Yaani lowasa ana rotate kwenye vichwa vya watu utadhani matangazo ya kampuni za simu za tigo voda na Airtel yaani kila dakika, kila siku. Tuliosoma masuala ya marketing hii ni advantage kwa mamvi kwenye safari yake... Ni sawa na CCM wanavyoiimba chadema kucha kuchwa...ni advantage kwa sisi makamanda
Ingawa sijaona busara ya Waziri mzima (aliyekuwa) kujibu mambo kama haya kilichonisikitisha zaidi ni kutaja ugonjwa wa Lowassa. Kimaadili si sahihi hata kidogo kushangilia maradhi ya mwenzoi (kama kweli anayo), na hatujui je, wewe ni mzima kweli? Nasikitika kwamba mbali na siasa zenu umegusa hata kazi ya MUNGU. Majibu na hoja zote ovyo kabisa!Atafaa tu wala usipatwe na.pressure
Wewe na wenzako mnakera kweli!!!!!!!!!
Kwanini umwite Mtanzania mwenzako jina la msukule????
Hata kama mnatofautiana kimtazamo, huna sababu ya kumtusi.
Kumbuka ni binadamu tena mwenye thamani kubwa. Utu wa mtu
uheshimiwe!!!!!
acheni matusi, hyajengi bali hubomoa taifa
Ingawa sijaona busara ya Waziri mzima (aliyekuwa) kujibu mambo kama haya kilichonisikitisha zaidi ni kutaja ugonjwa wa Lowassa. Kimaadili si sahihi hata kidogo kushangilia maradhi ya mwenzoi (kama kweli anayo), na hatujui je, wewe ni mzima kweli? Nasikitika kwamba mbali na siasa zenu umegusa hata kazi ya MUNGU. Majibu na hoja zote ovyo kabisa!
2015 CHADEMA inachukua nchi....
Lowassa atawatesa sana washika ukuta nyie. Kila mkiamka Lowassa,akifanya mazoezi mnahaha,akivua miwani mnasema!
Tutasikia mengi sana kabla ya october 2015. Baada ya uchaguzi visasi,vifo na matukio mengi,
Sielewi kinachoendelea ndani ya ccm, Nyerere aliwakataa wote wawili Kikwete na Lowasa. Lakini nashangaa Diallo anasema Lowasa pekee ndiye alikataliwa na Nyerere.
Membe amehakikisha anamgombanisha JK na kila rafiki yake akitegemea urais ataupata kwa mgongo wa familia ya JK huku akisahau kuwa nani alimuweka JK madarakani.
Dialo analifaham hilo ila anajifany a kama hafahamSielewi kinachoendelea ndani ya ccm, Nyerere aliwakataa wote wawili Kikwete na Lowasa. Lakini nashangaa Diallo anasema Lowasa pekee ndiye alikataliwa na Nyerere.
Membe ana PHD ya Uchonganishi na Uzushi sasa hapati Usingizi yupo busy akibuni na kutengeneza Fitna juu ya Lowasa .
Dialo amepiga penyewe, naona team Lowassa povu linawatoka kama vile mmemeza paketi nzima ya Omo!
nchi hii haiwezi kuongozwa na fisadi naikiwa hivyo mimi narudi kwetu Ukerewe.
"Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo
Inategemea kama hiyo publicity ni + au -.Free publicity,