Lowassa atawatesa sana washika ukuta nyie. Kila mkiamka Lowassa,akifanya mazoezi mnahaha,akivua miwani mnasema!
Tutasikia mengi sana kabla ya october 2015. Baada ya uchaguzi visasi,vifo na matukio mengi,
Aisee naungana na wewe !!!
CCM (Chama Cha Matumbili) Kinafanya jitihada kubwa ya kujiua na kujizika na haya aliyatabiri mtumishi wa Mungu Askofu Zakaria Kakobe wa kanisa la Full Gospel.
Njia nyeupe kwa Wapinzani kuingia ikulu sasa .
Wakati umefika sasa wa Mungu kuwaadhibu CCM kwa dhulma na mateso mengi waliowapa wale wote walioonyesha moyo wa kuwapenda na kuwatetea maskini wa nchi hii.
Cha msingi sasa ni Chadema kuacha papara ya kukimbilia ikulu peke yake bila kushirikisha UKAWA kweni peke yake hakitaweza kuingia ikulu.
Hufu kubwa ya CCM ni UKAWA.
Tumaini la watanzania wa makabila yote ,jinsia zote ,marika yote ,kanda zote na dini zote,Visiwani na bara ni UKAWA.
Kwa hiyo Tusimshangae Anthoni Dialo kumshambulia Mwenzake .Hawa ni Tumbili wanaogombania mahindi .
Wasiwasi wangu ni jinsi CCM kinavyoendesha siasa za Chuki na visasi dhidi wao kwa wao.
Ili Nchi yetu isifikie mahali pa kuuana kwa lengo la kusaka madaraka ni bora CCM ikauawa mwaka 2015 watanzania wapumue.
UKAWA jipangeni vizuri mchukue nchi yenye utajiri wa kila aina.