Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ukiangaliga zile sizoni , SI waga Kuna previously....... 😂
😂😂😂😂😂 sasa mahii, hii ya kurudia unatonesha vidondaa.
Yaan mie nikiona ndani ya story kunae huyo mtoa zawadi, nachukia na kukereketwaa, yaan naumia hatariii.

Sasa wee mahii, mko huko koridoni mnashindwa namna ya kumng'oa kucha huyo mtoa zawadii?? 😂😂😂😂😂

Afu vipi kuhusu mpokea zawadi, tunasikia tetesi eti anao anao, jeee?? Kulikoniii??
Tujuzeeee
 
Mtoa zawadi kajipanga Hata wale dissdents walioko Ng'ambo, ni projects zake. Kuna mtu aliuliza bi Dada msema ovyo...aliwahi kushambulia Matunda ya mtoa zawadi live? Jibu sikupewa....the so called 'sauti ya radi' Hata na 'expired kitengo' naye ni projects za mtoa zawadi!!!

The "gudi singi' mtoa zawadi ana sucession plan robust!!!

Image kama mtoa zawadi alikuwa amemuweka kwapani "muhabhana" ...Kuna kazi ndogo hapo?
===
Acha tuchezewe shere...hadi tupate mfalme wa Thailand.
Naanza kuelewa.
 
Back
Top Bottom