Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

1573883478452.jpeg

Amepita bila kupingwa
 
Mpaka sasa una maendeleo gani yaliyotokana na kuzuia siasa?
Nina uhakika wa kupata usafir wa tren ya kasi ifkapo katikati ya 2020, uhakika wa umeme, uhakika wa kupata tiba maeneo ya karibu baada uboreshaji na kuongeza vituo vingi vya afya nchi, uwezekano wa kupata usafir wa anga pindi mgeni wangu kutoka ng'ambo atawasili...Nina uhakika mdogo wangu atamwazisha mtoto wake darasa la kwanza na kidato cha kwanza bila shida mwakani...Na lala kwa amani. .....!

Pia kwa sasa nafanya biashara ndogo bila bughuza za mgambo wa majiji na miji nikiwa na kitambulisho cha mweshimiwa rais. Nina nidhamu ya hali ya juu ya kufanya kazi na fedha. Kikubwa kabisa sasa hivi nafanya biashara hii ndogo hapa mtaani bila wasiwasi wa KUPORWA bidhaa zangu na wafanya maandamano ya vyama vya KISIASA. ....yako mengi sana. Kama haya uhoni ni maendeleo, basi kwa heri.
 
Ni wapi siasa ilizuia hayo maendeleo mbona zaidi ya miaka 40 ilikuwa chama kimoja, kwa nin hizo treini hazikuwepo?
 
Milioni 19 siyo wengi?
[/QUOTE]
Kuna mwalimu mmoja wa kike Kinondoni alisema kuwa katika kituo chao cha kuandikisha wapiga kura walipelekewa majina 750 ya nyongeza na kuahidiwa 50,000/- kila mmoja wakikamilisha. Mara jamaa wa CHADEMA akaangia ghafla na kuhoji wanafanya nini hao walimu wakati muda wa kuandikisha umekwisha! Akatokea msimamizi akamtuliza kwa kumwambia kuwa wanarekebisha tu mambo madogo madogo. Teacher kasema hatokubali tena kuandikisha au kusimamia uchaguzi maisha yake yote! Na nina imani wewe wazifahamu zaidi hizi issue kuliko mimi
 
Mwanaharakati huru Deusi Kibamba amesema figisu za uchaguzi zilianzia kwenye kura za maoni za CCM na wale waliopitishwa ndio " hao" wanaolazimishwa kupita bila kupingwa.

Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale waliozuiwa na hii ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Mwisho mwanaharakati huyu anasema uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020 unaweza kuweka historia ya kuhusisha wapiga kura wachache zaidi kuwahi kutokea kwani wapiga kura halisi wamekatishwa tamaa.

Source BBC Dira ya Dunia
Hawa wanaharakati hupenda ku-preempt mambo kwa vigezo vya aidha ushabiki au utafiti usio na vigezo vinavyoeleweka kama samplin etc. Maoni yangu ni kuwa tuwache muda ndiyo unamajibu yote. Ila kwa mtazamo wangu nikiangalia siku ya kwana ya kampeni ya serikali za mitaa[ kama zilivyooneshwa na vituo vya TV, naona 2020 inaweza kukumbwa na upepo wa kisulisuli.
 
Si Salama Kwa mustakabali wa afya ya demokrasia.Hamna kitu kigumu kama kuwanyima haki wanakijiji kumchagua mwenzao Hapa kijijini kwetu Kapalangamsenga Katavi
 
Alichofanya huyo mwanaharakati ni kutabiri Somalia haitafuzu kombe la dunia 2022. Iko wazi.
 
Hivi serikali inaiona hatari ya kupeleka viongozi katika ngazi ya mtaa au kijiji ambao sio chaguo lao?
Au maisha yao sio muhimu sana? Ni miaka michache tuu iliyopita huko Manyara nyumba za wenyeviti walio ingizwa madarakani kwa hila zilikuwa zinachomwa moto, jee tumesahau hilo?
 
Tatizo lenu mnakuja na hitimisho kutokana na kufanya sampling ya vyanzo vya takwimu zenu kwenye maeneo mnayotaka!!! Kwa njia hiyo lazima mpate hitimisho "fake"! Na sisi hitimisho za hivyo tunaziita ' hitimisho chochezi', hazifai.
Huo ndiyo uhalisia. Ukiukataa kataa. Ila ndiyo ukweli
 
Una ushahidi kuwa wananchi wengi walisusia kujiandikisha?!
Hapana hawakususa mkuu ila walijiandikisha kwa wingi na walibembeleza muda uongezwe ili wajiandikishe huku wakiwaalika madc na viongozi wengine kuwatembelea majumbani, mitaani na kwenye masoko ili zoezi lifanikiwe na kuwafanya viongozi wale kutopoteza ajira zilizokuwa shakani....
Nawaza tu yule manusura wa ajali aliyepongeza awamu... baada ya kunusurika alipohojiwa!!!
 
Mimi nilijiandikisha vizuri tu ili kuitetea katiba na demokrasia... Lakini baada ya zile figisu siwez kwenda kupoteza muda kupiga kura wakati mshindi ameshajulikana...
 
Back
Top Bottom