Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

It's been estimated that one out of every two hundred women
is born with an extra nipple.

Nadhani ff wewe ni moja kati ya hao mia2.mana ni mbishi,afu unaonekana ni mfupi kama mfuko wa cement!
 
Rostam anasema kwamba ameng'atuka BAADA ya NAPE na CHILIGATI ambao ni WAKRISTO Kumwita yeye ROSTAM (Ambaye ni Mwislam) GAMBA KUU HATARI KWA MUSTAKABALI WA CCM

NINI MSIMAMO WAKO?
kumbe huna data!
Aah, ngoja niipotezee hii taarab
 
Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.

umemsahau mtetezi wa Riz1 na J.Makamba, anaitwa Radhia Ally

Rostam ni handsome - nukuu kutoka kwa FF
 
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
10001016.jpg

Mvulie basi tujue moja.ila hawezi kukula mana umezeeka mean wewe ni kikongwe,na unangozi yenye makunyanzi.utaishia kumsifia tu.
 
Mradi umekubali kuwa ni ji handsome kila upenyo, tosha kabisa. Hiyo nayo ni sababu tosha ya kukufanya umchukie, si tunawajuwa wachawi walivyo. Wala sishangai.
 
Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..

Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?
Ritz hafichi Hisia zake inaonyesha yupo CCM kwasasa kwasababu Rais kikwete ni ustaadh/maalim/alhaj.... lakini hataki Chadema kwasababu kuna Slaa ambaye siyo Padri bali amewahi kuwa.
 
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
10001016.jpg

"beauty is in eyes of beholders"duh,unanchekesha!!
 
Kwanza jipange kwa kujuwa unachokiuliza, lakini tutaanza kwa kukufunda taratibu usiwe na shaka, ili siku nyingine ukiuliza swali au maswali uelewe tofauti yake, haya anza kwa kuuliza huku ukiwa umejipanga vizuri ili ueleweke.
Mara nyingi kakibanwa kanatafuta njia ya kutokea kajinga haka, kuna ugumu gani kujibu mtu akisema ana maswali na akakuuliza swali. Kapotezeeni hakana majibu
 
Soma post #94 au hukuyapenda hayo majibu?
 
"beauty is in eyes of beholders"duh,unanchekesha!!

Pochi la huyu bwana hata Mtikila kisha liona.

Halafu si umeliona, halija ji "enhance" kwa nywele za maiti wala weupe wa kwenye "nkebe", "Orijino". MashaAllah.
 
Hapo nilipokuwekea rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya lugha yetu tamu ya Kiswahili, ungeandika "anaandika" tosha kabisa bila hiyo "ga", usingejulikana kuwa ni wakuja.
Hivi wewe @#$%@#^#^ unajua maana ya wakuja? Kwa mimi mtu wa Mwanza hapa Dar ni wakuja, kwa Kikwete wa Bagamoyo hapa Dar ni wakuja na FaizaFox na Tempolale hapa JF ni wakuja.
 
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
10001016.jpg

Sasa nimegundua FaizaFox ni mwanamke wa namna gani, ngoja nimuweke kwenye ignore list ili nisiweze kuona ushuzi huu, unajua hawa ndiyo waliomchagua Kikwete kwa kigezo kwamba ni Handsome hivyo atapendeza kwenye Noti zetu!!!!!! Hii mijitu bwana ndiyo maana wajanja wame-Capitalize wakaandika kwenye misahafu yao ili waweze kuyaoa mpaka minne kutegemeana na hamu yako.
 
Kwa kuwa umemtaja Kikwete, sasa nataka wewe unijibu:

Barabara za lami kabla ya Kikwete na Baada ya Kikwete kilomita ngapi?

Shule za Sekondari?

Vyuo Vikuu?

Waalimu?

Zahanati?

Tuanza, nna kuhakikishia utadondokea puwa. Ulitaka tulichaguwe jitu ambalo hata kusema huyu ndio Rais wangu unaona haya? unanini wewe? vitendo huendana na muonekano. Kikwete mzuri na mambo hayo muhimu yote kayafanya vizuri, wacheni chuki zenu bila mpango.
 
Back
Top Bottom