Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Kwako Bibiye FaizaFoxy

Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).

Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.

Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)

Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway

Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako

Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA

Wako Albedo

Kwanza kabisa unasema "maswali yangu" halafu naliona swali ni moja tu. hebu jipange upya, ni maswali au swali?
 
kwanini usinge m pm au ulitaka utuongezee mada zisizo na kichwa wala miguu hapa
 
Mpaka uwe na kichwa cha kuchambua mambo vinginevyo kitendo cha kuvaa gamba tu ni ukilaza
 
Usilete ulegelege katika kujibu hoja, jibu kama ulivyoulizwa siyo kujibu swali juu ya swali

Nijibu swali au maswali? naomba myapange hayo maswali au swali lenu, hamueleweki na nna kila haki ya kuelewa nnachoulizwa kabla ya kukijibu. Sikurupuki.
 
Kikongwe na majibu rojorojo kama mwenyekiti wa chama chake!

Jipangeni upya, hapa mmefika, mje na swali au maswali lakini msije na "maswali" halafu mnauliza swali, Unanchekesha! Kwanza kabisa unatakiwa unaeuliza ujuwe unachokiuliza, kama unaeuliza hukijui unachouliza kama ni swali au maswali unategemea nini? jibu au majibu?
 
Nashukuru mjukuu wangu kunisahihisha..kwa nini Pro-CDM JF mnataka Padre awe rais? Jibu basi

-

Mbona mgumu kutoa Marahaba wewe babu?

Dr Slaa anafaa na ana uwezo Wa kuwa Rais bora kuliko mtu yeyote katika CCM
 
Jipangeni upya, hapa mmefika, mje na swali au maswali lakini msije na "maswali" halafu mnauliza swali, Unanchekesha! Kwanza kabisa unatakiwa unaeuliza ujuwe unachokiuliza, kama unaeuliza hukijui unachouliza kama ni swali au maswali unategemea nini? jibu au majibu?

wewe ndo unajibu usichokijua
 
Kwako Bibiye FaizaFoxy

Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).

Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.

Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)

Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway

Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako

Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA

Wako Albedo

Kwanza jipange kwa kujuwa unachokiuliza, lakini tutaanza kwa kukufunda taratibu usiwe na shaka, ili siku nyingine ukiuliza swali au maswali uelewe tofauti yake, haya anza kwa kuuliza huku ukiwa umejipanga vizuri ili ueleweke.
 
Jipangeni upya, hapa mmefika, mje na swali au maswali lakini msije na "maswali" halafu mnauliza swali, Unanchekesha! Kwanza kabisa unatakiwa unaeuliza ujuwe unachokiuliza, kama unaeuliza hukijui unachouliza kama ni swali au maswali unategemea nini? jibu au majibu?

Wewe huwa unajipa upofu kwenye hoja zenye ukweli ndani ya chama chako.
Nakubali kuwa wewe ni Ajuza(hilo siwezi kataa) ila usitake wanajamvi waamini kuwa hujaelewa alichoandika bwana ALBEDO.
Usitake kuleta kisingizio cha kuzeeka kuwa ni ngao ya kutokujibu hoja za wanajamvi.
Wewe ndo ujipange upya na ujibu hoja ya mtoa mada.
 
Nijibu swali au maswali? naomba myapange hayo maswali au swali lenu, hamueleweki na nna kila haki ya kuelewa nnachoulizwa kabla ya kukijibu. Sikurupuki.

Kwakwo kikongwe faiza.
{Swali} ni neno la kiswahili lenye kuonyesha umoja.
{Maswali} ni neno la kiswahili linaloonyesha wingi.
Sasa kama waona kuna swali moja we jibu.
Kama unaona kuna maswali mengi jibu pia.

Acha kuwa na majibu rojorojo kama mwenyekiti wenu.
 
Mbona mgumu kutoa Marahaba wewe babu?

Dr Slaa anafaa na ana uwezo Wa kuwa Rais bora kuliko mtu yeyote katika CCM

Je kwa CDM hakuna mtu yoyote mwenye uwezo anafaa kuwa rais tofauti na a loser Dr Slaa?
 
Kwanza jipange kwa kujuwa unachokiuliza, lakini tutaanza kwa kukufunda taratibu usiwe na shaka, ili siku nyingine ukiuliza swali au maswali uelewe tofauti yake, haya anza kwa kuuliza huku ukiwa umejipanga vizuri ili ueleweke.
Mhhh!!! Hizi ni dalili za kukosa majibu!!! Kumbe haya maswali ni magumu kiasi hiki hadi mtu anajiumauma kujibu!!?? Duh.....!!!
 
Back
Top Bottom