Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Kwako Bibiye FaizaFoxy

Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).

Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.

Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)

Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway

Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako

Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA

Wako Albedo
 
Hujampatia mfumo wa kujibu yaani; ajieleze au iwe ni YES-NO answer? Mimi naomba ajieleze! Naona leo anaingia shift ya asubuhi, bado hajafika na wale magamba walioingia shift ya usiku ndio wanakabidhi ripoti
 
Yuko Huru
 
FF, Kishongo, MS, Rejao na Ritz.
Hawa watu nawakubali sana. Wanawapelekesha sana watu hapa JF!
Big up guyz
 
Subiri badala ya kadi utaambulia matusi hata kama si kwake wale magamba wengine
 
Mfanyabiashara yeyote hatakiwi kuwa kiongozi wa CCM au serikali yake.
 
Unamuuliza Gamba kuhusu ubaya wa Gamba!!!???
Kesi ya Nyani,
hakimu Ngedere
 
Kwako Bibiye FaizaFoxy

Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).

Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.

Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)

Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway

Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako

Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA

Wako Albedo

Nani kakwambia Ritz ni CCM? unashangaza
 
Umemuuliza kilaza swali zito sana na itamchukua muda sana kujibu .Maana watu hapa wanadhani RA alijiondoa kwa kelele za Nape na yeye akasema siasa a maji taka alikuwa na maana JK anamzunguka kwenye malipo ya dowans ndiyo source ya yey kujiondoa naMkulo anaju siri yote .Nape hajafanikiwa kumvua mtu Gamba .Haya wacha tungojee FF aje na majibu kama si upupu
 
Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..

Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?
 
Albedo
Una maana kwamba kwa jibu lolote atakalotoa FF wewe unavaa gamba? au kuna jibu unalolitegemea kuwa zuri kwako ili uvae/usivae gamba? naona kama kuna utata hapo kidogo.

Mfano haya yakiwa majibu ya FF, jee utavaa gamba?

<
Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi (NO), GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway

Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? (NO) Nataka Kufahamu Msimamo wako >

Maana hayo pia yanaweza kuwa ni majibu kwa swali lako!
 
kinachokusumbua ritz ni huo upadre? Wenzio tunataka fikra pevu za kizalendo sio za kuchekacheka na kuhongwa suti
 
Back
Top Bottom