Nimekutumia mfano wa jinsi ya kufanya malipoTatizo kulipa bill ya maji kwa kutumia simu. Transactions unavailable, kuna tatizo gani?? Account yangu 90086494 nipo Kerege ccm Bagamoyo. Jina ni Joseph Abdala Lebai
....majungu !Dawasco watoe vyeo kufuatia elimu za wafanyakazi wake,inaleta shida eti mtu ana diploma ndio anakuwa meneja wa kituo au wilaya halafu mtu ana digrii yake anakuwa msoma mita tu,hii inawavunja moyo wa kufanya kazi
Ok, nimeona ila very user unfriendly!Nimekutumia mfano wa jinsi ya kufanya malipoView attachment 776660View attachment 776662View attachment 776663
DawasdaNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866View attachment 721128
Mbona haujibu au unakunywa kahawa
Ndugu wana JamiiForums,

Dawasco mimi nina shida bomba la mtaa wa feza nyuki road huwa linakatika ni kutokana na lipo barabarani na magari hukanyaga kwahiyo maji yanamwagikaga mengi mno mpk panafurika sasa dawasco wenyewe wanapita hapo hapo na wanaona mimi nimesha litengeneza mwenyewe maana ukiita mtu wenu hatokei.sasa last week hatimaye wakatokea mafundi mara wakasema tuwalipe 30000 kwa ufundi hivyi kwanini mnakuwa hivyo toka lini mnaomba mlipwe kwa kazi yenu na ni bomba lipo barabarani sasa tutaanza wapiga picha na kuwaanikaDawasda
Anajisaidia !Mbona haujibu au unakunywa kahawa
Kama ndio nifikiriavyo basi huu ni Mfumo mbovu sana. Kila mwezi mnanitumia kumbukumbu namba nyingine?? Nikiipoteza hiyo kumbukumbu namba ndio nianze tena kulimbikiza madeni au nianze kuja kuja ofisini kwenu kufuatilia??Nimekutumia mfano wa jinsi ya kufanya malipoView attachment 776660View attachment 776662View attachment 776663
Nakuunga mkono mfumo mbovu kuwahi kutokea yani kulipa bili ni kazi balaa. Tatizo huwezi lipia kidogo ukilipa no inakua haitumiki mpaka upate no ingine nimechukia snKama ndio nifikiriavyo basi huu ni Mfumo mbovu sana. Kila mwezi mnanitumia kumbukumbu namba nyingine?? Nikiipoteza hiyo kumbukumbu namba ndio nianze tena kulimbikiza madeni au nianze kuja kuja ofisini kwenu kufuatilia??
Itapendeza kila mteja awe na kumbukumbu namba ya pekee na ya kudumu. Mfumo huu wa malipo ya bili UNATAKIWA UWE USER FRIENDLY KWETU SISI, sio nyie, kama ukiwa kwa wote basi vizuri ila kipaumbele ni sisi! Nyie mjipange, sasa nashangaa mnakuwa na mfumo ambao ni user friendly kwenu badala ya kuwa user friendly kwetu sisi. Nimejaribu kulipa bili nimekwama kisa sijatumiwa bado kumbukumbu namba, mfumo mbovu sana huu.
Labda kama sijaelewa huu mfumo mpya wa malipo, ebu nielewesheni.
DAWASCO