.Alijifanya kaivalia njuga CCm na Lowassa.
Alizani siasa ni ule utumbo na mataptap yake ya chooni ambayo huwa anajimwaya mwaya nayo mbele ya rafiki anony.
Limemshuka shuuuu
 
we unakubaliana na hiyo sheria ya shut up law,ukubali ukatae lowasa SI msafi hata kama akipita uraisi maana anautaka kwa nguvu zotee
 
anafikiri marekani mbali? naona kuna watu wamemshtua. unaharibia watu mchana kweupe unadhani wangemuacha? kapewa warning tayari ukute na yule mamake wa hiyari ndo kamshtua. watu wana hela bwana unatumiwa mafioso kwisha habari yako. aache kuingilia mambo ambayo hayajui linarukiaga ishu za watu na kuanika kwenye blog na kujifanya anajuaaa watu wanamchora tuu. kujifanya saint hapa ebu tuletee ishu ya mjeda wewe mdingi alipewa warning akaleta nyodo halafu? mbona hii story huwaambii hao mazombie wako wajue kuwa wee si mnafiki? unaanika mambo ya wenzio ilhali ya kakwako yameoza. kule insta kachambwajee??
halafu hata yule baba bhoke naye alitoaga tigo kwa hiyari enzi zilee za mabaloon yameshika kasi jamaa akanunuliwa baloon jeupe kipindi jaydee anatoa ule wimbo wa machozi jamaa likagawa tigo laivu nina ubuyu tosha wa hii scandle ya mzazi mwenzake na mange kimavi. kisa baloon tu jamaa akaliwa samvu la kopo mange huu ubuyu unaujua ebu urushe basi huko u turn umuache zari apumueee!!!
 
Mbona si lowasa tu anayeutaka urahisi kwa nguvu. Magambani hakuna aliye msafi ila Lowasa ndo wameona fisadi tu. Urahisi haupatikani kwa ulegele aisee. Hafu baada ya kunyimwa mkataba ndo akaanza kulalamika mana inamgusa direct.
 
anafikiri marekani mbali? naona kuna watu wamemshtua. unaharibia watu mchana kweupe unadhani wangemuacha? kapewa warning tayari ukute na yule mamake wa hiyari ndo kamshtua. watu wana hela bwana unatumiwa mafioso kwisha habari yako. aache kuingilia mambo ambayo hayajui linarukiaga ishu za watu na kuanika kwenye blog na kujifanya anajuaaa watu wanamchora tuu. kujifanya saint hapa ebu tuletee ishu ya mjeda wewe mdingi alipewa warning akaleta nyodo halafu? mbona hii story huwaambii hao mazombie wako wajue kuwa wee si mnafiki? unaanika mambo ya wenzio ilhali ya kakwako yameoza. kule insta kachambwajee??
halafu hata yule baba bhoke naye alitoaga tigo kwa hiyari enzi zilee za mabaloon yameshika kasi jamaa akanunuliwa baloon jeupe kipindi jaydee anatoa ule wimbo wa machozi jamaa likagawa tigo laivu nina ubuyu tosha wa hii scandle ya mzazi mwenzake na mange kimavi. kisa baloon tu jamaa akaliwa samvu la kopo mange huu ubuyu unaujua ebu urushe basi huko u turn umuache zari apumueee!!!

hhhhhahhaaaaaaaa akiujua huu wenzie wanaujua ulee
ye km mwanamke amtukane tena lowassa basss
mxiiiuuui
 
we unakubaliana na hiyo sheria ya shut up law,ukubali ukatae lowasa SI msafi hata kama akipita uraisi maana anautaka kwa nguvu zotee

Huwezi kushindana na sauti ya Mungu.
Tulia unyolewe.
Katumia mwanya huo kuwa attack personalities zao na kuruhusu comments za kuwachafua hao kina Makamba.
Akati analalwa na Makamba hakuona kuwa hafai.?
Pyeee
 
Back
Top Bottom