Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

1000626428.jpg
 
Haya anayotusimulia Yoga yamekaa kama hadithi lakini ya kutisha

Fikiria vikosi vya jeshi viwe viwili, kimoja kinamtii huyu na kingine kinamtii yule, idara za usalama mbili, hawa wanapokea order kwa huyu na wale wanapokea kwa yule. Mwisho wa hili picha lazima watapima nguvu tu
Hilo usemalo linatokea Sudan Kusini, Sudani (Kaskazini), na Ethiopia.
 
Ss mbona
Video tunawekewa za nyuma? Mwendo wa picha tu?
Anyway ngoja tusubiri mdibani
Ni mzima wa afya tele...atakuepo msibani ..tena hao Mungu ndio huwalinda zaidi ...je hamjui neno la Mungu lasema japokua dhambi zenu zi nyekundu kama damu....
Namjua tu mbunge mmoja hivi anatibiwa kwa siri nyumbani...naye Hali yake sio nzuri sana.
 
Back
Top Bottom