Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Yakifanyika haya kwenu nyinyi ndiyo haki na amani. Uislamu na waislamu hawafanyi hivyo, wamefundishwa haki kwa kila mtu awe muislamu, mpagani hana dini. Waislamu wanasema, kwa mauaji ya Zanzibar yalikuwa dhulma na walioua wanastahili kuchukuliwa hatua na wanasema pia mauaji ya Mwangosi ni dhulma na walioua wanastahili kuchukuliwa hatua. Wala waislamu hawasemi kuwa kwa kuwa Mwangosi alikuwa mkristo basi alistahili kutandikwa na kuuawa. Kumbukeni ndugu zangu dhulma haiwezi kudumu milele, ingekuwa inawezekana basi ingedumu South Africa ya Makaburu.

Nimekuelewa sana ila sasa na yale makanisa yaliyochomwa kule visiwani na bagamoyo tuite ni nini? Ushawahi kuona msikiti umechomwa moto?
 
Hujaeleweka mkuu.. Ina maana ccm ndio mfumo kristo? Nieleweshe

Yeyote atakaedhulumu haki na kuleta ukandamizaji wa waislam yumo kny huo mfumo. Awe Ccm hata Cdm as long as anafata amri za kanisa ni mfumo kristo
 
Hapo kwenye islam=peace=amani... Kulikoni kule somalia wanapoishi wenyewe au ndio MFUMO upo hadi kule

Wapo akina nani kule Somalia?? Alianza US sasa UG+warundi and Kenya unategemea nini?? Mkidanganywa na propaganda juu ya waislam mnakurupuka tu
 
Jengeni shule na Hospitali za kutosha kisha ombeni hiyo MoU, mkinyimwa nitakuwa pamoja nanyi
kulalama.

Tujenge mtupore tena, zirudisheni kwanza mlizopora then tuendeleze zingine. Duh mjanja kweli wewe ndio umetumwa ushauri hivyo mtupore??
 
wAkati Issa kama wanavyomwita alipozaliwa warumi waliamini atakuwa mtawala wa kidunia pia wayahudi waliamini ni mkombozi wao yaani atawakomboa toka utawala wa kirumi. je hili neno lilibaki kwao hao kaka za Israel mpaka leo kuwa mitume ni watawala na waweka mifumo ya utawala wa kidunia?. Isaa alisema yeye si mtawala wa dunia na akasema ziheshimuni mamlaka, na akatoa mpaka zaka. je nyie mwaamini utawala wa dunia ni wa nani. Wakristo wanajua kuwa vitu waliyonayo si ya kimwili/damu ni ya kiroho kwa hiyo hata muangamizapo mwili hamfanyi chochote maana funguo za kuzimu zilishanyang,anywa Isaa alipofufuka. Je mwaamini hayo?.
 
Sina cha kuchangia japokuwa nikiamka asubuhi na kuingia kwenye pilika zangu za kila siku huwa sifikirii issue za mfumo islam au mfumo kristo, najikuta mambo mengi yanatokea automatically huku dini ikiwa si kigezo kikuu kwani tunajichanganya watu wote kwa pamoja na kwenye familia zetu pia tunachanganyika sasa sijui tatizo ni nini hasa, nahisi kama tunahofu ambayo hatuijui endapo kila mmoja atakaa peke yake kujadili kimya kimya
 
Tunaamini maandiko ya Mussa,Issa, na Daud lakini kwa condition moja. Siyo yale maandiko yanayochakachuliwa kila mwaka. Umeelewa bwana mdogo?
wAkati Issa kama wanavyomwita alipozaliwa warumi waliamini atakuwa mtawala wa kidunia pia wayahudi waliamini ni mkombozi wao yaani atawakomboa toka utawala wa kirumi. je hili neno lilibaki kwao hao kaka za Israel mpaka leo kuwa mitume ni watawala na waweka mifumo ya utawala wa kidunia?. Isaa alisema yeye si mtawala wa dunia na akasema ziheshimuni mamlaka, na akatoa mpaka zaka. je nyie mwaamini utawala wa dunia ni wa nani. Wakristo wanajua kuwa vitu waliyonayo si ya kimwili/damu ni ya kiroho kwa hiyo hata muangamizapo mwili hamfanyi chochote maana funguo za kuzimu zilishanyang,anywa Isaa alipofufuka. Je mwaamini hayo?.
 
Nafikiri kama waislamu wakiandaa PETITION na kuorodhesha malalamiko yao yote na kama yana ligality nadhani hata wasio waislamu na wapenda haki wataisaini tu na haki wanayodai itapatikana.
Tutaendelea kulalamika mpaka lini?
 
Chadema inakunyima raha sana ndugu yangu,vumilia tu,huwezi pingana na mabadiliko. kama vipi ungana nasi kwasababu huwezi kutusimamisha ktk harakati za ukombozi wa taifa letu.

Wewe ndio Waislam wanakunyima raha...mie nihofie Chadema wakati ni kikundi kidogo tu kutoka kaskazini mwa Tanzania.
 
1Yohana 2:19, 26 "Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalika pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu. 26 "Nimewaandikia haya katika habari za watu wale wanaotaka kuwa poteza."

Mathayo 7:15, 21-23 "Jihadharini na manabii wa uongo watu wanowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa wa mwitu wakali. 21-23, Si kila mtu aniambiaye Bwana, Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu."
 
Mwenye miwani ndio Issa Ponda...

DSC_0317.JPG
 
Mtawala wa dunia kiimani ni nani? na anafanya nini?. Kiranga ukijibu hapo tutakuwa sote. Maana Ottoman empire , Jihad war yote hiyo ilikuwa ni vita lini imekuwa Peace je wakati huo enzi za 660 -770 AD nani aliwanyanyasa mpaka mkapiga dunia nzima?. We know your beilief existed even during Nebukadrezar Era. We know how it happened to what it is. You cant deny that it existed before Jesus Christ.
 
hapa ndipo tunapogundua hizi hoja za udini zimeletwa jf makusudi .kuanzisha vita za kisiasa ,dhidi ya chama fulani.kutugawa wa Tz

Wewe hujaelewa mkuu, kuna watu wanacomment sasa nami siwezi kujisumbua nao. Majibu yanayomfaa ndio kama hayo, sorry kama limekukwaza nawe
 
To correct existed even before jesus christ revealed among poeople.
 
Chadema adui yenu ni CCM sio Waislam manatakiwa kufahamu ilo.
 
Zomba, wakubaliana kuwa mfumo uliopo na hizo verse ulizotoa haviendani. Ni mfumo wa upande mwingine kabisa wala sio wa Kristo.
 
Naamini uaminicho wewe sio sawa na mwenzako usimulazimishe kila mtu aamini uaminicho?. Je huoni ni kuingilia maisha yake. Hujui kipimo upimacho ndicho utapimiwa?. usihukumu usije ukahukumiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom