Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,915
Vidudu?Mkuu ulijiandikisha?!
Vidudu?Mkuu ulijiandikisha?!
Milioni 19 siyo wengi?
Maelezo mazr sanaHahaaa hahaaa 19m kisha hakukuwa na misururu ya kujiandikisha, wakati uchaguzi uliopita watu 22m watu walikuwa wanaamka usiku wa manane kwenda kupanga foleni. Hivi majuzi vitambulisho vya NIDA, wapi hukuona misururu kwa ajili ya hilo, na hao ni karibu 20m. Je huu uhuni wa juzi uliona misururu kituo chochote? Hiyo 19m isiyo na misururu ni ya wapi?
Ngoja nikupe maana ya watu 19m. Watanzania tupo 55m. Walio chini ya miaka 18 ni karibia 30m. Wanabaki 25m above 18. Kwa maneno marahisi kama waliojiandikisha ni 19m, kila watu watatu wenye umri wa kupiga kura wawili wamejiandikisha. Mfano mwingine ujue kuwa hiyo 19m Ni figure ya kupika, wanaomiliki simu ni 24m, wangalau kwenye watanzania 55m kila watu wawili mmoja ana simu. Ndio maana karibu kila mtu mzima unayemjua ukiacha mtoto anamiliki simu, kiasi kwamba mtu mzima akiwa hana simu inashangaza. Je kwenye hao waliojiandikisha hivi sasa, kila watu watatu unaokutana nao wawili wamejiandikisha kwenye uchaguzi huu? Tumia akili kidogo hata kama umekabidhi hapo ofisini lumumba.
Daah wengi tunajua majina hayo yalivyopatikana! Haikuwa siriMilioni 19 siyo wengi?
Yalipatikanaje bwashee?!Daah wengi tunajua majina hayo yalivyopatikana! Haikuwa siri
Huu ni upotoshaji Kibamba anafanya ....aonywe!....hakuna aliyezuiwa kufanya siasa bali ilielekezwa kila mtu afanye siasa kwenye sehemu husika na kwa kufuata taratibu. Siasa holela ndizo zilidhibitiwa. Kama kunawatanzania walikuwa wanafanya siasa holela hao wamedhibitiwa....na hao sisi watanzania tunaona hawatufai kwani siasa holela zinakwamisha maendeleo yetu.Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale waliozuiwa na hii ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Hujataja wazee, wasiojiweza,walioko magerezani, mahospitalini, wenginebasi tuu hawakujiandikisha. Hatutaki.Hahaaa hahaaa 19m kisha hakukuwa na misururu ya kujiandikisha, wakati uchaguzi uliopita watu 22m watu walikuwa wanaamka usiku wa manane kwenda kupanga foleni. Hivi majuzi vitambulisho vya NIDA, wapi hukuona misururu kwa ajili ya hilo, na hao ni karibu 20m. Je huu uhuni wa juzi uliona misururu kituo chochote? Hiyo 19m isiyo na misururu ni ya wapi?
Ngoja nikupe maana ya watu 19m. Watanzania tupo 55m. Walio chini ya miaka 18 ni karibia 30m. Wanabaki 25m above 18. Kwa maneno marahisi kama waliojiandikisha ni 19m, kila watu watatu wenye umri wa kupiga kura wawili wamejiandikisha. Mfano mwingine ujue kuwa hiyo 19m Ni figure ya kupika, wanaomiliki simu ni 24m, wangalau kwenye watanzania 55m kila watu wawili mmoja ana simu. Ndio maana karibu kila mtu mzima unayemjua ukiacha mtoto anamiliki simu, kiasi kwamba mtu mzima akiwa hana simu inashangaza. Je kwenye hao waliojiandikisha hivi sasa, kila watu watatu unaokutana nao wawili wamejiandikisha kwenye uchaguzi huu? Tumia akili kidogo hata kama umekabidhi hapo ofisini lumumba.
Kwa kadiri ya utafiti wa TWAWEZA, wajinga wamejaa CCM. Hivi kati ya mjinga na mwerevu, nani ana uwezekano mkubwa wa kufanya siasa holela?Huu ni upotoshaji Kibamba anafanya ....aonywe!....hakuna aliyezuiwa kufanya siasa bali ilielekezwa kila mtu afanye siasa kwenye sehemu husika na kwa kufuata taratibu. Siasa holela ndizo zilidhibitiwa. Kama kunawatanzania walikuwa wanafanya siasa holela hao wamedhibitiwa....na hao sisi watanzania tunaona hawatufai kwani siasa holela zinakwamisha maendeleo yetu.
Umesema kweli mkuu maana kwetu hata wapinzani wakigombea hawana hata mhuri wa tawi maana hayafunguliwi tunasubiri ruhusa ya shughuli za siasa zitakapofunguliwaKwa kadiri ya utafiti wa TWAWEZA, wajinga wamejaa CCM. Hivi kati ya mjinga na mwerevu, nani ana uwezekano mkubwa wa kufanya siasa holela?
Wewe bila shaka, ni miongoni mwa hao wajinga. Shughuli za kisiasa zimeanishwa kwenye katiba. Katiba ndiyo inayotoa uhuru, mipaka na haki za vyama vya siasa, wanasiasa na wanachi wote.
Kwenye katiba yetu kuna sehemu yoyote inayosema chama tawala pekee ndiyo kinaruhusiwa kufanya siasa wakati wote na mahali pote ila vyama vingine visubiri wakati wa uchaguzi? Hoja uliyoitoa inadhihirisha ukweli ule kuwa wana-CCM wengi na wafuasi wao ni watu wenye low IQ maana hata reasoning yao ni below average brain.
Kutokana na CCM kujaza watu wenye low IQ, na CCM kung'ang'ania kuwatumia makada kwenye mambo yote pamoja na yale yanayohitaji ujuzi, weledi na akili - inatufanya tusipige hatua kwa sababu tunawatumia watu wenye akili ndogo kupanga na kusimamia mipango mambo yanazidi uwezo wa akili zao. Kwa kuwatumia watu wa namna hii, hatuwezi kufika popote. Kwa sababu wana akili kidogo, mara nyingi wanatumia zaidi walicho nacho yaani NGUVU.
Nguvu haziwezi kulisaidia Taifa. Tembo, nyati, faru wana nguvu lakini hawana chochote wanachoweza kujivunia.
Kauli hizi ndizo zinawafanya mshindwe kuaminika mbele ya watanzania. Mwasema mnafuta katiba. Mbona vyama vyenu vinashindwa kufuata katiba za vyama hivyo na taratibu zake kiasi cha msajili wa vyama kuwalima barua za onyo!? Sasa kama mnashindwa kuheshimu katiba ya vyama vyenu kwa " akili kubwa " mliyonayo, Je. Mkikabidhiwa dhamana ya nchi na mfuate katiba ya nchi si "vichwa vyenu vitapasuka"!? Maana vichwa vyenu haviwezi kubeba jukumu kubwa la katiba ya nchi!....kuwatumia makada kwenye mambo yote pamoja na yale yanayohitaji ujuzi, weledi na akili - inatufanya tusipige hatua kwa sababu tunawatumia watu wenye akili ndogo kupanga na kusimamia mipango mambo yanazidi uwezo wa akili zao. Kwa kuwatumia watu wa namna hii, hatuwezi kufika popote
Tatizo lenu mnakuja na hitimisho kutokana na kufanya sampling ya vyanzo vya takwimu zenu kwenye maeneo mnayotaka!!! Kwa njia hiyo lazima mpate hitimisho "fake"! Na sisi hitimisho za hivyo tunaziita ' hitimisho chochezi', hazifai.Hujataja wazee, wasiojiweza,walioko magerezani, mahospitalini, wenginebasi tuu hawakujiandikisha. Hatutaki.
Hao 19m. Kawapata wapi.
Hilo lilikuwa wazi, maana wananchi wengi walisusia kujiandikisha. Wananchi wengi kwa sasa wanauelewa wa kutosha na hawako tayari kuingia kwenye siasa za kishenzi. Wabaki hao wala rushwa wagawane vyeo bila ridhaa ya umma wakati tunaandaa plan B.
Kitendo cha kuunga mkono yanayoendelea ni machafuko tayari.Machafuko utaleta wewe?!
Mpaka sasa una maendeleo gani yaliyotokana na kuzuia siasa?Huu ni upotoshaji Kibamba anafanya ....aonywe!....hakuna aliyezuiwa kufanya siasa bali ilielekezwa kila mtu afanye siasa kwenye sehemu husika na kwa kufuata taratibu. Siasa holela ndizo zilidhibitiwa. Kama kunawatanzania walikuwa wanafanya siasa holela hao wamedhibitiwa....na hao sisi watanzania tunaona hawatufai kwani siasa holela zinakwamisha maendeleo yetu.