Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Inakuwaje kwenye Sehemu zenye rasilimali huwa kuna kuwa na waasi, vita na mapambano ya kila aina, angalia Sudan ya Khartoum, kundi moja ana fadhili Marekani, kundi la pili Saudi Arabia anafadhili, wanapiganishwa, huku hao mabwana zao wakichukua rasilimali za Wasudan kiulani
Muamerika akita rasilimali hasubili vita hata makampuni yanayochimba madini na yanayomiriki vitalu vya madini ni ya wazungu wao wanakupiga mikataba hayo machafuko ni nyie wenyewe kama mkitendeana haki hakuna atayebeba siraha
 
Back
Top Bottom