Diamond anyimwe ruhusa kusafiri nje ya kufanya matamasha, akiwa jeuri afutiwe passport

kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,064
2,000
Umasikini mbaya sana
Chuki ndio chanzo
IMG_1785.JPG

Mbabe wa vita (WCB empire mlezi)
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,483
2,000
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
Tuwe tunazunguka nae humuhumu na kupigana vikumbo tandale mpumbavu sana.
 
BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,408
2,000
JAMANI KUNA WATU WANAROHO MBAYA JAMANI,SIJUI HUYU ATAFAIDIKA NA NINI!!!
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
 
sandpiper

Senior Member
Jul 27, 2018
120
250
Sanaa ni kitu kinachotangaza utamaduni hasa Mziki , Amerika kupitia rap music wamejitangaza sana duniani hasa kwa vijana , Hivi kuna nyimbo zina matusi kama rap music, mother...ker nilijifunzia huko . Sasa sisi sijui tuna shida gani mpira hatujui, riadha tumeshapotea, hata vazi la Taifa hatuna, Kijana amejaribu hata kupeperusha bendera ya Taifa huko nje ya Nchi tunakaa kumkokamalia na kupambana nae hadi uzalendo unamshinda . Hivi ni vikwazo vingapi anakutana navyo huko , It is not easy to be a well known artist at that level, How many have tried and fail . Tukae tutafakari
 
Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
3,592
2,000
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
Roho mbaya haikusaidii wala haikujengi...

Attitude za kimasikini sana hizo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom