Diallo amlipua Lowassa

Diallo amlipua Lowassa

Katibu Mkuu wa Rais Mzee Luhanjo ndiyo alimfukuza Diallo Uwaziri, halafu akadanganya umma eti na yeye amestaafu alijiuzulu kama Lowassa

My God!

Kumbe Lowasa hawezi kuzunguka uwanja wa taifa hata mara moja?
Kumbe Lowasa aliyesema hivi karibuni kuwa hata utajiri badala ya ng'ombe 800 ana hisa vodacom?
Kumbe Lowasa anatumia fedha za nchi kwenda kutibiwa ujerumani?
Kumbe Lowasa alimkingia kifua haramia wa maliasili na utalii anayetesa wizara hiyo kwa sasa?

CCM tutamkataa mchana, tutamnyima kura za ndiyo mwaka 2015!
 
My God!

HUYU NDIYE LOWASSA AU MWINGINE?

Kumbe Lowasa hawezi kuzunguka uwanja wa taifa hata mara moja?
Kumbe Lowasa aliyesema hivi karibuni kuwa hata utajiri badala ya ng'ombe 800 ana hisa vodacom?
Kumbe Lowasa anatumia fedha za nchi kwenda kutibiwa ujerumani?
Kumbe Lowasa alimkingia kifua haramia wa maliasili na utalii anayetesa wizara hiyo kwa sasa?

CCM tutamkataa mchana, tutamnyima kura za ndiyo mwaka 2015!
 
...Tatizo la huyu Lowassa, ni kupata URAIS, asipoupata sijui kama atabaki na afya ya kuridhisha. Anatuhumu watu tusiounga mkono jitihada zake tu, je wanaogombea watakuwa na hali gani mbele yake? Ushauri wa bure kwa wapambe wa Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia zisizo halali ni haki ya kila mtu kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu Ccm.
Maisha yao yako hatarini. Go ask his best friend Pasco.
 
Lowassa atawatesa sana washika ukuta nyie. Kila mkiamka Lowassa,akifanya mazoezi mnahaha,akivua miwani mnasema!
 
Naona Membe anakamata Mwanza,mwenyekiti wa CCM MWANZA hamuungi mkono Lowasa,mwenyekiti wa CCM shinyanga anamuunga mkono Lowasa,kazi ipo
 
Thread zingine watu wanapost na kulipwa...
Ngoja niangalie mambo ya maana
 
Diallo huwa hawezi kufikiri kwa kina yeye ni mwanachama wa ccm halafu ni kiongozi hakutakiwa kutoa kashfa kama hz ambazo hata hajasikia zikisemwa na el.cjui anafanya haya kwa faida ya kukiunganisha chama au kusambaratisha,naona ndo type akina paul makonda na wenzake samuel malchela

wewe haya yaliyoandikwa umeyasikia kinywani mwa Dialo.?
 
Maisha yao yako hatarini. Go ask his best friend Pasco.

"Ushauri wa bure kwa wapambe wa
Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni
halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia
zisizo halali ni haki ya kila mtu
kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu
Ccm." Dr Diallo
*Huo ushauri hapo nami
naanza.kuufanyia kazi kuna mshikaji
frienda of Low-hasa ananiunga nami
nijilie pesa kiulaini.
 
Magufuli achukue form kwa kweli,kanda ya ziwa tutamuunga mkono
 
Maisha yao yako hatarini. Go ask his best friend Pasco.

Hakika joka la mdimu, aka popo ana kazi kubwa sana. Je ni kweli hamjui mambo, jamani acheni kutumika chama cha majambazi,chama cha manguluwe ndani mwake hakuna msafi . Huyo joka la mdimu ni nguruwe kama walivyonguruwe wengine wanaotumia ujinga wa na umasikini wa watanganyika wakidhani wao ni wasafi. Eti leo muuaji, mbakaji na mlawiti mkubwa dialo anataka tumuone msafi du? Karibu 2015 tuyajue mengi maana mamvi naye atasema ndipo tutakapoona nine guruwe gani linafaa kuchinjwaa. ...... hakufaa john aliyegeuka popo kipindi kile popo waleo daima hatafaaaa. Popo ,joka la mdimu hawezi kuwa rais wa Tanganyika
 
Katibu Mkuu Kiongozi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa Rais,nakumbuka hata Mkurugenzi tu anaweza kumng'oa waziri,rejea Emanuel Severe na mawaziri wa Maliasili
 
Kwa nini hatupendani. Kwenye siasa, vibaruhani, uswahilini .kila mtu hanamuhombea njaa mwezie. Kwann jamani
 
Unajua mimi siamini mpaka dakika hii kama haya ni maneno ya Anton. Ingekuwa ni wale vijana wa Lumumba ningesema labda njaa tu za mjini zinawasumbua. Sasa huyu Anton mbona hafanani na hiyo njaa ninayoiwaza? Au si Anton yule anayemiliki media house moja huko kwetu bongo..??
 
Diallo anashagaa watu kumwagia sifa Lowasa kuwa ndiye aliyefanikisha kukamilika kwa mafanikio ujenzi wa mradi wa maji wa Ziwa Victoria unaosambaza maji jiji la Mwanza, Shinyanga na Kahama!

Diallo anadai kuwa si kweli kuwa ni Lowasa bali ni yeye aliyesimamia mradi huo akiwa Naibu waziri wa Maji na maendeleo ya mifugo! Anaendelea kudai kuwa wakati yeye anasimamia mradi huo Lowasa alikuwa anasimamia DAWASA akiwa Waziri wa Maji na maendeleo ya mifugo!!

Wakiwa ndani ya serikali ya Mkapa, Lowasa akiwa waziri na yeye akiwa naibu waziri, Diallo anadai waligawana majukumu; Lowasa kusimamia DAWASA na yeye kusimamia mradi wa Ziwa Victoria!!

Kwa hiyo Diallo anadai kuwa yeye ndiye anastahili pongezi na sifa za kufanikisha mradi huo na siyo Lowasa!!!


Source: Star TV magazeti asubuhi!!

MY TAKE: Zote hizi ni mbio za urais 2015!!
 
Darasa la saba dialo ungekua huku Tandahimba tungekupa uwe balozi nyumba kumi
 
Ni kweli tupu; LOW-HASA yeye alikuwa upande wa DAWASA Dr Dialo katukumbushq jambo la msingi sana.
 
kwani kuna ubaya gani kugawana majukumu!hata katika familia, mama akifanikisha jambo credit itakwenda kwa baba wa familia...sawa dialo ulifanikisha lkn baba alikuwa Lowasa na wewe ulikuwa mama!
 
Ni kweli tupu; LOW-HASA yeye alikuwa upande wa DAWASA Dr Dialo katukumbushq jambo la msingi sana.


Tatizo la Maccm ni kujipendekeza, yanampa mtu sifa hata hasiyostahili!!

"Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo.
 
Back
Top Bottom