Diamond anyimwe ruhusa kusafiri nje ya kufanya matamasha, akiwa jeuri afutiwe passport

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
 
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
Mbona binadamu mna wivu hivyo?

Wewe unafaidika na nini akifanyiwa vyote hivyo?

Tuna tatizo gani...demokrasia zinaminywa hatulalamiki. Toka tumepata uhuru tunapambana na namna ya kula chakula bora, namna ya kujitibu malaria tumeshindwa lakini tunahangaika na suala dogo la Mondi!

Kai kai
 
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
..... Nchi hii INA mambo hivi mnafaidika nini na kumfungia diamond ... Mwenye akili timamu atajua lazima kuna kitu chini ya carpet .. Laiti kama diamond angekuwa mwanao ingekuwaje? Mambo mengi aliyoyafanya diamond kutangaza jina la nchi hii. Ajira alizotoa diamond kutokana na ujasiriamali ....
Sio vizuri kumnyanyasa na kuleta ubabe bila sababu zozite za msingi
 
Awamu ya tano si ya kuchezea chezea
WCB=CCM unajisumbua,hiyo awamu ya tano bila WCB wananchi wasingewasikiliza sera zao wakati wa kampeni,asikudanganye wananchi kwenye kampeni wanaenda kuwasikiliza wasanii na si wanasiasa.Mpaka hivi sasa Mondi na Sallam wapo Nairobi.
 
Back
Top Bottom