Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
Je, hamutaki mafuta?? Au daladala zenu zatumia kuni na makaa? hao wametremka mchana kweupe kwenye uwanja wa kimataifa KIA...... ulimwengu wa kibiashara acha protocol ifanye kazi yake.wanataka nini hawa watu,au kwa sababu jamaa yao anamaliza kazi mwakani ndio wanataka nini?watatumalizia wanyama wetu hawa,jamani tumake twendeni KIA kulala pale
View attachment 133844
wewe LunoG acha kumtukana Yesu!! shame on you.... umekurupuka!yesu wanyama wetu
Mkuu umenena (well said) WaTanzania tunajitambua tupo makini huu ni utalii wa kisasa madamu inalipa... Go tembo Go..Acheni hizo aisee! Tembo, twiga, simba, fisi, nyati, pundamilia, kenge, mbuni, ngedere na hata nyani, ni wanyama ambao hawapo hatarini kutoweka duniani. Wamejaa tele mbugani. Waacheni Waarabu wazoe ilhali wamefuata taratibu na kulipia. Wanyama wetu! Wanyama wetu! Mna mnyama nyie? Mnyama uliye naye ni yule aliye nyumbani kwako, ok?
weka picha
Mpendwa Francis kweli, Lakini kila taifa na hulka yake!! Wamarekani hujaga na makachero/CIA/FBI wao... waDRC hujaga na vinyaganyiro wao... Waengeraza hujaga na fimbo ya malikia wao!! Wazee wa V (italia) hujaga na unga wao (sembe)... hakuna noma!! Kama unazo tumia bado wamehishimu umaskini tulonao, hii ingelikuwa safari ya kwena states hapo kila vijitu moja ndege moja!! beliv me.!! God blessings hizo non to STOP. omba na wewe upewe....sasa vijitu 50 dege lote hilo la nini.., au ndio wamekuja kufanya shopping ya tembo na twiga..?
Mkuu Fido ; huachi hizo zako!!.... Mwarabu anakuletea mbadala 'MAFUTA" ....Oil for Tembo !! na Tende kwa twiga!!Wazungu wanakuja kushangaa makalio ya tembo wanatuachia waarabu hawafai.
Hapo kuna wadau matumbo yanachemsha!!WanduguuEee mlikuwa huku Arusha na K'jaro njooni muone lindege likubwa ...likiondoka hakuna lingine ....mtabakia na tundege twa faniii!
nilidhani kuna picha
Nawe pia ni jukumu letu sote.
Usilete udini kwenye issue ya rasilimali ya taifa
Wanaume wameteremka na hili pipa :-
haya shime shime tuelekee KIA........ulinzi shirikishi hoiyeeeee.........
Je, hamutaki mafuta?? Au daladala zenu zatumia kuni na makaa? hao wametremka mchana kweupe kwenye uwanja wa kimataifa KIA...... ulimwengu wa kibiashara acha protocol ifanye kazi yake.
Mkuu Fido ; huachi hizo zako!!.... Mwarabu anakuletea mbadala 'MAFUTA" ....Oil for Tembo !! na Tende kwa twiga!!
Biashara (uza v/s nunua) Tumekuja nunua TEMBO,TWIGA,SWALA,FARU,nk... Leteni bei sasa!! @ per head......