Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Wewe ndio punguani mkuu yaani unakubali kusifia mfumo wa uchaguzi ndani ya chadema ili hali unaoana wazi unakiuka demokrasia halisi???
KATIBU MKUU NDIYE MSIMAMIZI MKUU WA UCHAGUZI,JE AKIAMUA NA YEYE KUGOMBEA INAKUWAJE>>>>???
ATASIMAMIA UCHAGUZI NA ATAOMBEA YEYE MWENYEWE,ATAJIHESABIA KURA?ATAJITANGAZIA MATOKEO???
HAYA NDIO MAMBO YA KUJADILI SIO KUKIMBILIA KWENYE MATUSI

Ulitaka kati ya Mtela,Shonza na Mchange nani agawe form?
 
ONGEZA JINGINE,NAONA UTAPOTEZA MUDA WAKO MWINGI SANA KUNI RUSHIA MAWE LAKINI KATU SITOKI DAMU UKACHEKELEA
SWALI LANGU,Mfumo wa uchaguzi ndnai ya chama chetu CHADEMA ni wakidemokrasia?Jibu ndio au hapana with reasonable reasson.
MATUSI wala kwangu hayana nafasi

Hivi wewe kibaraka eti Chadema ni chama chako?
 
Nimesoma makala yako lakini nimeshindwa kuona ukubwa wa tatizo unalojaribu kuwaaminisha watu. mbona hujaisema ccm ambayo nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti zilikuwa na mgombea mmoja peke yake?

Mimi nafikiri kabla ya kuleta mada ungetuchambulia kanuni za uchaguzi ndani ya CDM zinasemaje? uambatishe na nakala ya kanuni hizo nasi tuzisome kisha tufuatilie mjadala na kutoa hoja? nimejaribu kusema hivyo kutokana na ukweli kuwa hata Marekani tunayoisifu ina demokrasia mfumo wake wa uchaguzi umewekwa misingi ambayo hata akiingia fisadi hawezi kuzibadilisha.

Vilevile wameweka msingi imara katika Taasisi ya Urais kiasi kwamba hata rais awe fisadi hawezi kufanya ufisadi wake wala kukiuka kanuni hizo. Ndio maana Bill Clinton kwa kufanya uzinzi na yule mwanamke kama asingeomba radhi na kujutia kosa lake alitakiwa mara moja ajiudhuru nafasi yake ya urais.

Haya ndiyo yanayojenga tofauti na uchaguzi na uongozi wetu na ule wa marekani.

Ungefaa pia utupatie mifano halisi ndani ya Chaguzi za CDM ni nani aliomba na akakatwa jina lake au akachakachuliwa matokeo yake na kupewa mwingine kama ilivyo kwa vyama vingine. ukifanya hivyo itatusaidia wengine kuchangia tukiwa na uelewa wa pamoja.

no research no right to speak
 
Ni wa kidemokrasia sana, maana fomu za uenyekiti na makamu wote hazitolewi na wanagombea na vimvuri, Secretariat nzima inachaguliwa na mwenyekiti. wewe unataka Demokrasia ipi zaidi ya hiyo?
Hapo kwenye red kamanda naomba kukurekebisha mwenyekiti hafanyi uchaguzi wa wajumbe wa secretarieti bali anafanya uteuzi.
Uchaguzi ndani ya chama chetu si wa kidemokrasia kwa sababu Msimamizi mkuu wa uchaguzi yumo kwenye chain of command ya chama.
Je Katibu mkuu akiamua kugombea nafasi yoyote ndani ya chama nani atasimamia uchaguzi??Maanayake ni kwamba yeye mwenyewe katibu mkuu atajichukulia fomu,atajihesabia kura na atahesabu na za wengine.
Hivi Matola huoni hapo kama si demokrasia?
CHADEMA haiwezi kuunda tume huru ya uchaguzi isiyohusishwa watu waliomo kwenye ushindani wa madaraka na amaamuzi???
 
Amegilizia makala ya johnson mbwambo ya raia mwema toleo liliopita, hana hoja zaidi ya unafiki, je lipumba alishandana vipi kuupata uenyekiti wa CUF , majungu yatawamaliza baadhi ya vijana wa kitanzania ambao wamenyimwa fursa za kuwa wezi na mafisadi.

Ndiyo uwezo wake umeishia hapo mkuu.Copy and paste
 
UNGESEMA HIVI AN OLD WINE IN A NEW BOTTLE!!!!!
LAKINI ni umasikini wa fikra kuacha kujadili kama kinachozungumzwa kina mantiki kwa chadema au La???wewe umejaa matusi tu,Pole mimi ni jiwe sitoki damu

Mbona hujanitajia hizo chaguzi za Chadema ambazo zimekiuka demokrasia?
 
TUNTEMEKE Mkiti wa Tume atakuwa Habib Mchange,Makam mkiti atakuwa Juliana Shonza na Katibu atakuwa Mtela Mwampamba.Hiyo ndiyo tume huru
 
Last edited by a moderator:
assuredly4 Mfumo wa uchaguzi ndani ya chadema,Ni kwamba wagombea wote wanyadhifa za juu ndnai ya chama watachukua fomu zao za kugombea kwa Msimamizi mkuu wa uchaguzi mabaye ni katibu mkuu wa chama.Baada ya hapo Katibu mkuu amabaye ni msimamizi mkuu wa uchaguzi na jopo lake watapitisha majina ya wagombea kwa kuangalia sifa na mamabo mengine ya kikatiba.
Sasa je kumpa mamlaka katibu mkuu kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ndani ya chama ni ukomavu wa demokrasia,Je hali hiii haifungui mianya kwa uchachuaji au upendeleo.
Mkuu NDANI YA CHADEMA uchaguzi pekee halali uliowahi fanyika ni ule uliomuweka Madarakani Mzee Bob Nyange makani ule ndio ulikuwa uchaguzi halali na wakiushindani ndnai ya CHAMA ambapo mzee Ndesamburo alibwagwa vibaya na mzee Bob Makani.
 
Last edited by a moderator:
Amegilizia makala ya johnson mbwambo ya raia mwema toleo liliopita, hana hoja zaidi ya unafiki, je lipumba alishandana vipi kuupata uenyekiti wa CUF , majungu yatawamaliza baadhi ya vijana wa kitanzania ambao wamenyimwa fursa za kuwa wezi na mafisadi.

Ndiyo uwezo wake umeishia hapo mkuu.Copy and paste
 
TUNTEMEKE Hivi unataarifa kuwa CCM ndicho chama pinzani mioyoni mwa zaidi ya nusu ya raia wa Tanzania...ingawa hili linatarajiwa kuthibitishwa 2015?

Nikirudi kwenye mada yako, uimara wa demokrasia ndani ya chama chochote cha siasa lazima uambatane na kutekeleza kwa vitendo maagizo yote yanayotokana na katiba ya chama, kanunu na miongozo yote inayowezesha kuimarika kwa chama kama wanachama wa chama hicho walivyokubaliana katika taratibu walizojiwekea.

Kwa tuhumu zako dhidi ya CHADEMA juu ya kulegalega kwa demokrasia ndani ya chama ni jibu haya yafuatayo:-

1) Je. Umewahi kutumia taratibu mlizokubaliana nyinyi wanachama wa CHADEMA (kama kweli wewe ni mwanachama wa
CHADEMA) kuendesha na kuimarisha umoja, demokrasia ndani ya chama chenu kutoa mapendekezo yako hayo kwa
nia njema ili chama kiimarike na kuwa chama kitakachopewa jukumu la kuongoza nchi hii ya Tanzania 2015?

2) Kama jibu lako hapo juu ni ndiyo tupe maelezo ya kina juu ya kilichotokea na kama jibu ni hapana tupe pia maelezo ya kina juu ya uamuzi wako huo.
 
Last edited by a moderator:
Mkiti wa tume awe Habib Mchange.Makamu Mkiti awe Juliana Shonza na Katibu wa Kamati awe Mtela Mwampamba.Hiyo ndiyo tume huru.
Ficha upumbavu wako,Unajitahidi kuvuruga hoja lakini ngoma ya watoto haikeshi.
Swali ni kwamba kama CHADEMA kunanafasi ya kuund atume huru ya kusimamia chama kama ilivyo FDC huko Uganda.Hii itaondoa chokochoko zozote kama zile za 2009 za kukata majina ya watu.
 
Hapo kwenye red kamanda naomba kukurekebisha mwenyekiti hafanyi uchaguzi wa wajumbe wa secretarieti bali anafanya uteuzi.
Uchaguzi ndani ya chama chetu si wa kidemokrasia kwa sababu Msimamizi mkuu wa uchaguzi yumo kwenye chain of command ya chama.
Je Katibu mkuu akiamua kugombea nafasi yoyote ndani ya chama nani atasimamia uchaguzi??Maanayake ni kwamba yeye mwenyewe katibu mkuu atajichukulia fomu,atajihesabia kura na atahesabu na za wengine.
Hivi Matola huoni hapo kama si demokrasia?
CHADEMA haiwezi kuunda tume huru ya uchaguzi isiyohusishwa watu waliomo kwenye ushindani wa madaraka na amaamuzi???

-Acha kupotosha watu hapa.Ni nani alikuambia kanuni na muongozo wa uchaguzi ndani ya CHADEMA ni rigid namna hiyo?

-Kinachotakiwa katika ukuzaji wa demokrasia ni flexibility katika democratic process.

NB:Kwenye harakati za FDC ulizofanyia comparison na za CHADEMA hebu nieleze ni harakati gani zimefanikiwa kwa kuikaribia CHADEMA?
Besigye ni Mwanasiasa mzuri ila amekua tu akibadili majina ya harakati zake kisiasa kama A4C,Walk to Work(W2W) na mengineyo mengi
 
TUNTEMEKE......una akili sana, ongeza bidii zaidi
 
Mfumo wa uchaguzi ndani ya chadema,Ni kwamba wagombea wote wanyadhifa za juu ndnai ya chama watachukua fomu zao za kugombea kwa Msimamizi mkuu wa uchaguzi mabaye ni katibu mkuu wa chama.Baada ya hapo Katibu mkuu amabaye ni msimamizi mkuu wa uchaguzi na jopo lake watapitisha majina ya wagombea kwa kuangalia sifa na mamabo mengine ya kikatiba.
Sasa je kumpa mamlaka katibu mkuu kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ndani ya chama ni ukomavu wa demokrasia,Je hali hiii haifungui mianya kwa uchachuaji au upendeleo.
Mkuu NDANI YA CHADEMA uchaguzi pekee halali uliowahi fanyika ni ule uliomuweka Madarakani Mzee Bob Nyange makani ule ndio ulikuwa uchaguzi halali na wakiushindani ndnai ya CHAMA ambapo mzee Ndesamburo alibwagwa vibaya na mzee Bob Makani.

kwenye red. Ahsante Sheikh Yahya II.
 
Hapo kwenye red kamanda naomba kukurekebisha mwenyekiti hafanyi uchaguzi wa wajumbe wa secretarieti bali anafanya uteuzi.
Uchaguzi ndani ya chama chetu si wa kidemokrasia kwa sababu Msimamizi mkuu wa uchaguzi yumo kwenye chain of command ya chama.
Je Katibu mkuu akiamua kugombea nafasi yoyote ndani ya chama nani atasimamia uchaguzi??Maanayake ni kwamba yeye mwenyewe katibu mkuu atajichukulia fomu,atajihesabia kura na atahesabu na za wengine.
Hivi Matola huoni hapo kama si demokrasia?
CHADEMA haiwezi kuunda tume huru ya uchaguzi isiyohusishwa watu waliomo kwenye ushindani wa madaraka na amaamuzi???

-Acha kupotosha watu hapa.Ni nani alikuambia kanuni na muongozo wa uchaguzi ndani ya CHADEMA ni rigid namna hiyo?

-Kinachotakiwa katika ukuzaji wa demokrasia ni flexibility katika democratic process.

NB:Kwenye harakati za FDC ulizofanyia comparison na za CHADEMA hebu nieleze ni harakati gani zimefanikiwa kwa kuikaribia CHADEMA?
Besigye ni Mwanasiasa mzuri ila amekua tu akibadili majina ya harakati zake kisiasa kama A4C,Walk to Work(W2W) na mengineyo mengi
 
-Acha kupotosha watu hapa.Ni nani alikuambia kanuni na muongozo wa uchaguzi ndani ya CHADEMA ni rigid namna hiyo?

-Kinachotakiwa katika ukuzaji wa demokrasia ni flexibility katika democratic process.

NB:Kwenye harakati za FDC ulizofanyia comparison na za CHADEMA hebu nieleze ni harakati gani zimefanikiwa kwa kuikaribia CHADEMA?
Besigye ni Mwanasiasa mzuri ila amekua tu akibadili majina ya harakati zake kisiasa kama A4C,Walk to Work(W2W) na mengineyo mengi
Yes nakubali sio RIGId.
Je ni lini zilibadilishwa?/AU kanuni hizo ni automatic???
HARAKATI ZA CHADEMA kwanza kabisa bado hatujazifikia hata zile za NCCR za mrema.FDC adhani wamefika mbali zaidi kwa kushawishi watu,Ni lini CHADEMA ilishawishi watu wasiingie maofisini ili serikali isikie maombi yao??
CHADEMA ndio kwanza tunainuka,Kiiza ni jeshi la mtu mmoja asingekuwa Mseven mbabe serikali yake ingekuwa chini siku nyingi.

ONYO:Naona uwezo wako wa kufikiria umeanza kuzorota sijajua ni kwanini.
 
Tuntemeke..! Wakati mwingine amini kukaa kimya huficha ujinga uliomjaa mtu.
Unaifahamu historia ya TANU-CCM ya Nyerere?
Mbona kama ni u analyst still uko mweupe sana, maana si kweli CDM hakitambui nafasi na haki za wanachama wake
Bt kutoa kwako povu kuna sababu ya msingi
By the way
Kumbuka kisa cha mzee Malecela pale Chimwaga 2005

Mkuu Kisa cha Malecela pale Chimwaga umempeleka mbali sana, hivi kilichofanyika katika kumuengua Sita kwenye kugombea nafasi ya Usipka ni Democrasia ile? Ningemuelewa sana angesema Tanzania bado vyama vya Siasa havina Democrasia ya hali ya juu na siyo kuinyooshea Chadema dole lake, sitaki kukizungumzia sana kinachomfanya aiandame sana Chadema kwani watu wote tunaomfahamu tunajua anatapatapa baada ya maslahi yake binafsi kuingia mchanga ndani ya CDM, hiki kijamaa ni kabinafsi sana kinastahili kupuuzwa tu, mkate wake ndani ya chama umedisturbiwa basi anajifanya anakosoa chama kwa nia njema, nijuavyo mimi ndani ya Chama kuna vikao halali anauwezo wa kuyasema haya yote, kwasababu kwa mtu anayekipenda kweli chama chake hawezi kukivalia njuga hadharani kwa hoja dhaifu namna hii
 
Back
Top Bottom