Magamba mtahangaika sana......
Magnda, magwanda wote wamoja mtahangaishana, hamtubabaishi tena tumewashtukia. Huoni hata mnavyjifananisha kwa majina?
Magamba mtahangaika sana......
Magnda, magwanda wote wamoja mtahangaishana, hamtubabaishi tena tumewashtukia. Huoni hata mnavyjifananisha kwa majina?
TUNTEMEKE -Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.
-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.
-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
Sura halisi ya KITAIFA CHADEMA hamtaipata mking'ang'ania kuendelea na Mbowe na Dr Slaa. Hawa jamaa kazi waloofanya ni kubwa tu. Wawapishe watu wengine sasa. Msitutengenezee akina Abdoulaye Wade wengine hapa Tanzania.

Watanzani tutakuwa wapumbavu hadi lini? Nyie mtakopi na kupest hadi lini? Hamuanzishi mambo yenu hadi mkopi FDC mnajiona mna akili kweli au nyie MAPUNGA tu kila kitu mnaiga mbona hamuigi wanawake wao wanvyovaa na nyie mvae hivyo tuwatongoze? Acheni akili za kushikiwa kila kitu mnataka kuiga tu ANZISHENI CHENU WATU WAIGEFicha upumbavu wako,Unajitahidi kuvuruga hoja lakini ngoma ya watoto haikeshi.
Swali ni kwamba kama CHADEMA kunanafasi ya kuund atume huru ya kusimamia chama kama ilivyo FDC huko Uganda.Hii itaondoa chokochoko zozote kama zile za 2009 za kukata majina ya watu.
safi sana,watuwametumwa kushambulia bila kujali kinachozungumzwa kinaimpact gani kwenye chamamkuu umekuja na hoja nzuri kama tunataka kujenga chama imara pinzani ni lazima tukosowe pale inapohitajika inanishangaza sana kila anaekosoa eti gamba.maana ni njia moja ya kukosoa kwa nguvu ndio itaonesha kwamba watu wako makini ata viongozi wetu watakuwa makini zaidi.peoples get the leaders they deserve sisi watanzania tunalia umasikini na utawara mbovu ni kwasababu tunashahili kuwepo hapa tulipo, tulishindwa na tumeshindwa hadi leo kuchukua maamuzi magumu ya kujikomboa.sasa tusiwe wafuata upepo chadema kinamapungufu mengi tukosowe kwa nguvu ilikukijenga.chadema ni bora zaidi ya ccm lakini wewe usiangalie ubora zaidi ya ccm lakini angalia je unataka chama pinzani kiwaje na kikukomboaje kama mtanzania.
Hivi wewe kuiga kuwa na tume huru ya uchaguzi ni upumbavu>>>>KAZI IPO TANZANIA KAMA TUNALEA VIJANA KWAMA WEWEWatanzani tutakuwa wapumbavu hadi lini? Nyie mtakopi na kupest hadi lini? Hamuanzishi mambo yenu hadi mkopi FDC mnajiona mna akili kweli au nyie MAPUNGA tu kila kitu mnaiga mbona hamuigi wanawake wao wanvyovaa na nyie mvae hivyo tuwatongoze? Acheni akili za kushikiwa kila kitu mnataka kuiga tu ANZISHENI CHENU WATU WAIGE
Sura halisi ya KITAIFA CHADEMA hamtaipata mking'ang'ania kuendelea na Mbowe na Dr Slaa. Hawa jamaa kazi waloofanya ni kubwa tu. Wawapishe watu wengine sasa. Msitutengenezee akina Abdoulaye Wade wengine hapa Tanzania.
Ni kweli chadema na FDC haviwezi kufanana lakini principle za democratic party ni univesal CHADEMA inatakiwa iwe anatume huru ya kusimamia chaguzi zake.TUNTEMEKE mbona unakosa ustarabu? Unaona wewe ndie una akili sana kwenye JF zaidi ya wote kila mtu ana mapenzi na chama chake,hauwezi kumlazimisha mtu apende chama unachokipenda wewe,ukipenda chongo utaita kengeza,wewe unaipenda CCM acha mawazo finyu kulazimisha mtu apende asichopenda ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa atakuangalia tu,baki na mapenzi yako kwani FDC na CHADEMA ni vyama tofauti katika mazingira tofauti hawawezi kufanana,lugha unazotoa na kashfa hazitambadilisha mtu DEMOKRASIA ni mtu kuchagua anachokiamini usilazimishe waamini unachoamini wewe
Sura halisi ya KITAIFA CHADEMA hamtaipata mking'ang'ania kuendelea na Mbowe na Dr Slaa. Hawa jamaa kazi waloofanya ni kubwa tu. Wawapishe watu wengine sasa. Msitutengenezee akina Abdoulaye Wade wengine hapa Tanzania.
Ni kweli chadema na FDC haviwezi kufanana lakini principle za democratic party ni univesal CHADEMA inatakiwa iwe anatume huru ya kusimamia chaguzi zake.
Zaidi ya hapo sioni unachokizungumzia zaidi ya kulia lia tu hapa