DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

Mbunge na madiwani wako sahihi, yeye alifanya kama mfadhili hivyo akomae.
Pesa za serikali hazifanyiwi maamuzi na mtu mmoja
 
Mimi ndiyo ninavyoelewa maana ya machinga. Hii ni biashara iliyofanywa maarufu miaka yo 90 Dar. Vijana kutoka mtwara walikuwa wanatembeza bidhaa kama nguo, viatu, dawa za mswaki, sabuni etc...
Wengine ndiyo wakaanza kutegesha kwenye masoko kama ya Tandika, Stereo, Mwananyamala ...
Baadae wakaanza mpaka masoko makubwa kama ya kariakoo, wakaanza mpaka kuwa mbele ya maduka.

Demand ya wamachinga ni kubwa na itakuwepo kwa muda mrefu, wajiamini tu na wawekewe sehemu maalum mbalimbali lakini siyo kwenye masoko makubwa na mbele ya maduka ya watu. Kuendekeza hili hakutatuletea maendeleo yeyote ya maana, unakuwa unaua formal bussineses.

Huo ndiyo ukweli.
 
DC hana hoja hapa. Akope yeye halafu halmashauri ilipe kwani ilimtuma?
wapi kasema alipwe. mimi huyu mtu sijawahi kumkubali japo simjui wala hakijui na hajawahi kunikosea lakini kuna watu huwa inatokea huwapendi tu bila sababu, ila kwa hili namtetea wapi kasema nirudishiwe.
 
Mbunge na madiwani wako sahihi, yeye alifanya kama mfadhili hivyo akomae.
Pesa za serikali hazifanyiwi maamuzi na mtu mmoja

Ishu ngumu ni kwamba hizo fedha alizokopa kienyeji eti zikafanye kazi Kwenye eneo / Ardhi ya halmashauri
Hicho kitu ni kigumu Mteja wa gigy money hapo amechemka.
Labda akanunue Ardhi yake sehemu nyingine ndio apeleke huo Mkopo wake wa kuwasaidia hao wamachinga
 

Sasa na wewe unatuletea taarifa za msondo wewe kama nani? na kwanini unataka tujue taarifa ambazo hauwezi kudhibitisha,?
 
Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.
cc: @ tume ya maadili ya utumishi wa umma
 
Hawa ndio wanaitwa wanasheria wasomi?
Hawajui sheria za manunuzi ya umma?
Kuwa huwezi kuamua mwenyewe bila vikao halali?
Weko kitengeneza njia ya kugombea ubunge..shame on him
 
Atafanyaje bila kushirikisha Full counci ?? Akatwe tu kwa kweli madiwani washikilie hapo hapo ili watu wajifunze kuwa na mipaka ya kiutendaji
 

Kimsingi huyo Mteja wa gigy money amechemka.
Yaani unakopa hela kibinafsi unataka ukaziwekeze Kwenye eneo la halmashauri tena kienyeji.tena mbele ya jengo la kisasa la soko sehemu ambayo imetengwa kwa ajili ya parking ya Wateja yeye ajenge vibanda vya wamachinga? Kinyume kabisa na design na mipango ya hilo soko.

Haikubaliki kabisa kukopa hela ili uwekeze Kwenye eneo la halmashauri bila baraza la madiwani husika kurizia.
Jamaa kachemka labda anatafuta Kik tu Kama Malaya wake Gigi money anavyosema

https://www.facebook.com/
 
Machinga lazima wapangiwe maeneo maalum

Huwezi kuwa na mji iliozagaa meza za muda, matandiko, mioto ya mapishi na chaos tu

Mji lazima uwe na mfumo wake wa kupumua

Msigeuze agenda serious kuwa political token
 
Mkuu wabongo ni issue sana mtu kajitolea lakn bado maneno kibao,
 
Tunaongelea habari ya yeye kuwasaidia wamachinga mkuu...

hiyo mambo sijui traitor, msaliti wa demokrasia, muuaji mkubwa, mkandamizaji wamachinga wa morogoro hawaijui, hata sisi wengine hatukuelewi labda uje na ushuhidi
Naona mnaupiga wa Kitoto sana Kwa huyu msanii
 
Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.
Unajua vyanzo vyake vingine vya mapato nje na u DC? Msando ndo alivyo, sikuzote hupenda kujitoa na kutatua matatizo kwenye jamii inayomzunguka. He is not perfect ila anajitahidi. Kazi ya uongozi mwenye nafasi yoyote ile motive sio pesa ila kuleta suluhu ya matatizo yaliyopo.
 
Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.
Wewe mkuu hauko siriazi,Mimi Nina watoto wanne,na mke nimejenga,na ninaishi vizuri kwa mshahara wa sh 200,000/ ije kuwa yeye na sh.800,000/?
 
Hulalagi wwe!?
au huna mume!
mida ya wanga hii

Nalalaga sana tuu
Mume ninae, wewe huna mke!?
Ikiwa mida ya wanga kwako sio kwa kila mtu, usikariri kwamba wewe ukilala lazima kila binadamu awe amelala! Sijui unaelewa!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…