Diallo amlipua Lowassa

Diallo amlipua Lowassa

Kwani inatusaidia nini si kazi ulifanya kama ulivyochukua mshahara na malupulupu
 
fisadi membe anakosea sana kumtajataja fisadi lowassa,hajui kuwa anamuongezea point!
 
Mbona Diallo nae kama kaanza kujipigia kampeni taratibu,mbna kuna watu mnaifanya nchi ionekane kua inaweza tawaliwa na mtu yoyote? Haijalishi umefanya mangap like kujenga barabara 100 ila Raisi anahitaji kua muadilifu na mwenye kuheshimu maadili ya kazi.Sio kuthamini waliokuweka madarakani like marafiki ila wathamini wananchi unaowaongoza na waliokupa kura nyng za kufika hapo ulipo.

Kuna watu wanaiharibu nchi na kufanya hata mtoto mdogo asiekua na maadili kuamini kua anaweza kua Raisi
 
Nikiona thread inamsifia lowasa natamani kutapika kwa kichevu chevu.
Mtu fisadi, Mungu kumulaani Kwa wizi wake wa mali za uma,
afya yake imekuwa kama kuku wenye ndegua.
 
Nikiona thread inamsifia lowasa natamani kutapika kwa kichevu chevu.
Mtu fisadi, Mungu kumulaani Kwa wizi wake wa mali za uma,
afya yake imekuwa kama kuku wenye ndegua.

tapika kwasabu ni dalili za mimba changa,halaf tatzo hujui kama una mimba
 
Dialo, kama naibu waziri hata vikao vya baraza la mawaziri ulikuwa huiingii.

Sasa huko kufanikisha mradi mkubwa kama huu ulikufanyia wapi? Lini uliuwakilisha huu mradi kwenye baraza la mawaziri?

Kupewa kuusimamia haina maana wewe ndiye uliufanikisha.
 
Hapana nilikosea!! Ni mwenyekiti UV-CCM!!!! Umeishia la ngapi msukule?
Wewe na wenzako mnakera kweli!!!!!!!!!
Kwanini umwite Mtanzania mwenzako jina la msukule????
Hata kama mnatofautiana kimtazamo, huna sababu ya kumtusi.
Kumbuka ni binadamu tena mwenye thamani kubwa. Utu wa mtu
uheshimiwe!!!!!
acheni matusi, hyajengi bali hubomoa taifa
 
dialo nilifikiri ana akili kumbe kilaza.naomba kama uko humu jf tafadhali jitambulishe tu maana kichwa chako ni kitupu kiasi kwamba anahitaji kukwamuliwa na utupu wa ubongo wake.lowasa ndiye aliyesababisha maji yatoke victoria kwa kuukataa mkataba wa nile.we dialo hata kusoma mikataba hujui ungewezaje kufanya hayo.kalaghabaho
 
Tatizo la maji ya victoria ilikuwa sio usimamizi wa kujenga mabomba, ilikuwa ni maamuzi. Kusimama na kuwaambia wamisri kuwa tutatumia maji ndio ilikuwa changamoto. Lowasa ndiye aliyewaambia wamisri mkutanoni kuwa tutatumia maji. Sasa hilo la kugawana majukumu ni suala la ndani ya wizara lakini bosi alikuwa Lowasa na Diallo alikuwa anatekeleza mawazo ya bosi wake. Na bila shaka nae Diallo alikuwa na wasaidizi aliokuwa anawaelekeza na kuwasimamia, sasa hawezi kuibuka mtu aliyekuwa chini ya Diallo akasema yeye ndio aliyesimamia ujenzi wa mradi. Kwa hilo Lowasa apewe sifa, kwa upande wa maamuzi magumu hakuna mtu ccm anaweza kumfikia Lowasa.
 
tatizo akili hauna, umenga'nana na
kaajila kako hako kakumtetea fisadi, mgojwa na mwinzi wa mali za uma

kapime akili..

"Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo (PHD)
 
Tatizo la maji ya victoria ilikuwa sio usimamizi wa kujenga mabomba, ilikuwa ni maamuzi. Kusimama na kuwaambia wamisri kuwa tutatumia maji ndio ilikuwa changamoto. Lowasa ndiye aliyewaambia wamisri mkutanoni kuwa tutatumia maji. Sasa hilo la kugawana majukumu ni suala la ndani ya wizara lakini bosi alikuwa Lowasa na Diallo alikuwa anatekeleza mawazo ya bosi wake. Na bila shaka nae Diallo alikuwa na wasaidizi aliokuwa anawaelekeza na kuwasimamia, sasa hawezi kuibuka mtu aliyekuwa chini ya Diallo akasema yeye ndio aliyesimamia ujenzi wa mradi. Kwa hilo Lowasa apewe sifa, kwa upande wa maamuzi magumu hakuna mtu ccm anaweza kumfikia Lowasa.
Ndani ya serikali hii ya CCM na miongoni mwa viongozi wakubwa wa CCM waliopo hivi sasa hakuna anayeweza kutoa maamuzi magumu!!!

Mfano kumbuka machache kama: ahadi ya kuvua magamba; sakata la Jairo; EPA na sasa IPTL
 
Sielewi kinachoendelea ndani ya ccm, Nyerere aliwakataa wote wawili Kikwete na Lowasa. Lakini nashangaa Diallo anasema Lowasa pekee ndiye alikataliwa na Nyerere.
 
Diallo ni mtu wa kukurupuka siasa haziendi namna hiyo. namkubali Lowasa hasa kwa maamuzi, he really deserves to be the next president. viva EL.
 
Ndani ya serikali hii ya CCM na miongoni mwa viongozi wakubwa wa CCM waliopo hivi sasa hakuna anayeweza kutoa maamuzi magumu!!!

Mfano kumbuka machache kama: ahadi ya kuvua magamba; sakata la Jairo; EPA na sasa IPTL
Uko sahihi lakini hata ktk wagonjwa kuna mahututi na afadhali, Lowasa ndio mwenye record ya kufanya maamuzi magumu na si wengine. Japo sasa tunakubaliana kuwa tukitaka kuiweka sawa nchi lazima ccm yote ikae pembeni.
 
Dialo ni muaji na jambazi mkubwa ndio maana alikataliwa na wananchi wa Ilemela, haitaji science kugundua amepoteza mvuto siasa za mwanza , mbona hajibu issue ua mauaji ya mtumishi wa CCM Ibrahim Babangida

Nchi hii ina serikali, kama Diallo alihusika na kifo cha huyo Babangida si polisi wangemkamata na kumpeleka mahakamani? Mbona yuko nje na wala polisi hawamhoji? Je, inawezekana kuwa Mwenyekiti wa ccm wa mkoa yuko juu ya sheria?
 
Back
Top Bottom