Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,785
- 103,669
Na wabongo tulivyo vichwa maji, tunabebwa tuuHuu uzi tayari umeshakuwa kama wa kula tunda kimasihara maana visa tu makisio mtu akijisikia anatupa tu humu randomly.
Na wabongo tulivyo vichwa maji, tunabebwa tuuHuu uzi tayari umeshakuwa kama wa kula tunda kimasihara maana visa tu makisio mtu akijisikia anatupa tu humu randomly.
au sio!Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Kweli au ??Born town down
Sio kwel hyo n spinning inatengenezwa ikitokea wananchi wakalazimisha mabadiliko basi awe amepotea kama daudi balali.. ngoja tuone yajayoo!!!Born town down
Si alikua na tezi dume yule?Kaumwa lini?
Kaumwa nini?
Kawa down hospitali ipi?
Yoga kasema walimchezea kwenye sehemu ya muwako ila injini inafanya kazi , kwa hiyo jamaa bado anadunda hawajapiga kwenyeweBorn town down
I just want to know if fast fastman is still breathing please update.👉If he makes it.......it will be a miracle!! Pray for him!!
👉 Don't be manipulated, the cabal is still alive, they have catched the ignition but not the engine!!
Wait and see!! ....... Good night!!
UsnichTunapiga doria tu humu
Mwongo weweAmbao amja elewa if he makes it bwana pole pole
The cabal mzee alie goma kustaafu bado yupo yupo sana pigo alija mpapasa vilivyo
sio mwongo bali hajui.hajui kwasababu hajaelewa maana hiyo sentence.kuna mwingine huko juu katafsiri kuwa slow slow hajamalizwa,anakuja kwa upya.Mwongo wewe