kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,543
- 2,142
Google katibaHahaaaa
Hivi majukumu ya vice ni yep?
Google katibaHahaaaa
Hivi majukumu ya vice ni yep?
TayariIla unazingua 😆😆😆
Kwani ile previous convoo haipo?
Mpaka hapa tulipofika nimekata tamaaKazi ipo....
Ila Tanzania inatoka mikononi mwa wahuni hawawezi kutubagaza hivi
Usikate tamaa, maana haiishi mpaka iishe!Mpaka hapa tulipofika nimekata tamaa
Walishapimana...na upande mmoja ukasalimu amri....watapima nguvu tu
Nimeuliza makusudi ili niwasaidie ambao hawana D2 za kuelewa kinachoendeleaGoogle katiba
Though sijapataTayari
Wala ht usikate tamaaaMpaka hapa tulipofika nimekata tamaa
Hii ni hatari kubwaWalishapimana...na upande mmoja ukasalimu amri.
Kumbuka upande mmoja unaweza kutumia vifaa vya upande mwingine lakini upande mwingine haudhubutu kutumia vifaa vya upande mmoja!!! Upande mmoja unapata ruzuku maradA dufu ya Upande mwingine...
.hilo tu linatosha kuonyesha Upande mwingine haiwezi Hata siku moja kuwaza kupimana nguvu na upande mmoja!!!
Nimeisha agiza suti langu jeusi full kuanzia koti na shati na suruwale na kiatu hadi soksi black tiiiTulia tu na jogoo lako mpk tangazo rasmi
Tangazo Gani?Tulia tu na jogoo lako mpk tangazo rasmi
Wafungwa hupewa msamaha na rais siku ya uhuru hahahaaaa Bradiga Sataya haka hayo ni maswali fikirishi a.k.a chokonoziIla nacheka
Kipindi cha magu ilikuwa hivihivi mtu ana hali mbaya mpk anaondoika wanakaa kimya!after 10 days+wanakuja kutuambia
Naomba kuuliza ,hivi wafungwa huwa wanapewa msamaha na rais lini?
Hakafu kwann pm ndo anaveba majkumu ta rais na sio vice?
Hahaaa hatariiijNimeisha agiza suti langu jeusi full kuanzia koti na shati na suruwale na kiatu hadi soksi black tiii
Umenitisha na dislike, MtumishiHahaaa hatariiij
NimechekaWafungwa hupewa msamaha na rais hahahaaaa Bradiga Sataya haka hayo ni maswali fikirishi a.k.a chokonozi
Huwezi amini nilijua ile emoji ya😷Umenitisha na dislike, Mtumishi
Kuna siri anaijua. ( Inahitaji uwe wa ndani sana rohoni, au kwenye circle ya mfumo wao wa siri )Nimecheka
Naona msemo wa nabii Denis
Hivinile dec 8 wakati pm anaongea hakutoa taarifahiyo pia?
Kuna kitu kinanipa shida kwann vice km hasikiki?
Hahahaha, usijariHuwezi amini nilijua ile emoji ya😷
Sorry hahaaa