Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,990
Diamondplatnumz atunukiwe PhD ya Heshima kwa kuipa bongo fleva Heshima ndani ya nchi na nje ya nchi
Bongo fleva imefahamika Africa nzima kupitia Diamondplatnumz tofauti ya miaka ya nyuma Msani anahit tanzania na Kenya ila kwa sababu Msanii anatoka Nigeria anakuja bongo kufanya collabo tofauti na miaka ya nyuma hii yote ni kutokana na Diamondplatnumz kuwakilisha vizuri bongo fleva nje ya tanzania
Diamondplatnumz kaipa heshima sana Tanzania katika top artist Africa basi namba mbili anatokea Tanzania hili ni jambo la heshima sana bendera yetu ikiwa top
Nimeandika machache ila huu jamaa ana mengi sana aliyoifanyia Bongo fleva hadi leo hii ina heshimika na kila mtu
Diamondplatnumz atunukiwa PhD ya Heshima kwa kuheshimisha Nchi na Bongo fleva kiujumla