Diallo amlipua Lowassa

Diallo amlipua Lowassa

Tatizo la Maccm ni kujipendekeza, yanampa mtu sifa hata hasiyostahili!!

"Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo.

Wewe si Mungu usijifanye huwezi kuugua, isitoshe Mungu hapendi Tabia ya kuwabambikia watu Maradhi, Ugonjwa hauna Hodi kila mtu anaweza kuugua mda wowote , kumbuka mwakani bado ni mbali sana je? Una Uhakika na Afya ya boss wako Dialo na membe? Si unamjua Dialo ana shahada ya Michepuko na Adhabu ya michepuko huwa ni Ukimwi .je? Una una uhakika na Uzushi wako? Acha hizo vigezo vyako vya uwanja wa Taifa, Lowasa anaweza kukimbia hata mita 10,000 acheni kukariri Fikra za membe.
 
Membe amehakikisha anamgombanisha JK na kila rafiki yake akitegemea urais ataupata kwa mgongo wa familia ya JK huku akisahau kuwa nani alimuweka JK madarakani.

Membe ana PHD ya Uchonganishi na Uzushi sasa hapati Usingizi yupo busy akibuni na kutengeneza Fitna juu ya Lowasa .
 
Hii kauli ya Dialo duh (Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo))!!!

M naomba kuuliza wakuu hivi hyu jamaa amelipa mishahara ya wafanyakazi wake?? Isije kuwa yy anaugonjwa mkubwa kuliko wa EL..! Mwenye kujua aniambie plz
 
Edwatd Lowasa akipitishwa,ndio ushindi wa ccm
 
Membe Ni kama popo, sio mnyama, sio ndege. Nani ampe uraisi popo? Akienda arabuni Ni muislam swala tano, akirudi bongo Ni mkristo. Huyu Joka la Mdimu Ni janga la kitaifa

ah ah mbavu zangu,jaman mznduke lowasa ndiye rais mtarajiwa
 
Mkuu unaongea kweli tupu. Ukiweka ushabiki pembeni, mamvi ni kichwa mnoo! Sana. Halafu majority ya CCM zina IQ za kina Komba et.al.
Huyu Edo mpaka sasa hatujamsikia hadharani au kwenye chombo cha habari akibwabwaja chochote, ila sasa utawaonea huruma wapinzani wanvyohangaika na kubanwa mavi.
Jamaa anaitisha tu mkutano jimboni kwake na kusema safari ya matumaini inaanza, watu huku kelele magazetini kibao. Kaitisha mkutano wa wana boda boda Dar, wapinzani wanahangaika hadi kuitisha mkutano kamati kuu izuie mbio za uraisi. Mshikaji anaenda jogging tu, hahahaha watu vilio kelele hadi bungeni kudaaaadeki!! Yeye kimyaaaa! Unajua namkubali hadi naogopa.

Sasa akianza nguruma itakueje Mungu wangu!! Na wanamwogopa sababu Edward ni mtu asiependa ujinga na wajinga, sasa kwasababu a majority ya CCM ni vilaza lazzima chupi zibane.

ONWARD THE BRAIN LOWASSA MARCHING AS TO WAAAR, WITH THE LOVE OF TANZANIANS VICTORY IS ASSURED!![/QUOTE

Next president ED namkubali huyu jamaa saana Mungu amtangulie safari yetu itimie
 
Pole sana ndugu yangu kwa kuwa na akili finyu kama fito, unafikiri na mimi ni kama wewe uliejiliwa na fasadi la nchi kulitetea ili lichuku madaraka, ya nchi liwanyonye vizuri wananchi.
Wewe kwel hujielew kaka nina wacwac na upeo wako mwenye macho haambiw tazama ukatae ukubali lowasa ndo rais ajaye na ukerewe utaenda kwa nauli gani na shangaz ndo kakuleta mjini
 
Nimepitia kwa ukaribu uzi huu wa vita ya maneno kati ya timu EL na Diallo. Watu wameacha kujadiri kilicho wekwa mbele yetu na kujikita kwenye personal issues. Je ni kweli EL alikwamisha dili la ccm na MTN? Je afya ya mamvi ni mgogoro? Je ni kweli EL aliwasaidia vodacom SA na akapatiwa hisa za vodacom tz? Je watoto wa EL ni super-dealer wa voda? Hayo ndo tujadiri hapa tuache kuwazia makalio. Kwa ufahamu wangu vodacom tz inamilikiwa na vodacom SA, Roastam aziz, peter noni na alphatel!! Sasa alphatel ni nani? Watetezi wakina pasco watusaidie

Ww kwa mtazamo wako unaonaje?je yana ukweli ndan yake?umemaliza kuandka notes?
 
Kwa hali ilivyo sasa yote yaliyotendwa gizani au chumbani. Sasa yanawekwa juu ya paa/dari la nyumba kila mtu asome na asiyejua kusoma asikiye. Cha ajabu hakuna anayewajadili wale ambao ni waadilifu. Kila kukicha wanaojadiliwa na kupigiwa upatu wawe wakuu ktk nchi hii. Ni wale walioifirisi nchi kwa mikataba ya kifisadi mfano IPTL, wengine wanarekodi chafu. Watanzania tufungue macho yetu tuangalie wazalendo. Lakni wale ambao wanatajwa tu kwa ufisadi wakae pembeni. #TUIGE KWA WAKOREA, unajua kwanini rais mstaafu wa KOREA alijiua? tafakari
 
Kwa kweli EDWARD NGOYAI LOWASA inaonekana ni tishio sanandani ya Chama cha Mapinduzi.Maana mh Lowasa toka amesema safari yamatumaini kwa watanzania inakaribia wale wote waliokuwa na nia ya kuwanianafasi ya kupitishwa kugombea Uraisi kwa tiketi ya CCM pamoja na wapambe waowalianza vilio na malalamiko kila kona.
Baada ya kualikwa kuwa Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chama Cha Waendesha Boda boda ambapoaliahidi kuwawezesha waendesha Boda boda wote kupata na kumiliki pikipiki zaowenyewe ili kujikwamua kimaisha ikawa nongwa vilio vikazidi huku wapinzani wakewakiomba ungozi wa chama chama cha mapinduzi wamchukulie hatua wakisahau kuwaanachokifanya ni kusaidia jamiii.
Mh Lowasa sasa hivi ameamua kukaa kimya lakini wapinzaniwake wameendelea kumshambulia katika mitandao na huku wakiendelea na michakatoya kutafuta uungwaji mkono kila kona ya nchi yetu huku viongozi wa CCM wakijifanya hawayaoni wayafanyao kina Membe ,Sita na Pindapamoja na wafuasi wao.Pamoja na juhudi zote bado wameona nyota ya Lowasainazidi kung’aa tu.
Kwa kweli sijuiitatokea nini siku Mh Lowasa atakapotangaza moja kwa moja nia yake ya kuingiaIkulu huku akianza mipango yake waziwazi ya saidia Lowasa aingie Ikulunaamini wapinzania wake watapata ugonjwa wa moyo maana itakuwa balaa kila konaitakuwa ni Lowasa Lowasa Lowasawakati huo wananchi na wafuasi wa Mh Lowasa wakiwa wamevaa Tshirt kali za FRIENDS OFLOWASA ambazo zilimfanya mzee Malecela kulalamika sana huku akisahau kuwani haki ya kila mtu kuvaa vazi lolote alipendalo bila kukiuka maadili ya utu wa mtanzaniaili yaani haliachimaungo wazi.
Nakumbuka msemousemao! Mti wenye matunda ndio upopolewao mawe.
 
Dialo kaingia kiulaini kwenye Mtego wa Membe ,sasa wapo busy na Timu yake kusaka wajinga wengine Kama Dialo ili wawachonganishe na Lowasa .Membe akisikia jina la Lowasa hushikwa na kwikwi hapati Usingizi mda wote huwa anawaza jinsi ya kumshusha chini , lakini sasa imekuwa Kinyume kabsa kwani Lowasa anapaa , membe analudi nyuma hata mvuto hauziki wana Usalama wenzake wanamponda sana kwa vijitabia vyake vibovu. Chezea lowasa wewe...,..,
 
Wewe si Mungu usijifanye huwezi kuugua, isitoshe Mungu hapendi Tabia ya kuwabambikia watu Maradhi, Ugonjwa hauna Hodi kila mtu anaweza kuugua mda wowote , kumbuka mwakani bado ni mbali sana je? Una Uhakika na Afya ya boss wako Dialo na membe? Si unamjua Dialo ana shahada ya Michepuko na Adhabu ya michepuko huwa ni Ukimwi .je? Una una uhakika na Uzushi wako? Acha hizo vigezo vyako vya uwanja wa Taifa, Lowasa anaweza kukimbia hata mita 10,000 acheni kukariri Fikra za membe.

Mkuu unatokwa povu bure juu yangu, hayo sio maneno yangu, ameyasema Diallo!!

Ha ha ha dah umenivunja mbavu mkuu! Etiiii mita ngapiii?? Labda Diallo alimaanisha jingine!!

Alafu mkuu mi sikupati, hebu weka kumbukumbu sawa, kwa hiyo wewe unasema EL ni msaffi sio!?
 
Ingawa sijaona busara ya Waziri mzima (aliyekuwa) kujibu mambo kama haya kilichonisikitisha zaidi ni kutaja ugonjwa wa Lowassa. Kimaadili si sahihi hata kidogo kushangilia maradhi ya mwenzoi (kama kweli anayo), na hatujui je, wewe ni mzima kweli? Nasikitika kwamba mbali na siasa zenu umegusa hata kazi ya MUNGU. Majibu na hoja zote ovyo kabisa!

Dialo si Mungu Kuwa alichokinena ni kweli wanaomwamini Dialo wote upeo wao ni ziroo,jiulize alikuwa wapi Miaka yote ? na Kama angekuwa na akili angekubali Kushikwa Akili na kuingia kwenye Mtego wa Membe kitengo cha Fitna na Uchonganishi pasipo kutafakari kwanza ! Ugonjwa hauna hodi yeyote aweza kuugua mwakani bado mbali sana Ebola,Ukimwi na magonjwa mengine yapo, Mungu hapendi Tabia ya kuwasingizia watu maradhi kwani anaweza Kutoa Adhabu kwa wale wenye Tabia za kupakaziana magonjwa wakajikuta wanaugua wao badala ya wale wanaowabambikia maradhi.
 
Mbona Diallo nae kama kaanza kujipigia kampeni taratibu,mbna kuna watu mnaifanya nchi ionekane kua inaweza tawaliwa na mtu yoyote? Haijalishi umefanya mangap like kujenga barabara 100 ila Raisi anahitaji kua muadilifu na mwenye kuheshimu maadili ya kazi.Sio kuthamini waliokuweka madarakani like marafiki ila wathamini wananchi unaowaongoza na waliokupa kura nyng za kufika hapo ulipo.

Kuna watu wanaiharibu nchi na kufanya hata mtoto mdogo asiekua na maadili kuamini kua anaweza kua Raisi

Good analysis,harafu mimi sioni kama kuna mtu anayeweza kuwa rais maanake si Lowasa,Membe wala Sumaye woote ni hovyo tu inabidi CCM mjipange kweli kweli!
 
Mkuu unatokwa povu bure juu yangu, hayo sio maneno yangu, ameyasema Diallo!!

Ha ha ha dah umenivunja mbavu mkuu! Etiiii mita ngapiii?? Labda Diallo alimaanisha jingine!!

Alafu mkuu mi sikupati, hebu weka kumbukumbu sawa, kwa hiyo wewe unasema EL ni msaffi sio!?
Hapa tunaongelea kichwa cha Habari pale juu ( Dialo amlipua Lowasa ) yaani Maana yake Dialo ameanzisha choko choko kwa Lowasa hivyo jukumu letu ni kumtetea lowasa kwani yeye anaandamwa sana, Membe yupo busy kusaka wana-siasa dhaifu ili awachonganishe na Lowasa Kama alivyofanikiwa kumshika Akili Dialo na amenasa kwenye mtego wake Kirahisi sana, Kumbuka ni watu wengi wametangaza nia ! iweje watu wakomae na Lowasa pekee ? Tanzania hii Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole.
 
Watanzania bwana kumbe wengi wenu bado wachumia tumbo..mimi kama mtanzania wa kawaida ambaye sina kundi nadhani bwana Diallo ametupa just 'food for thought' ya kusaidia kumjua mgombea wetu wa urais 2015. sasa ss badala ya kupembua na kuchanganya na akili zetu mnamzonga bwana Diallo,,hizo ni njaa tu inawezekana kuna mambo amesema ya kweli na tulikuwa hatuna uwezo wa kuyajua kutoka kwa huyo mgombea wetu kipenzi.kwangu mimi kumshambulia whistleblower ni kupoteza maana nzima ya information. bwana Diallo sio mgombea na Membe sijui anaingiaje..huo wote ni upotofu. tusubiri majibu kutoka kwa Lowassa akikanusha hayo au athibitishe uongo wa hayo..Ningekuwa Lowassa kesho ningeenda uwanja wa taifa nikakimbia kuzunguka mara 10 na wapiga picha huru. hii ingetosha kumwumbua Diallo kuliko hii kazi mnayofanya hapa..umma wote umeshaanza kuamini huyo jamaa ni mgonjwa sana..kwa wanaoangalia mchezo wa ngumi bondia akiona mpinzani anamchubuko basi huendelea kulenga hapo hapo hadi amshinde..mshaurini mzee aje na hoja sio kutumia mamluki..kwa wale wanaosema hana papara za kujibu ni kweli yy ameshawaibia waTanzania na sasa amewanunua wajinga wengi kwa pesa ya wizi sasa wanamsemea kwa niaba yake kumbe mnataka afanye nn tena..tuamke jamani tuache njaa tusaidie nchi ipate kiongozi mzuri na sio mtu mwenye madoa madoa..kwangu mm sioni anayefaa kati ya Lowassa na Membe wote ni mizigo tu..hivi maandishi mengi humu jamvini ni kuonyesha jinsi watz tulivyopotea njia na kuelekea upande tofauti kiasi kwamba kurudi tunashindwa.
 
Unasema pengine Dialo anasema Ukweli huku unahubiri huna upande ? Watu tukueleweje ? Jaribu kutafakari ni kwa nini Dialo hakuzungumza hapo awali ? Pia Dialo yeye Binafsi ni Msafi? Kama ni njaa basi anayo Dialo kwani alifutwa Uwaziri kwa kutapeli dola Laki moja na sasa kanunuliwa na wapinzani wa Lowasa anatumika kwenye siasa za maji taka, Tanzania kila Jambo linawezekana wagombea wote wakichunguzwa kwa makini hadi wale wa Upinzani Hakuna asiye na doa,humu jukwaa la siasa wengi wamepevuka wanajua nani anafaa , cha Msingi ni kuangalia fainali itakuaje ni nani ataibuka kidedea baina ya Timu ya Membe na Timu ya lowasa.
 
Dialo anatumika tu Kama toilet paper , wajanja akina Mzee wa ipp wao wanang'ata na kupuliza,wapiga kwa kuvuzia kimachale sana, wapo makini Maana wanajua hayawi hayawi yanaweza Kuwa huko mbeleni yakaja kuzaa mengine mapya, dialo kaingia kichwa kichwa pasipo kujiuliza kwanza amekurupuka mapema sana, wenzako wanetunza siraha zao wanawasoma kwanza mkimaliza mbinu zote wao wanaingia kazini sasa.
 
Sihitaji kupitia ktk posts zote humu ili nijadili kauli za kipumbavu za Diallo kwasababu inawezekana kuna wenzangu mmeisha toa mchango wa aina hii! Dialo ni mtu ambaye naamini hata hajui taratibu za kazi. Kama alipewa kazi ya kusimamia huo na Boss wake Lowasa badlo credit zitakwenda kwa yule aliye kuwa msimamizi mkuu wa sera. Kwasababu nafahamu aliyekua anawajibika na kuwakilisha Wizara ni Waziri siyo naibu yake! Na hii ni kwa Wizara zote!

Sasa kama kuna mtu anashabikia huu utumbo wa Diallo na mleta mada atakua ni juha! Siasa za kijinga kama hizi hazitotusaidia jambo lolote sisi Wananchi. Tukichekwa na majirani tulivyo majuha tunanuna na kukasirika!
 
Back
Top Bottom