... tangu lini mambo binafisi ya kiutumishi kati ya mwajiriwa na mwajiri yakawekwa public?Mkuu Hilo tangazo Lina shida gani?
---+Maganga alikataa uteuzi wa Samia kuwa mkuu wa wilayaMkuu Hilo tangazo Lina shida gani?
Sasa unalia lia lia nini Mwalimu Maganga Japhet? Kwani ukiombwa lazima upewe? Wewe una wiki moja tu ya kukabidhi ofisi huko CWT na kuripoti Temeke ukafanye kazi uliyosomea, mwalimu wa somo la Maarifa darasa la 4.View attachment 2759551
Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa.
Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais.
Hapa busara haijatumika zaidi ya msukumo wa kisiasa na uchawa tu, fanyeni kazi ya Kuisaidia serikali kutatua kero kwa Wananchi ndipo mtawafurahisha wakubwa na wananchi pia sio kila nyakati mpambane kufanya vihoja vya kichawa chawa
Atakuwa alikula peke yake,wameamua kumnyoosha.Sasa
Sasa unalia lia lia nini Mwalimu Maganga Japhet? Kwani ukiombwa lazima upewe? Wewe una wiki moja tu ya kukabidhi ofisi huko CWT na kuripoti Temeke ukafanye kazi uliyosomea, mwalimu wa somo la Maarifa darasa la 4.
Eti hapa unajiita Lord Lofa , imekula kwako Big time
Nyumba ndogo ya huyo tapeli wa CWT inahaha itabadilisha vipi mawigiMkuu Hilo tangazo Lina shida gani?
Barua imeandikwa Kwa capital letters Mwanzo mwisho, sio Kwa hasira hizoView attachment 2759551