Diamond anyimwe ruhusa kusafiri nje ya kufanya matamasha, akiwa jeuri afutiwe passport

Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
Wabongo MNA chuki sana!!
Mond kawafanya nini?kwanini mnamchukia kiasi hicho?hizi ni chuki binafsi!!
Kijana kawa milionea,amepata ukwasi ambao vijana wengi na madigrii yao,wanauota tu!!sasa hilo linawaumiza wengi!!
Mbona hamuwachukii mafisadi waliokwapua pesa zetu,na kusababisha huduma za jamii kuwa duni?watoto wanazaliwa wanakufa,mama wajawazito wanakufa,!!hao hamuwachukii???mnamchukia Mond kisa kaimba Nyegezi!!!sababu eti maadili!!!
Mond inabidi atetewe na watz wote wa kada ya chini na kati.
Lakini watu walivyona roho mbaya,wanataka awe fukara kama wao!!ili wasichekane,kinawauma sana wakimuona anapiga pesa,ambazo wao ni ndoto kuzipata,hata wakikusanya Mali zote za ukoo wao.
 
jot.PNG
 
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
Wewe kama wewe utafaidikaje kwa hilo? Au ni roho ya kitanganyika ile ya tufe sote kwanini we uokoke
 
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
Acha uchawi wewe. Akifutiwa utapata faida gani mxieeeeeew
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha roho mbaya wewe! Duh! Utamlisha wewe na wanawe akishindwa kufanya hivyo? Kwanini watu wengine mna roho mbaya kiasi hiki kuliko hata shetani? Halafu akifulia uje mitandaoni kumnanga!!!

Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
 
Yaani ni ajabu sana Mkuu, baadhi ya Watanzania wana roho mbaya sana wakimuona mwenzao ana maisha mazuri kwa juhudi zake mwenyewe si mwizi, fisadi wala jambazi wao wanaumia. MXCIUUUUUUUU!!!

Wabongo tuna roho ya koroshow..
sasa Wewe akifungiwa unapata nini??/unafaidika nini??.. au ndo Wewe mzee wa wagambo wa sanaa basata ???
 
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini

Pesa imemlevya sana huyo brat. Serikali isikubali kusumbuliwa na mtu wa hovyo hovyo kama Abdul sijui Diamond. Akizidi kuvimba bichwa na domo lake lile sukuma ndani!!
Hapo kajamaa ni bonge ya limbukeni
 
Back
Top Bottom