much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,066
- 21,542
Hapana ila mungu hajampangia badoKwamba yeye ni immortial
Hapana ila mungu hajampangia badoKwamba yeye ni immortial
Anagain uaminifu wa mpewa zawadi....uaminifu unaotokana na hofu ya yanayoendelea na kumuona mtoa zawadi ni rafiki wa kweli maana amesimama naye kwenye nyakati hizi ngumu. Katika uaminifu huo ndipo atazidi kusimama kama injiniHapana , fikiria motive za mtoa zawadi × nini anagain ×nini angelose = kajipiga risasi miguuni wakati safari mbichi haimake sense
Ile aliyeandika alisema ana test mitambo jmn hakusema anekufaWatu wanapenda na tetesi kipindi Cha kampeni waliwahi kumzushia JK mpaka mwenyewe akajitokeza na kukanusha
Sijapenda 😠Wa afya tele😂
hahaha aiseee.....😂😂😂😂😂 sasa mahii, hii ya kurudia unatonesha vidondaa.
Yaan mie nikiona ndani ya story kunae huyo mtoa zawadi, nachukia na kukereketwaa, yaan naumia hatariii.
Sasa wee mahii, mko huko koridoni mnashindwa namna ya kumng'oa kucha huyo mtoa zawadii?? 😂😂😂😂😂
Afu vipi kuhusu mpokea zawadi, tunasikia tetesi eti anao anao, jeee?? Kulikoniii??
Tujuzeeee
Cost yake ni kubwa kuliko reward , Kama tunaamini mtoa zawadi Ana akili na resourcesAnagain uaminifu wa mpewa zawadi....uaminifu unaotokana na hofu ya yanayoendelea na kumuona mtoa zawadi ni rafiki wa kweli maana amesimama naye kwenye nyakati hizi ngumu. Katika uaminifu huo ndipo atazidi kusimama kama injini
Yaani unapata shida na mtu anaemiliki na kutawaliwa na spirit of deathSijapenda 😠
SikupingiHuyu ni mpiga zogo tu na kuungauna stori
BalaaNaona mbogamboga washaanza kuanguka mmoja mmoja
MsibaniWhere is V P?
😳😳Wa afya tele😂