Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
Mimi huwa si mpenzi wa muvi zilozotafsiliwa coz uwongo mwingi na quality ya picha huwa si nzuri, lakin DJ mack huwa angalau anajitahidi sio mwongo. ata ukifuatilia subtitle utagundua huwa adanganyi kama wengine.Tatizo waongo mno,muvi inamaanisha vingine yeye anatafsir vingine
Kudadadeki wanakuuuuja! hatari mwanaumeee! wazee wa kazi wazee wa ngwasumaa! (in DJ MACK's voice)
RIP lufufu
View attachment 474419
View attachment 474420 View attachment 474413
nikipata nitakupaHuwez kuwa na namba zao
ni kweli ata dj murphy iko hgh qualityMimi huwa si mpenzi wa muvi zilozotafsiliwa coz uwongo mwingi na quality ya picha huwa si nzuri, lakin DJ mack huwa angalau anajitahidi sio mwongo. ata ukifuatilia subtitle utagundua huwa adanganyi kama wengine.
Dj mark ana miaka 7 kwenye game acha uongoWewe bdo mtoto sana.. dj mark .. hata miaka 5 hana.. afu ww unasema ulikuwa unatoroka shule.. tena ysikute hapo ylikuwa shule... ebu nenda kasome huko... kajifunze kuandika essay
Aaaaaah usicheze na dj mark wewe....Wa kizazi cha sasa ndo watawapenda hao wanaojiita ma dj lkn sisi enzi zetu Lufufuuu Lukoma abambeija ndo habari ya mjini.
Mimi mwenyewe nashangaa vikongwe vinamponda dj mark, havijui mziki wakeMimi siko interest sana na hao jamaa though namkubali sana Dj mack but namba zao sina
Mack nilianza kumkubali kwenye Prison breakMimi mwenyewe nashangaa vikongwe vinamponda dj mark, havijui mziki wake
ulianza lini,Mkuu kwani hujui sifa ya fasihi simulizi? Lazima uongeze chumvi ila unajuaje kama mm ni mdogo kama nilianza nikiwa na miaka 12
Ok 2000 nimeanza primaryulianza lini,
Prison break ndio series ya kwaanza kwangu ninayo ipenda ikifuatiwa na 3 days. Dj Mack nimemjua kwenye movie ya BearMack nilianza kumkubali kwenye Prison break
Same to me, kuna movie mbili tu ambazo nazipenda mpaka sasa, Prison brake & Gulong Ng Palad( yakifilipino)Prison break ndio series ya kwaanza kwangu ninayo ipenda ikifuatiwa na 3 days. Dj Mack nimemjua kwenye movie ya Bear
Duuh hiyo siipati kabisa, Ila movie ndio kilevi changu cha kwanza.. Napenda movie kuliko hata mwanamkeSame to me, kuna movie mbili tu ambazo nazipenda mpaka sasa, Prison brake & Gulong Ng Palad( yakifilipino)
kwann usingeanza 1998Ok 2000 nimeanza primary
Hilo swali ungemuuliza baba ingekua freshkwann usingeanza 1998
Ni dj Murphy ..hivi anaitwa DJ mark au DJ Murphy??
Dj Afroo ni noma mzee wa makagari yang ama Bolo yang ukipenda
Anakuambia He is a superintended special forces retired arm commando
Manzi yuko na extraordinary gizinyakuu anataka kugunzwa uloloManzi anasema kuvunjwa ulolo ndio kitu anataka!
basi nabila shaka picha letu Nikatika roooooooot za maiiiiintrooooductiooooon katika holoo senema!
Dj afro unaeza tazama bila kuchoka ila kucheka tu!
Ng'ang'aduma !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]