Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Unapotumia neno 'Katiba yenu' inamaanisha haikuhusu.So stay away.

Katiba hii hii ndiyo iliyokifikisha chama hapa kilipo na kikakua kwa kasi.Hata katiba ya Jamhuri ya muungano kama ingeweza kukidhi matakwa ya wananchi na ustawi wa taifa kwa kasi nisingeona/tusingeona umuhimu wa kuibadili

So kwa Chadema kama kuna marekebisho ni madogo sana na hayana madhara kwa ustawi wa demokrasia kama alivyojaribu kuleta huyo traitor hapa.Mbona alipopewa facts ameishia kwenye personal vendatta? Nimelinganisha na ya chama kingine kwa kuwa mleta mada ana vinasaba vinavyohusika na huko kwa hiyo ni lazima nimkumbushe ya huko anakotoka/tumiwa

Sasa na wewe kwa kuwa umetumia msamiati wa 'Yenu' then kaa pembeni.
Ben,
Nimesema "yenu" kwa kuwa mimi sio mwanachama wa CHADEMA ingawa mnakula RUZUKU yetu sote karibu sh milioni 233 kila mwezi. Siwezi kukaa pembeni. Tunataka muwe bora zaidi ya hivyo mlivyo. Msiendeshe chaguzi za ndani ya chama kihuni.
 
Taabu kweli kweli yaani wewe hili jambo la kuangalia mfumo wa uchaguzi ndani ya chama si la msingi?Tafadhali tunapojadili mambo serious kama haya weka uanzi pembeni,jadili kilichopo na kama hakikuhusu kaa pembeni

Rudi kajipange umeonesha ushabiki/utumishi wako kwa MAGAMBA great thinker are careful.MPENDWA try nxt time
 
Ben,
Nimesema "yenu" kwa kuwa mimi sio mwanachama wa CHADEMA ingawa mnakula RUZUKU yetu sote karibu sh milioni 233 kila mwezi. Siwezi kukaa pembeni. Tunataka muwe bora zaidi ya hivyo mlivyo. Msiendeshe chaguzi za ndani ya chama kihuni.

Zitto aligombea na nani?
 
Zitto aligombea na nani unaibu katibu mkuu bara? Acha fitna zako , mbona huyo husemi ama shida ni Slaa tuuu na sio demokrasia?
Ndio maana nasema lipo tatizo kwenye kuchaguana uongozi wa Taifa wa chama hiki. Kwa mujibu wa katiba yao viongozi wote hawakuchaguliwa kihalali.
 
Ben,
Nimesema "yenu" kwa kuwa mimi sio mwanachama wa CHADEMA ingawa mnakula RUZUKU yetu sote karibu sh milioni 233 kila mwezi. Siwezi kukaa pembeni. Tunataka muwe bora zaidi ya hivyo mlivyo. Msiendeshe chaguzi za ndani ya chama kihuni.

Ni kanuni zipi za uchaguzi zilikiukwa?je kuhusu uchaguzi kuahirishwa?provision ya katiba imetolewa kwamba uchaguzi unaweza kuahirishwa kwa muda wa mwaka mmoja

Kama una uchungu na RUZUKU kama unavyojaribu kuleta unafiki mbona huangalii katiba za CUF,CCM,TLP na vyama vingine?mbaya zaidi hausemi ni kanuni na kipengele kipi cha katiba kimevunjwa.Huyo mwingine kaleta upotoshaji hapa tukarejea katiba akaishia kwenda personal na hatimaye akapotea kabisa.

-CHADEMA tusonge mbele,anayetaka kukosoa kwa manufaa kama ni mwanachama wa CHADEMA atafanya hivyo kwenye vikao.Ambaye si mwanachadema ana uhuru wa kuandika chochote ili mradi asipotoshe coz we are here to stay na hatutaacha kuweka record straight

-By the way,kama utakua free kesho karibu mahakamani Rufaa ya Lema itasikilizwa Kesho.Njoo uangalie jinsi serikali inavyotumia kodi yako kwa maslahi ya chama tawala kisiasa kwa sababu hii kesi ni very unnecessary
 
Ndio maana nasema lipo tatizo kwenye kuchaguana uongozi wa Taifa wa chama hiki. Kwa mujibu wa katiba yao viongozi wote hawakuchaguliwa kihalali.

Kikwete aligombea na nani?
Mangula alichukua lini fomu ya kuomba uongozi na aligombea na nani?
Kinana alichukua lini fomu ya kuomba uongozi ndani ya Ccm na aligombea na nani ?

Jifunze , then jadili
 
Labda bwana Tuntemeke hajui anachokiongea ama anamlenga Lipumba. Kiiza Besigye ameshagombea urais wa Uganda zaidi ya mara mbili, CDM hakuna kiongozi aliyewahi kugombea urais zaidi ya mara moja. Besigye kakiongoza chama hicho toka kuundwa kwake, chadema kimeshakuwa na wenyeviti watatu, makatibu wakuu watatu katika miaka yake 20 tangu kuanzishwa kwake. Sijui unapozungumzia kuachiana madaraka una maanisha nini. Kwa kumbukumbu sahihi wale wanaopiga chapuo la ukabila na kutokuwa na demokrasia kumbuka, Mwenyekiti wa kwanza wa CDM ni Edwin Mtei (Mchaga), Katibu wake Marehemu Bob Makani (Msukuma), Bob Makani (Mwenyekiti wa pili), Dr. Amani Waridi Kabourou (Katibu mkuu) - Kigoma.

Freeman Aikaeli Mbowe (Mwenyekiti 3 - Mchaga), Dr. Wilbrod Peter Slaa (sahaa) Katibu wa sasa Muiraqwi. Katika umri huo wa miaka 20, baadhi ya vyama vya siasa Tanzania na wenyeviti wao CCM - 3 A. H. Mwinyi, B. W. Mkapa, J. M. Kikwete. Makatibu wakuu kama 7 hivi, Marehemu Horace Kolimba, ................. nimewasahau, Philip Mangula, Lt. Makamba, Mukama, Kinana. CUF James Mapalala, Prof. Lipumba katibu (wenyeviti), Maalim Seif (katibu .... wa maisha?), UDP John Momose Cheyo (Mwenyekiti), Marehemu Amani Nzugile Jidulamabambasi (Mwenyekiti kwa mapinduzi ya muda mfupi). NCCR, Mabere Nyaucho Marandu, Augustin Lyatonga Mrema, James Mbatia (wenyeviti). TLP Mwenyekiti wa kwanza alimuachia chama Augustino Lyatonga Mrema, akamtimua ktk chama, vingine kama DP mwenyekiti ni Mchungaji Christopher Mtikila (His personal property?).

Tuntemeke kati ya hivi vyote, ni kipi chenye kufanya chaguzi za kidemokrasia kwelikweli? Mtafute Profesa Safari muulize akupe uzoefu wake. Vipi Hamad Rashid wa Wawi? Kafulila ......., Na vipi kura za maruhani za Kizota unajua kilichotokea? CHADEMA walipobaini ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi wa BAVICHA na tuhuma za rushwa kwa BAWACHA, walionesha njia walifuta chaguzi hizo 2010. Chama kipi kingine kilichoweza? (Reference CCM 2012, rtushwa mpaka mwenyekiti katoa machozi, je walithubutu kufuta chaguzi za ndani zilizogubikwa kwa rushwa?). Besigye amerun out of time na kaliona hilo ndiyo maana ameamua kung'atuka.NINA IMANI NA CHADEMA OYA OYA OYA!!!! NINA IMANI NAYE MBOWE OYA OYA OYA!! NINA IMANI NA SLAA OYA OYA OYA!!! CHADEMA KWELI KWELI, KWELI KWELI KWELI KWELI CHADEMA, KWELI, KWELIII, KWELI KWELI KWELI KWELI CHADEMA!!!!!!!!!!!!!
 
Ni kanuni zipi za uchaguzi zilikiukwa?je kuhusu uchaguzi kuahirishwa?provision ya katiba imetolewa kwamba uchaguzi unaweza kuahirishwa kwa muda wa mwaka mmoja

Kama una uchungu na RUZUKU kama unavyojaribu kuleta unafiki mbona huangalii katiba za CUF,CCM,TLP na vyama vingine?mbaya zaidi hausemi ni kanuni na kipengele kipi cha katiba kimevunjwa.Huyo mwingine kaleta upotoshaji hapa tukarejea katiba akaishia kwenda personal na hatimaye akapotea kabisa.

-CHADEMA tusonge mbele,anayetaka kukosoa kwa manufaa kama ni mwanachama wa CHADEMA atafanya hivyo kwenye vikao.Ambaye si mwanachadema ana uhuru wa kuandika chochote ili mradi asipotoshe coz we are here to stay na hatutaacha kuweka record straight

-By the way,kama utakua free kesho karibu mahakamani Rufaa ya Lema itasikilizwa Kesho.Njoo uangalie jinsi serikali inavyotumia kodi yako kwa maslahi ya chama tawala kisiasa kwa sababu hii kesi ni very unnecessary
Mmevunja katiba yenu wala sio kanuni. Katiba ikishaandika wagombea watakuwa wawili hakuna kanuni inayoweza kulibadili hili. Nawachukia sana watu wanaochezea katiba. Hilo la Lema unataka kuhamisha magoli tu.
 
Umechukua hatua gani kwa hao unaowachukia kwa kuvunja/kuchezea katiba?
Au ni maneno maneno tu nyuma ya screen ili upitishe siku?
Nimelisema wazi hili. Bahati nzuri viongozi wenu wengi na ninyi wenyewe mnapita humu. Bila shaka kuna kitu mtafanya hata kama hamtanishukuru kwa hilo!
 
Kikwete aligombea na nani?
Mangula alichukua lini fomu ya kuomba uongozi na aligombea na nani?
Kinana alichukua lini fomu ya kuomba uongozi ndani ya Ccm na aligombea na nani ?

Jifunze , then jadili
Hawa CCM wana katiba yao. Au najadili hoja hii na vilaza?
 
Usiishie hapo tu, soma pia 7.7.13 (c) na utafahamishe ni akina nani waliokuwa wagombea wa nafasi za Naibu Katibu mkuu, kama kweli uko objective katika hoja yako.
Mwita Maranya,
Haujazisoma hizi posts tangu mwanzo. Hili tumeliona.
 
Mkuu Tuntemeke haya yoote uliyoandika hapa una maana gani, sikuelewi kwa maana unataka wasomaji wakuelewe vipi??? Wewe ni kada wa upande wa pili au umetumwa kazi maalumu au vipi??? Waambie jamaa kuwa tupo macho, safari ya kuwatoa ikulu imeiva wacha ya Uganda jamaa kakata tamaa au ana mbinu mpya, hapa lazima tuwanganganie hadi kieleweke, subiri zamu yako utaandikia chooni!!!

kwa nini usiifananishe chadema na M23 ya congo?
mnafiki mkubwa wewe.
 
Aliyeshikwa kashika na aliyeshika kashikwa na mwisho wa siku wote WAMESHIKANA badala ya KUSHIKAMANA!! Huu mjadala nimeufuatilia kwa karibu na kugundua kuwa una WENYEWE na wenyewe ni waarabu wa PEMBA wanaojuana kwa VILEMBA!!
 
Mwita Maranya,
Haujazisoma hizi posts tangu mwanzo. Hili tumeliona.

Ni kweli, inawezekana baadhi ya post zako zote sijazisoma lakini nyingi nimezisoma.
Nilichokuwa nakusudia hapa mimi ni kujadili tukiwa objective, kwakuwa tangu mwanzo inaonekana dhahiri shairi mnaelekeza mashambulizi kwa Katibu Mkuu bila kutazma mchakato wote wa uchaguzi uliendaje.

Si kila jambo linalojadiliwa na baraza kuu ama kamati kuu linatangazwa hadharani, mambo mengine ni ya ndani ya chama chenyewe, kwahiyo kama huna taarifa fulani ni vizuri kuuliza kwanza kabla ya kuanza kurusha mashambulizi bila kuujua ukweli.
 
Tuntemeke..! Wakati mwingine amini kukaa kimya huficha ujinga uliomjaa mtu.
Unaifahamu historia ya TANU-CCM ya Nyerere?
Mbona kama ni u analyst still uko mweupe sana, maana si kweli CDM hakitambui nafasi na haki za wanachama wake
Bt kutoa kwako povu kuna sababu ya msingi
By the way
Kumbuka kisa cha mzee Malecela pale Chimwaga 2005

Muulize kwanini Mwenyekiti wa CCM hachaguliwi kama wanajua demokrasia? (huwa anapendekezwa na kupigiwa kura). Hata kama kura za hapana zikishinda utaishia kudanganywa kuwa mwenyekiti kashinda kwa asilimia 98. Wakiona mambo magumu wataaamua kura zipigwe kimikoa ili kushughulikian.a. Hiyo ndio demokrasia anayoitaka Tuntemeke
 
Back
Top Bottom