Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Kwa kuwa umemtaja Kikwete, sasa nataka wewe unijibu:

Barabara za lami kabla ya Kikwete na Baada ya Kikwete kilomita ngapi?

Shule za Sekondari?

Vyuo Vikuu?

Waalimu?

Zahanati?

Tuanza, nna kuhakikishia utadondokea puwa. Ulitaka tulichaguwe jitu ambalo hata kusema huyu ndio Rais wangu unaona haya? unanini wewe? vitendo huendana na muonekano. Kikwete mzuri na mambo hayo muhimu yote kayafanya vizuri, wacheni chuki zenu bila mpango.

Usitoke kwenye Mada waweza anzisha Thread nyingine tutakuja Kujadili
 
Mpaka Page ya Tisa sijaona jibu ,nitarudi kesho tena ..
Miaka 50 ya uhuru tumejaribu tumeweza na tunasonga mbele ............................hii kauli mbiu sijui ya wapi.
 
And you will never see it, Kajipumzikie tu Mama wa Nchi
 
Naona umekurupuka, pitia page namba 5 post #94 halafu uiweke hapa utwambie ni nini hicho? ukishindwa kufanya hivyo tutajuwa kuwa jibu umeliona lakini hukulipenda na huwezi kulitungia ngonjera.
 
Mnalikwepa lakini nnaelewa kuwa mmeshindwa kulitungia ngonjera. Page namba 5 post #94 mbona hamuitaki hiyo? vipi imewakaa kooni?
 
Mpaka sasa hivi naona kama mchezo wa Pwagu na pwaguzi, swali linaeleweka lakini mlengwa anashindwa kujibu.
 
Kwanini nimjibie Rostam wakati mwenyewe kaweka wazi kila kitu? Mnanchekesha.

Soma zaidi:

Naona umekurupuka, pitia page namba 5 post #94 halafu uiweke hapa utwambie ni nini hicho? ukishindwa kufanya hivyo tutajuwa kuwa jibu umeliona lakini hukulipenda na huwezi kulitungia ngonjera.

Dada FF pole na majukumu ya kazi

Mtoa mada alipenda kusikia toka kwako .. Nini Kauli yako ..lakini kwa vile umesema huwezi kumjibia Rostam inaonekana ka swali kagumu..
siku njema mpenzi ...siko powa leo mamaangu...
 
Kwa kuwa umemtaja Kikwete, sasa nataka wewe unijibu:

Barabara za lami kabla ya Kikwete na Baada ya Kikwete kilomita ngapi?

Shule za Sekondari?

Vyuo Vikuu?

Waalimu?

Zahanati?

Tuanza, nna kuhakikishia utadondokea puwa. Ulitaka tulichaguwe jitu ambalo hata kusema huyu ndio Rais wangu unaona haya? unanini wewe? vitendo huendana na muonekano. Kikwete mzuri na mambo hayo muhimu yote kayafanya vizuri, wacheni chuki zenu bila mpango.

Faiza Foxy acha kujitoa fahamu wakati wewe n mtu mzima na akili zako timamu, na huwa nachukia sana viongozi wa CCM mnaposimama majukwaan nakuanza kueleza moja ya mafanikio ni kama hapo kwenye red.
Kwani jukumu la Serikali ni nini???
 
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
10001016.jpg

Hizi ni tabia za vichenchede!!
unashobokea wallet na sura!!

Holy Crap!!
 
Umeshindwa kujibu unajizungusha tu!!

Tushajua maoni yako kuhusu misimamo ya CCM kuhusu Rostam.

Thread closed.

Hakika Amejivua Nguo na Kubaki kama alivyozaliwa sasa hata wale waliomtuma hapa Jamvini watajua Msimamo wake

Mkuu Umemaliza Kila kitu yaani

UMECONCLUDE VYEMA SANA
 
Let us break for a commercial Break na si Mbaya tukikumbushana haya

1. Dk Daudi Balali

2. Benjamin William Mkapa

3. Patrick W.R. Rutabanzibwa

4. Nimrod Elirehema Mkono

5. Andrew J. Chenge

6. Basil Pesambili Mramba

7. Grey S. Mgonja

8. Nazir Karamagi

9. Rostam Aziz ( Akina Nape Wanadai wamelivua kutekeleza Maagizo ya Dr. Slaa)

10. Edward Lowassa

11. Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Back
Top Bottom