Diallo amlipua Lowassa

Diallo amlipua Lowassa

Watanzania bwana kumbe wengi wenu bado wachumia tumbo..mimi kama mtanzania wa kawaida ambaye sina kundi nadhani bwana Diallo ametupa just 'food for thought' ya kusaidia kumjua mgombea wetu wa urais 2015. sasa ss badala ya kupembua na kuchanganya na akili zetu mnamzonga bwana Diallo,,hizo ni njaa tu inawezekana kuna mambo amesema ya kweli na tulikuwa hatuna uwezo wa kuyajua kutoka kwa huyo mgombea wetu kipenzi.kwangu mimi kumshambulia whistleblower ni kupoteza maana nzima ya information. bwana Diallo sio mgombea na Membe sijui anaingiaje..huo wote ni upotofu. tusubiri majibu kutoka kwa Lowassa akikanusha hayo au athibitishe uongo wa hayo..Ningekuwa Lowassa kesho ningeenda uwanja wa taifa nikakimbia kuzunguka mara 10 na wapiga picha huru. hii ingetosha kumwumbua Diallo kuliko hii kazi mnayofanya hapa..umma wote umeshaanza kuamini huyo jamaa ni mgonjwa sana..kwa wanaoangalia mchezo wa ngumi bondia akiona mpinzani anamchubuko basi huendelea kulenga hapo hapo hadi amshinde..mshaurini mzee aje na hoja sio kutumia mamluki..kwa wale wanaosema hana papara za kujibu ni kweli yy ameshawaibia waTanzania na sasa amewanunua wajinga wengi kwa pesa ya wizi sasa wanamsemea kwa niaba yake kumbe mnataka afanye nn tena..tuamke jamani tuache njaa tusaidie nchi ipate kiongozi mzuri na sio mtu mwenye madoa madoa..kwangu mm sioni anayefaa kati ya Lowassa na Membe wote ni mizigo tu..hivi maandishi mengi humu jamvini ni kuonyesha jinsi watz tulivyopotea njia na kuelekea upande tofauti kiasi kwamba kurudi tunashindwa.
Mkuu sina cha kuongeza kwenye coment zako naungana na wewe kabisa huyu mzee anamadoa mengi sana halafu mimi nasema kila siku hawa waliojitangaza kugombea urais inawezekana asipatikane hata mmoja kuwa Rais jk siyo kama tunavyodhani ataleta mgombea mwenye uadulifu siyo wezi kama lowasa.
 
Hivi Diallo ni diwani ama Mbunge jimbo lolote?kimsingi mm kwa ufahamu wangu mdogo huyu mtu hayupo kwenye siasa,sielewi kwanini Lowassa amuattack kama anavyodai?mbona hana ishu yoyote toka october 2010??
 
Sihitaji kupitia ktk posts zote humu ili nijadili kauli za kipumbavu za Diallo kwasababu inawezekana kuna wenzangu mmeisha toa mchango wa aina hii! Dialo ni mtu ambaye naamini hata hajui taratibu za kazi. Kama alipewa kazi ya kusimamia huo na Boss wake Lowasa badlo credit zitakwenda kwa yule aliye kuwa msimamizi mkuu wa sera. Kwasababu nafahamu aliyekua anawajibika na kuwakilisha Wizara ni Waziri siyo naibu yake! Na hii ni kwa Wizara zote!

Sasa kama kuna mtu anashabikia huu utumbo wa Diallo na mleta mada atakua ni juha! Siasa za kijinga kama hizi hazitotusaidia jambo lolote sisi Wananchi. Tukichekwa na majirani tulivyo majuha tunanuna na kukasirika!
Dialo alipaswa kuchanganya akili za kuambiwa na Membe achanganye na zake kwanza atafakari kwa makini sana kabla ya kumuunga Mkono kwenye Taasisi yake ya Kumchafua Lowasa kupitia mitandaoni, Dialo uelewa wako bado ni Mdogo sana ni mtu mwenye mapepe aking'ang'ania kitu huwa hashauriki, ikumbukwe wakati wa Uchaguzi alichukua pesa kwa Mzee wa IPP ili amsaidie Wenje kumshinda Masha na kweli alimsaidia hadi akashinda Ubunge licha ya Kuwa wenje ni CDM na Dialo ni ccm lakini alifanya Umamuruki wa Kimafia Kama anavyofanya sasa baada ya kupewa Mgao wa Pesa za Marehemu Gadafi na Membe. Dialo si mtu wa kumwamini hata chembe ni kigeu geu ,usishangae kesho ukaja kumsikia kahamia tena kwa Lowasa .
 
Mkuu sina cha kuongeza kwenye coment zako naungana na wewe kabisa huyu mzee anamadoa mengi sana halafu mimi nasema kila siku hawa waliojitangaza kugombea urais inawezekana asipatikane hata mmoja kuwa Rais jk siyo kama tunavyodhani ataleta mgombea mwenye uadulifu siyo wezi kama lowasa.

kati ya id zenye michango ya hovyo hapa ndani ni hii. mnataka kuendelea nchi iendelee kukaa ktk auto pilot?? bila kuangalia nani atatawala ama kuongoza kuanzia dec.2015 napenda kukujulisha kwamba chaguo lolote la Kikwete hata kama atakua malaika atashindwa! jipange kuanza kuishi maisha ya kujitegemea kwa kufanya kazi kwa bidii badala ya kuishi kwa kutegemea fitina za siasa!
 
Unasema pengine Dialo anasema Ukweli huku unahubiri huna upande ? Watu tukueleweje ? Jaribu kutafakari ni kwa nini Dialo hakuzungumza hapo awali ? Pia Dialo yeye Binafsi ni Msafi? Kama ni njaa basi anayo Dialo kwani alifutwa Uwaziri kwa kutapeli dola Laki moja na sasa kanunuliwa na wapinzani wa Lowasa anatumika kwenye siasa za maji taka, Tanzania kila Jambo linawezekana wagombea wote wakichunguzwa kwa makini hadi wale wa Upinzani Hakuna asiye na doa,humu jukwaa la siasa wengi wamepevuka wanajua nani anafaa , cha Msingi ni kuangalia fainali itakuaje ni nani ataibuka kidedea baina ya Timu ya Membe na Timu ya lowasa.

soma post yangu mpaka mwisho..mjadala wewe unataka kuunganisha na Membe kwann?? hapo aliyesemwa ni Lowassa that's my point tutoe majibu yanayohusiana na hoja!!!Neway hilo jina lako linatosha kuwa pervert.!!
 
Hivi Diallo ni diwani ama Mbunge jimbo lolote?kimsingi mm kwa ufahamu wangu mdogo huyu mtu hayupo kwenye siasa,sielewi kwanini Lowassa amuattack kama anavyodai?mbona hana ishu yoyote toka october 2010??
Membe anamtumia ili kuendeleza choko choko zake kwa Lowasa Pia anatumia Faida ya kumiliki vyombo vya Habari kujitangaza ingawa ulingo wa siasa wananchi walimkataa na kumpa Kinda Ubunge,wenzake akina Mengi wanajulikana ni wapinzani wa Lowasa lakini Mzee mengi yupo makini hataki kujiingiza kwenye malumbano ya moja kwa moja ,amebakia Kuwa anawafadhili akina Sita, kigwangwala, mwandosya kimya kimya tu, Hana speed Kama ya Dialo, Lowasa ni Namba ingine watakesha,watazusha,watamchonganisha na kila mtu, lakini mwisho Membe hawezi Kuwa Rais ataishia kusubiri kupelekwa mahakama ya Uhalifu wa kimataifa kwa kosa Kuchukuchia Mapesa ya Marehemu Gadafi ambayo ni mali ya Libya.
 
Dialo alipaswa kuchanganya akili za kuambiwa na Membe achanganye na zake kwanza atafakari kwa makini sana kabla ya kumuunga Mkono kwenye Taasisi yake ya Kumchafua Lowasa kupitia mitandaoni, Dialo uelewa wako bado ni Mdogo sana ni mtu mwenye mapepe aking'ang'ania kitu huwa hashauriki, ikumbukwe wakati wa Uchaguzi alichukua pesa kwa Mzee wa IPP ili amsaidie Wenje kumshinda Masha na kweli alimsaidia hadi akashinda Ubunge licha ya Kuwa wenje ni CDM na Dialo ni ccm lakini alifanya Umamuruki wa Kimafia Kama anavyofanya sasa baada ya kupewa Mgao wa Pesa za Marehemu Gadafi na Membe. Dialo si mtu wa kumwamini hata chembe ni kigeu geu ,usishangae kesho ukaja kumsikia kahamia tena kwa Lowasa .

Mkuu ni kweli kabisa. Namfahamu Diallo kuanzia mwisho wa miaka ya 80 akiwa na nyumba ndogo moja mitaa ya Sea View! Ni mtu bogus na sijui ilikua vipi eti naye akapewa uwaziri mpaka Wizara nyeti kama Utalii na Maliasili! Anaye mtumia kama jembe naye ni juha! Kama ni Team Membe sishangai Hizi ndizo dizaini zake! Watu vigeugeu,watata, wafitini,majungu na wachonganishi!
 
soma post yangu mpaka mwisho..mjadala wewe unataka kuunganisha na Membe kwann?? hapo aliyesemwa ni Lowassa that's my point tutoe majibu yanayohusiana na hoja!!!Neway hilo jina lako linatosha kuwa pervert.!!

Lowasa anaandamwa na mtandao wa membe Kama haujui sasa tambua kuanza sasa, hoja zipi ? Hizo hoja za umbea nani azijadili? Ukitaka kujadili hoja jadili kwa wote yaani Dialo aliyemtuma Dialo ambaye ni membe, kisha jadili wote waliotangaza Nia kwani na wao wana kasoro, mapungufu na madhambi Lukuki, iweje Lowasa peke yake ndiye anashambuliwa kana kwamba hao wanaomshambulia ni Mitume hawana Dhambi, usijitoe fahamu ukajifanya husikii huambiwi ! Hizo hoja zako zi-balance kwa wote usiegemee upande mmoja tu wa lowasa.
 
Sasa huyu jamaa naona afanye biashara tu...he seemz to be a BIGFISH in a LITTLEPOND.
 
Mkuu ni kweli kabisa. Namfahamu Diallo kuanzia mwisho wa miaka ya 80 akiwa na nyumba ndogo moja mitaa ya Sea View! Ni mtu bogus na sijui ilikua vipi eti naye akapewa uwaziri mpaka Wizara nyeti kama Utalii na Maliasili! Anaye mtumia kama jembe naye ni juha! Kama ni Team Membe sishangai Hizi ndizo dizaini zake! Watu vigeugeu,watata, wafitini,majungu na wachonganishi!
Alipata uwaziri kwa njia za kishirikina baada ya kutotimiza Ahadi kwa mganga wake ambapo alikuwa amemwahidi Vingi Yule mganga akatengua Mitego yake ndipo Dialo akafukuzwa uwaziri na kukosa Ubunge tena alishindwa na mbuge kijana Mdogo ambaye alipata msaada wa wapambe wa dialo ambao nao alikuwa kawaliza hapo awali.
 
kati ya id zenye michango ya hovyo hapa ndani ni hii. mnataka kuendelea nchi iendelee kukaa ktk auto pilot?? bila kuangalia nani atatawala ama kuongoza kuanzia dec.2015 napenda kukujulisha kwamba chaguo lolote la Kikwete hata kama atakua malaika atashindwa! jipange kuanza kuishi maisha ya kujitegemea kwa kufanya kazi kwa bidii badala ya kuishi kwa kutegemea fitina za siasa!
Hao ni Vijana wa Membe wapo busy kwa masaa 24 kubuni uongo na uchonganishi , wanawasaka wanasiasa Dhaifu kisha wanawajaza Uongo mwingi wa kuwachonganisha na lowasa , wenye Akili ndogo Kama Dialo wamewabamba, lakini wajanja huwa wanawashitukia haraka.
 
ASEHH..."food for thought"

Dialo Hana mfano wa kuigwa kiasi cha watu kukaa waamini anachokizungumza, Dialo si mwadilifu, anapenda Rushwa ya ngono kwa wafanyakazi wake,anapenda michepuko kuliko chakula, Kama alivyo mnafiki kuliko mwanasiasa yeyote Tz, si mtu mwenye msimamo ni kigeu geu sana, yupo after money . Nina imani wale wote wanayoyaamini aliyosema Dialo watajifunza kupitia jukwaa hili.
 
Mkuu sina cha kuongeza kwenye coment zako naungana na wewe kabisa huyu mzee anamadoa mengi sana halafu mimi nasema kila siku hawa waliojitangaza kugombea urais inawezekana asipatikane hata mmoja kuwa Rais jk siyo kama tunavyodhani ataleta mgombea mwenye uadulifu siyo wezi kama lowasa.
cha kuongeza kipo tena ni vingi sana ! Kwanza umemhukumu lowasa kana kwamba hayo aliyosema Dialo yametoka mbinguni na Dialo ni Mtume. Pili umesahau Kuwa Dialo Binafsi si msafi kiasi cha kuwanyoshea wengine kidole,tatu tambua Kuwa Dialo anatumika tu baada ya kupata mgao wa pesa za marehemu Gadafi kaamua kujitoa fahamu ili kuwafurahisha maboss wake ambao ni wapinzani wakubwa wa Lowasa, Je? Umewahi kujiuliza ni kwa nini Lowasa pekee ndiye anaandamwa? Mbona wagombea wote wana madhambi Yao lakini Lowasa pekee ndiye anasumbuliwa wengine Dialo kawaacha kwa Sababu hajanunuliwa kwa ajili ya kuwachafua wao yeye kazi ni moja kumpakazia lowasa tu.
 
Mkuu sina cha kuongeza kwenye coment zako naungana na wewe kabisa huyu mzee anamadoa mengi sana halafu mimi nasema kila siku hawa waliojitangaza kugombea urais inawezekana asipatikane hata mmoja kuwa Rais jk siyo kama tunavyodhani ataleta mgombea mwenye uadulifu siyo wezi kama lowasa.
cha kuongeza kipo tena ni vingi sana ! Kwanza umemhukumu lowasa kana kwamba hayo aliyosema Dialo yametoka mbinguni na Dialo ni Mtume. Pili umesahau Kuwa Dialo Binafsi si msafi kiasi cha kuwanyoshea wengine kidole,tatu tambua Kuwa Dialo anatumika tu baada ya kupata mgao wa pesa za marehemu Gadafi kaamua kujitoa fahamu ili kuwafurahisha maboss wake ambao ni wapinzani wakubwa wa Lowasa, Je? Umewahi kujiuliza ni kwa nini Lowasa pekee ndiye anaandamwa? Mbona wagombea wote wana madhambi Yao lakini Lowasa pekee ndiye anasumbuliwa wengine Dialo kawaacha kwa Sababu hajanunuliwa kwa ajili ya kuwachafua wao yeye kazi ni moja kumpakazia lowasa tu
 
Simiyu yetu a.k.a Lizaboni au chabruma au mwenegoha au ray jay nk , huyu jamaa ni Adui namba moja wa Lowasa , yeye kaamua kuegemea Upande mmoja tu wa Lowasa , haambiwi hasikii kajitoa fahamu zote kayakariri maagizo ya membe kwa 100% , Ushauri bure : jaribuni kubalance usiegemee upande mmoja pekee, waliotangaza Nia wapo wengi na wote wana Madhambi Yao hata Dialo Pia amejaa Dazani ya vioja , hapa Tanzania Hakuna aliye msafi kiasi cha kuwanyoshea wengine kidole.
 
Dialo yamemshinda ya kwenye kampuni yake kaamua ajimalizie stress kwa Edo...fyuuu....
Kwanza akawalipe wafanyakazi wake mishahara yao ya miezi minne wanayoidai kampun kisha ndio afungue bakuli lake
 
Lowasa anaandamwa na mtandao wa membe Kama haujui sasa tambua kuanza sasa, hoja zipi ? Hizo hoja za umbea nani azijadili? Ukitaka kujadili hoja jadili kwa wote yaani Dialo aliyemtuma Dialo ambaye ni membe, kisha jadili wote waliotangaza Nia kwani na wao wana kasoro, mapungufu na madhambi Lukuki, iweje Lowasa peke yake ndiye anashambuliwa kana kwamba hao wanaomshambulia ni Mitume hawana Dhambi, usijitoe fahamu ukajifanya husikii huambiwi ! Hizo hoja zako zi-balance kwa wote usiegemee upande mmoja tu wa lowasa.

ndugu yangu unanichukia bure mm simjui Diallo wala sina haja naye!!mm nina haja na Tanzania yangu basi. hata kesho mtu akileta uzi wa membe au wa diallo nitacomment impartially. mi naamini kwenye ujamaa na kujitegemea pamoja na bidii zangu mwenyewe hivyo sijipendekezi kwa yeyote..wewe endelea kulea hayo madhambi ila usituhukumu na sie tusio na hatia..
 
Back
Top Bottom