Kigarama,Aliyeshikwa kashika na aliyeshika kashikwa na mwisho wa siku wote WAMESHIKANA badala ya KUSHIKAMANA!! Huu mjadala nimeufuatilia kwa karibu na kugundua kuwa una WENYEWE na wenyewe ni waarabu wa PEMBA wanaojuana kwa VILEMBA!!
Hawa CHADEMA wamepofuana kiasi kwamba linaloonekana ni pungufu la wazi kabisa la kikatiba wanaliona kitu kidogo cha kawaida. Hawataki kuhojiwa wanavyochaguana ili mradi aliyechaguliwa ni "mtu" wao hata kama taratibu zimevunjwa!