Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
OIC na washirika wake wanazo fedha, lkn si kwa kusaidia maendeleo kama wengine tulivyozoea, bali ni kwa kulipia FATWA. Huko Iran zimetolewa $3.3m kwa atakayemuua Sulman Rushdie lkn jiulize ni ngapi wanatoa Scholarship au misaada ya kijamii?

Waarabu wenzao wa Syria wanaangamia, watoto wametapakaa hovyp mitaani hawana msaada, lkn wao hilo hawalioni ni kazi ya American Red Cross Society na EU wao za kwao ni za kufanyia mauaji.

Mfano wa Mozambique ni mzuri kwa mwenye akili, lakini kwa kuwa mtu mbishi hana muda na facts zaidi ya kuandaa ubishi, hautafaa kitu. Ngoja vijana wa Ponda waje kujaza matusi
 
Zaidi ya Msumbiji Baadhi ya nchi zingine zilizo OIC ni
1. Guinea Bisau
2. Gambia
3.Sierra leone
4.Togo
5. Somalia (Toba!!!)
6. Chad
n.k

Kwanza huu ni UBWANA na UTWANA wa kiarabu, maisha ya kishetani kabisa. Hivi mtu akitaka kukusaidia mpk akulazimishe ujiunge na mambo yake?

Palitokea maafa makubwa sana Haiti mwaka juzi, hivi kuna mtu aliwasikia hawa jamaa wakifanya juhudi yeyote kutoa misaada zaidi ya ARCS na Ufaransa? Wao wanaweza kukusaidia tende tu wakati wa Ramadhani
 
Zaidi ya Msumbiji Baadhi ya nchi zingine zilizo OIC ni
1. Guinea Bisau
2. Gambia
3.Sierra leone
4.Togo
5. Somalia (Toba!!!)
6. Chad
n.k

Mkuu hiyo somalia ina afadhali huko Guinea Bissau na Chad ni aibu. Kuna vinchi vyao vingine vinaitwa Mali na Niger yani ni full aibu aisee na huko wote ni wanachama wa OIC....
 
Thread kama hizi tushuhudie Ban za kutosha...

Magaidi hawajasikia Nchini Pakistan Serikali imesema itamlipa Mtu atakayefanikisha kumuua aliyengeneza Movie ya Innocence of Muslim sasa hii imekaaje na mtengenezaji naye akitoa Donge nono kwa atakayemuua waziri wa Pakistani si ndio mambo ya kulipizana hayatoisha
 
Hebu tutajie waliotajirika kupinga huo mfumo!
 
Kwanza huu ni UBWANA na UTWANA wa kiarabu, maisha ya kishetani kabisa. Hivi mtu akitaka kukusaidia mpk akulazimishe ujiunge na mambo yake?

Palitokea maafa makubwa sana Haiti mwaka juzi, hivi kuna mtu aliwasikia hawa jamaa wakifanya juhudi yeyote kutoa misaada zaidi ya ARCS na Ufaransa? Wao wanaweza kukusaidia tende tu wakati wa Ramadhani

Kaka ushetani unaujua? Toa hoja sio unarukaruka 2 ka huna fact jipange na so kukurupuka
 
Kuna kundi hapa ambalo kama lingehitaji kuelimika lingepitia hoja zote hapa na kutafakari na kujua mbivu na mbichi, lakini kwa sababu lîmechomekewa hoja ya dini flani kuhujumiwa, watafumbia macho hoja zote, na wataufunga utashi wao. tutarajie jazba hapa badala ya hoja. ntarudi baadae!
 
Hapo kwenye Red ndipo penye hoja nzito. Ni vizuri ponda na genge lake la wahuni wakajibu hizi hoja.


Hoja kama hizi haziwezi kujibiwa. Kuna uwongo mwingine kuwa eti shule na hospitali za kanisa zimejengwa kwa fedha za MoU. Lakini ukiwauliza waeleze inawezekanaje shule au hospitali iliyojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika 1961 iwe imejengwa kwa fedha zitokanazo na MoU ya 1992, huwa wanapotea kimya kimya! Wazushi, wazandiki na waongo wakubwa wote wanaodai kuwepo kwa mfumo Kristo.
 
Mkuu hiyo somalia ina afadhali huko Guinea Bissau na Chad ni aibu. Kuna vinchi vyao vingine vinaitwa Mali na Niger yani ni full aibu aisee na huko wote ni wanachama wa OIC....
Ok naungana na wale waliopendekeza tutoe hoja si kwa jazba na maneno makali ya kuvunja utanzania wetu mimi nina swali naomba mnijibu kama mnajua OIC haina faida kama mlivyoeleza mbona mlitumia nguvu kubwa akiwemo mzee Nyerere kupinga tusijiungeee? Mpaka sasa mzee malichela analo kua hakumshauri vizuuri mzee mwinyi? mbona kila likiibuka bungeni mishipa inawasimama? mbona zanzibar imeliweka mpaka kwenye kero za muungano limeshindwa kutatuliwa? narudia swali kama OIC haina faida kwa waislam kama mlivyotoa mifano kwa baadhi ya nchi mbona waislaamu wakilianzisha mishipa inawasimama? jibuni halafu niwaelimishe zaidi Kuhusu hayo mashirika ya REDCROSS mliyosema yanatoa misaada kwa bahati hadi naandika huu ujumbe nipo kwenye eneo moja la mgogoro nikiwa na hayo hayo mashirika ya misaada.
 
Jamani nisaidieni:-
Tafsiri na neno "mfumo kristu ni nini? mfumo huu unaathiri vipi jamii ya waislam?
 
Acha udini wewe! na nyie mfumo ubwabwa unavyoathili watoto,wanavyoshindana kula kwa haraka na kuwahi nyama! ulioni hilo???
 
Mfumo Kristo waislamu wanalalamika sana ..wanadai wakristo wanawaonea na kuchukua nafasi kubwa serikalii kama urais , makamu wa rais, jaji mkuu, kamanda wa polisi etc.
wanataka waislamu wenye msimamo mkali ak Ponda ndio wapewe nchi
 
Anaogopa kuitwa Alhaj kutokana na Mfumo uliokuwepo?
Tangu apate nyadhifa ni haipungui miaka 30 sasa Lakini kwake Hijja imekuwa ngumu

Karibu ya marais wote waislam ulimwengu wanaenda hijja

KWANINI KIKWETE TU SIO ALHAJ
1)Alhaj Ali Hassan Mwinyi
2)Alhaj Shein
3)Alhaj Salmini
4)Alhaj Karume
5)Alhaj
Alhaj Bilal



umra.jpg
President Jammeh (GAMBIA), Madam Zaineb Jammeh (right) performing the Umra.

76265426.jpg
JEDDAH-President Ali Abdullah Saleh arrived on Sunday here for performing Umra ( Smaller Hajj) rituals in Mecca and then met with his brother Custodian of the two Holly Mosques King Abdullah Bin Abdul-Aziz.
1462.png
The President of Republic Field-Marshal Omer Al-Bashir has performed Umra rites and visited Medina and offered greeting to the Prophet Peace Be Upon Him and says the five prayers in the Prophet’s Mosque, due to press secretary for President of the Republic Ustaz Imad Seed Ahmed,
 
Kila kitu MFUMO KRISTO....poleni sana aisee...na acheni uvivu wa kufikiri..........
 
Akisha enda hija wewe itakukwamua vipi kimaisha na hata kiroho?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom