Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Mkuu maana yangu si hiyo unayodhani,
Maana yangu ni kwamba wewe ukimwita Yoga jukwaani mara moja hutiririka.
NB, Yoga hakusema ni jumamosi ya tarehe gapi, so mwacheni huenda ana darasa la yoga huko mahotelini

Asante Mkuu kwa kuniongezea siku maana imenilazimu kucheka. Bado Nina imani na yoga . Yatakuwa masuala ya kiufundi ndiyo yamemkwamisha. Si bure.
 
Inashangaza sana Britannica kuwa kimya muda mrefu tena kwa wakati muhimu kama huu
Huenda amejichimbia wameamua wafanye kweli kuiponya nchi maana last seen yake ni Friday japo hakucomment wala kutoa uzi wowote. TumainEl yeye hajaandika chochote tangu muda mrefu japo tabiri zake juu ya huyu aliyejitwalia urais zinazidi kutimia. Kuhusu TA yeye nadhani tangu uzi wake wa Brother hajawahi kuonekana popote humu jukwaani
 
Back
Top Bottom