Wee em tutolee uoga wako, kujifanya ni mjeda kumbe huna lolotee.Jamn kuna SMG mpya za kisasa kabisa msijaribu watu wanazifanyia mazoezi ya shabaha tulieni nyumban haya
Kwa kweli atulizane, 😂😂😂😂Usiogope mama la mama hata ukitulia home utafuatwa
😂😂😂😂😂😂Tatizo lako umelegeza sana sauti
Fursa ipii? Unataka kuwa catering? Au chief cook? Wee si mjeda jamanii?? Tena MP.Je ujaangalia upande wa fursa kupitia mtandaoni?
hiyo DP yako imenistuaa nikahisi account yako imekua hacked😆😆 hebu thibitisha are yu yu?🤣🤣🤣🤣🤣
Hana kikao chochoteYoga yuko kwenye kikao na simu zao zimeshikiliwa. Wakitokq happ atapost
Who r u?😅😅😅😅hiyo DP yako imenistuaa nikahisi account yako imekua hacked😆😆 hebu thibitisha are yu yu?
Huwa nina maswali yangu, mfano Kuna watu milion 2 hawakubaliani na kinachoendeea, mtaua watu milion 2??Jamn kuna SMG mpya za kisasa kabisa msijaribu watu wanazifanyia mazoezi ya shabaha tulieni nyumban haya