chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,134
Vip kuhusu mauaji ya aliyekuwa Mtumishi wa CCM Ibrahim Babangida
Enhee, yule Rais wa Naijeria?
Vip kuhusu mauaji ya aliyekuwa Mtumishi wa CCM Ibrahim Babangida
Hili suala la maji ya ziwa Victoria hata Fredrick Sumaye anadai yeye akiwa waziri mkuu ndiye aliyesimamia lahau lah lakwata bado Magufuli atakuja na daraja la Kigamboni mwakyembe nae atakuja na bandari ya Bagamoyo ukigeuka huko yupo Sitta atakuja na katiba mpya.
Hapa tunaongelea kichwa cha Habari pale juu ( Dialo amlipua Lowasa ) yaani Maana yake Dialo ameanzisha choko choko kwa Lowasa hivyo jukumu letu ni kumtetea lowasa kwani yeye anaandamwa sana, Membe yupo busy kusaka wana-siasa dhaifu ili awachonganishe na Lowasa Kama alivyofanikiwa kumshika Akili Dialo na amenasa kwenye mtego wake Kirahisi sana, Kumbuka ni watu wengi wametangaza nia ! iweje watu wakomae na Lowasa pekee ? Tanzania hii Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole.
Mkuu, hivi huwezi kuandika post yako bila kumtaja Membe? By theway simpendi Lowassa wala Membe kwani imani yangu inanituma au kuniambia kuwa KUIKATAA CCM NI KIPIMO TOSHA CHA AKILI ila wewe umezidi kuniboa kwa kila post yako kutaja jina la Membe.
1.Alphatel
2.Alpha Schools
3.Alpha house
Mwaka huu tongotongo zitatutoka sana machoni sababu ya hizi mbio zao