WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
katibu mkuu wa rais mzee luhanjo ndiyo alimfukuza diallo uwaziri, halafu akadanganya umma eti na yeye amestaafu alijiuzulu kama lowassa
mkuu na wewe ni timu gani? Tujuzane ili tukujue maana c.c.m unayoiongelea ilisha choka mithili ya mgonjwa wa ukoma!