Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Kwani Yoga = buyobe ??
Yoga alishawahi kulalamika humu Buyobe alikuwa anaiba na kukocopy baadhi ya episodes za humu Vilevile nyingine kuzimodify kidogo na kupost kwenye account yake ya X na nyingine kuuza kwenye Magroup wake.

Mpaka Wadau wa humu tukamtukana Buyobe wengine wakaenda mpaka X kumchana aache wizi
 
Ni nchi gani uliona maandamano ya watu milioni 2 tuanzie hapo
Mkuu mara nyingi nimekua nikisema watu wawe watulivu wa kusoma na kuelewa.
Sijasema watu wote milion 2 wataandamana kwa pamoja. Nachosema kama Kuna watu million 2 hawakubaliani na kinachoendelea basi hata mkiua wataondamana dec 9, bado kuna wengine watajitokeza tarehe nyingine, nao mkiua watajitokeza wengine tarehe itayofuata. Hapoo ndio swali langu lilipo mtaua wote hao?
 
Nimekuelewa Mkuu... Nimekosa mimi
 
Back
Top Bottom