Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Ni kweli chadema na FDC haviwezi kufanana lakini principle za democratic party ni univesal CHADEMA inatakiwa iwe anatume huru ya kusimamia chaguzi zake.
Zaidi ya hapo sioni unachokizungumzia zaidi ya kulia lia tu hapa

Umewahi kuiona katiba ya FDC wewe? Unayajua madaraka ya rasi wa chama ? Jifunze usikurupuke.....
 
niliposoma mada nilishituka. Niliposoma nani kabandika nikapata ahueni. Lakini tuntemeke ajue kuwa Besigye alichoka kudhalilishwa. Hajachoka kugombea urais. Museven angefariki Mei mwaka huu leo tusingesikia huyu kujiuzulu
 
Hio tume itakuwa huru ikiwa na wajumbe gani? Kama timu ya viongozi wakuu wastaafu unaona kuwa sio huru , pendekeza majina
Kama huijui tume huru kaa kimya,Pia ni wazi hujui kabisa kwamba chadema hawana tume ya uchaguzi.
Timu gani ya viongozi wakuu wastaafu wapo kwenye tume ya uchaguzi ya chadema???Tafadhali nitajie
 
niliposoma mada nilishituka. Niliposoma nani kabandika nikapata ahueni. Lakini tuntemeke ajue kuwa Besigye alichoka kudhalilishwa. Hajachoka kugombea urais. Museven angefariki Mei mwaka huu leo tusingesikia huyu kujiuzulu
Nimekuelwa mkuu,
Naomba msaada katika hili,Mfumo wa uchaguzi ndani ya chadema ni huru???Je huoni umuhimu wa kuiga kwa FDC,CHADEMA kuwa na tume huru????
 
Kama huijui tume huru kaa kimya,Pia ni wazi hujui kabisa kwamba chadema hawana tume ya uchaguzi.
Timu gani ya viongozi wakuu wastaafu wapo kwenye tume ya uchaguzi ya chadema???Tafadhali nitajie

Soma katiba kujua nani wanasimamia uchaguzi,

Pilimunataka Fdc iigwe yaani chama ambacho kama mjumbe hayupo anaweza kumteua mtu mwingine wa kumpigia kura? Fuatilia mtifuano ulioko ndani ya uchaguzi wao baada ya Mwenyekiti wa hiyo tume yao Muraura kukiri kuwa ni kweli aliruhusu watu waliokuwa nje ya nchi kupigiwa kura kwa niaba na watu wengine , kuweni mnafanya utafiti sio kukurupuka tuu, hiyo ndio unataka iigwe kuwa ni mfumo mzuri? Unaweza kusoma taarifa zote kwa kugoogle Muraura - fdc
 
Umewahi kuiona katiba ya FDC wewe? Unayajua madaraka ya rasi wa chama ? Jifunze usikurupuke.....
Neno usikurupuke linatoka wapi?
Yes katiba ya FDC inataja uwepo wa tume huru isiyogusana na wajumbe au viongozi wa CHAMA.tume inasimamia uchaguzi wote kama ilivyo tume ya uchaguzi ya Taifa.
 
Tuntemeke ana hoja, na haigusi Chadema pekee bali NCCR, CUF, na CCM; Vinginevyo tafiti nyingi sana (hata uki google) zinaonyesha kwamba, moja ya changamoto kubwa sana ya vyama vya siasa barani afrika ni weaknesses kwenye internal democracy; Hili lipo Chadema, CUF, CCM, NCCR, na orodha inaendelea...;
 
Neno usikurupuke linatoka wapi?
Yes katiba ya FDC inataja uwepo wa tume huru isiyogusana na wajumbe au viongozi wa CHAMA.tume inasimamia uchaguzi wote kama ilivyo tume ya uchaguzi ya Taifa.

Acha uongo makamishina wote wa tume lazima kwanza wawe ni wanachama wa FDC , na kwa taarifa yako katiba yao imempa madaraka yote Rais wa chama , yaani yeye ndio anaamua nani awe makamu wake, katibu mkuu na wajumbe wengine mbalimbali, katiba yao inafuata mfumo wa kijeshi interms of chain of command........na katoka mjeshi kaingia Mjeshi Muntu waliokuwa na Kiiza msituni wote ...............need to learn more?
 
tuntemeke ana hoja, na haigusi chadema pekee bali nccr, cuf, na ccm; vinginevyo tafiti nyingi sana (hata uki google) zinaonyesha kwamba, moja ya changamoto kubwa sana ya vyama vya siasa barani afrika ni weaknesses kwenye internal democracy; hili lipo chadema, cuf, ccm, nccr, na orodha inaendelea...;
word nadhani tukijikita ku-argue mambo kwa mtindo huu tutafika mbali sana.sio kukimbilia majungu tu
 
BILA SHAKA HAPA MTAONA KUWA NI KASKAZINI NA KUSINI VITANI.

BEN SAANANE ALIKUWA NA KUNDI LA AKINA MTELA MWAMPAMBA KWA MUDA MFUPI WAKAMGUNDUA KUWA AMETUMWA KUTAFUTA TAARIFA NA KUPELEKA KWA DR.SLAA
BEN SAANANE AMEKUWA AKIHAHA KUONANA NA ZITTO AMUWEKEE MZIGO(SUMU) ALIYOPEWA NA DR.SLAA

BAADA YA KUTIMULIWA KWA VIRUNGU KWENYE KUNDI HILO ,,AMEAMUA KUJA MITANDANONI NA KUJIPAMBANUA KWAMBA YEYE NI PRO SLAA NA MBOWE ,BILA SHAKA WOTE MTAKUBALI BEN SAA TISA HAKUWA HIVI SIKU ZA NYUMA

Nakumbuka ni wewe uliyemshambulia sana Mrema wakati anasimamia uchaguzi wa Arumeru na mpaka leo kumbe una bifu naye? Naweza kuthinitisha kuwa Molemo sio Mrema , fanyeni utafiti kama mnaweza mtagundua mnapambana na kivuli cha Mrema bila kujijua .

Sahihiso Nyakarungu Greyson hatoki Shinyanga , ametokea mkoa wa Mara Wilaya ya Serengeti .

Somo la Fdc limekuingia ? Naona umehamia kwenye ukabila .
 
Acha uongo makamishina wote wa tume lazima kwanza wawe ni wanachama wa FDC , na kwa taarifa yako katiba yao imempa madaraka yote Rais wa chama , yaani yeye ndio anaamua nani awe makamu wake, katibu mkuu na wajumbe wengine mbalimbali, katiba yao inafuata mfumo wa kijeshi interms of chain of command........na katoka mjeshi kaingia Mjeshi Muntu waliokuwa na Kiiza msituni wote ...............need to learn more?
hatuzungumzii Madaraka ya rais kijana,Tunazungumzia tume ya uchaguzi hapa tume huru...
 
Nakumbuka ni wewe uliyemshambulia sana Mrema wakati anasimamia uchaguzi wa Arumeru na mpaka leo kumbe una bifu naye? Naweza kuthinitisha kuwa Molemo sio Mrema , fanyeni utafiti kama mnaweza mtagundua mnapambana na kivuli cha Mrema bila kujijua .

Sahihiso Nyakarungu Greyson hatoki Shinyanga , ametokea mkoa wa Mara Wilaya ya Serengeti .

Somo la Fdc limekuingia ? Naona umehamia kwenye ukabila .
asante kwa marekebisho mkuu,Nadhani umenipata na umejiridhisha kwamba kuna marumbano ya pande mbili.
Somo gani la FDC yaani umejikita kwenye madaraka ya Rais na sio mfumo wa uchaguzi ndani ya chama.FDC WANATUME HURU YA UCHAGUZI SIO KAMA HII YA CHADEMA CHINI YA KATIBU MKUU
 
mkuu nipo pamoja na wewe katika hili kwamba demokrasia katika chaguzi hazipo kwenye vyama vyetu vya siasa hapa nchini tena kwa kiasi kikubwa.
Mimi nilikuwa naoanisha chadema na fdc kama vyama vyenye lengo la kuleta ukuombozi,ushauri wangu kwa chadema ni kuwa na tume huru.
Chadema lazima ifanye siasa za ushindani na zenye kuheshimu demokrasia kwanza ndani ya chama na baadae nje ya chama.
kwa nini ulinganishe na chadema na si ccm?
 
hatuzungumzii Madaraka ya rais kijana,Tunazungumzia tume ya uchaguzi hapa tume huru...

Tatizo unabishana bila hoja, umesema CDM iige kutoka Fdc, sasa unaelezwa kilichomo ndani ya Fdc badala ya kujibu unaanza kulialia, tume hiyo ya Fdc unajua ina wajumbe wangapi? Unajua wanateuliwaje? Unajua ni nani anayewateua? Kwa taarifa yako wanateuliwa na Rais wa chama . Sasa kama una hoja leta , unaweza kupata hayo ninayoyasema kwenye katiba yao .
 
Chadomo hawataki ushauri kabisa.Chama cha familia hicho

Wingu watu wanatumia kichwa kufikiri wewe unatumia makalio kufikiri kama viongozi hao wanarithisha watoto wao uongozi wewe kajampa nani watakurithisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Chadomo hawataki ushauri kabisa.Chama cha familia hicho

Wingu watu wanatumia kichwa kufikiri wewe unatumia makalio kufikiri kama viongozi hao wanarithisha watoto wao uongozi wewe kajampa nani watakurithisha nini?
 
Last edited by a moderator:
BAADA YA KUTIMULIWA KWA VIRUNGU KWENYE KUNDI HILO ,,AMEAMUA KUJA MITANDANONI NA KUJIPAMBANUA KWAMBA YEYE NI PRO SLAA NA MBOWE ,BILA SHAKA WOTE MTAKUBALI BEN SAA TISA HAKUWA HIVI SIKU ZA NYUMA

Kwi....kwi....kwiiiiiii.......
Tapeli la mwaka limepatikana leo.Limebanwa mpaka liko uchi wa mnyama linachekwa mpaka na watoto wadogo.

Wewe Kibaraka narudia tena kukuambia kama ni tume huru inatakiwa basi napendekeza majina matatu Shonza,Mtela na Mchange watuongozee jahazi.

Jamani njaa mbaya.Tangu asubuhi mpaka sasa umelipwa ujira wako kuitukana Chadema shilingi ngapi? Chadema ipo na itaendelea kuwepo hata ukasirike namna gani.

Ukiendeleza ukibaraka wako hivi usishangae ukaanza kufulia wanaume nguo za ndani.
 
Tatizo unabishana bila hoja, umesema CDM iige kutoka Fdc, sasa unaelezwa kilichomo ndani ya Fdc badala ya kujibu unaanza kulialia, tume hiyo ya Fdc unajua ina wajumbe wangapi? Unajua wanateuliwaje? Unajua ni nani anayewateua? Kwa taarifa yako wanateuliwa na Rais wa chama . Sasa kama una hoja leta , unaweza kupata hayo ninayoyasema kwenye katiba yao .
HUELEWEKI SOMA HAPA.Raia Mwema - Somo murua kwa Mbowe, Lipumba, Mrema kutoka kwa Kizza Besigye! UKIMALIZA NJOO UNAIMBIE NINI UMEJIFUNZA KIJANA
 
asante kwa marekebisho mkuu,Nadhani umenipata na umejiridhisha kwamba kuna marumbano ya pande mbili.
Somo gani la FDC yaani umejikita kwenye madaraka ya Rais na sio mfumo wa uchaguzi ndani ya chama.FDC WANATUME HURU YA UCHAGUZI SIO KAMA HII YA CHADEMA CHINI YA KATIBU MKUU

Hiyo tume ni tume ya watu watatu na majukumu yao ni ,
1. Kutengeneza karatasi za kura
2.
3.

Kwa kuwa umesema umewahi kuiona na kuisoma katiba ya fdc malizia mwenyewe ila wana majukumu matatu na ni tume ya watu watatu wanaoteuliwa na Rais wa Chama...........CDM wajifunze lipi hapo?
 
kwi....kwi....kwiiiiiii.......
Tapeli la mwaka limepatikana leo.limebanwa mpaka liko uchi wa mnyama linachekwa mpaka na watoto wadogo.

Wewe kibaraka narudia tena kukuambia kama ni tume huru inatakiwa basi napendekeza majina matatu shonza,mtela na mchange watuongozee jahazi.

Jamani njaa mbaya.tangu asubuhi mpaka sasa umelipwa ujira wako kuitukana chadema shilingi ngapi? Chadema ipo na itaendelea kuwepo hata ukasirike namna gani.

Ukiendeleza ukibaraka wako hivi usishangae ukaanza kufulia wanaume nguo za ndani.
unajipa stress yaani jiwe litoke damu.zaidi ya hapo ni bana unaitafuta tu report abuse ipo kwaajili ya watu kama nyie
 
Back
Top Bottom