Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,924
- 32,336
Tesha mmemzikia wapi ?Tukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Tesha mmemzikia wapi ?Tukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Naamini kabisa milioni hawafiki, tena wenye power hata 1000 hawafiki.kuiogopa dola isiyozidi watu milioni 1.
Tunakusubiria mkuu.Tukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Ila sisi watanzania baana tuna matatizo makubwa sana. Tunapenda kujua vitu lakini hatuko tayari kuvifanyia kazi wala kuvipush vifanye kazi. Tunapenda sana umbe umbea tuu na hata walioko jikoni wakitutonya yanayoendelea hata hatuchukui hatua yoyoteYoga nawe unaremba remba si ufunguke kwa maslahi ya wa tanzania.....naanza kuamini we ni wamchongo huna jipya
Tukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Hahahahaha!! unalinda mbupu zako nini mkuu ?Nikiweka original version ya huu ujumbe utanihisi kichaa wengine watasema nimevuta bangi... Kiufupi hakuna ninalolijua ila nilijitahidi kudecode kulingana na upepo mwenendo wa mambo yanavyokwenda kampunini.
Ni tag tafadhali. Muda huo inabidi nisitishe majukumu niwe live.Tukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Ni hatari Mkuu...nimeona ninyooshe maelezo.Hahahahaha!! unalinda mbupu zako nini mkuu ?
1. India, Kashmir terror attack.
View: https://youtu.be/5D8VpnjXtyc?si=E3QzKZ2PBUAqEmNL
View: https://youtu.be/lqvvP5W4zgc?si=ljpMBaNsM8eII9Cp
Waziri mkuu akiwa ziarani Saudi Arabia.
Kuna hii pia ya watu kuchinjwa a huko Songea.Ni hatari Mkuu...nimeona ninyooshe maelezo.
Pia nimewahi Ona matukio ya kimataifa kama miezi 2 hadi mmoja kabla matukio hayajatukia mfano operation ya majeshi ya Israel ktk ukanda wa Gaza, kifo cha Rais wa iran(hii niliiandika katika nyuzi hii baadae ilivyotokea kweli niliogopa sana nikaamua kufuta), ajali ya ndege ya Jeju airline kule Korea na ile iliyofuatia, Kifo cha waziri wa usafilishaji wa Urusi.
Na mengine kama haya...
Thread 'Kwa kilichotokea Washington DC, USA, S.Korea na jengo la TRA Moderator mtakua na cha kujifunza' https://www.jamiiforums.com/threads...ra-moderator-mtakua-na-cha-kujifunza.2303005/
View: https://youtu.be/J4uvZzmAL6w?si=cOxl9o_FXisLjk8n
Nimekutana na Habari hii ya watu watano kuuawa kwa kuchinjwa, ni tukio linalohusisha migogoro ya wakulima na wafugaji.
tukio hili linaendana na maono haya kwa kigezo kimoja, ambacho ni; kipindi naona mtu anachinjwa ni tulikua mazingira ya zizi la ng'ombe na ng'ombe mmoja alikua amelala chini, katika eneo hilo tulikuwa watu watano wawili wachinjaji mmoja aliyekua anachinjwa alafu wawili tulikua pembeni tumewapa mgogo wachinjaji ni kama tulikua tunasubili zamu yetu kuchinjwa maana tulijawa na hofu huku tukiwa tumekata tamaa, liwalo na liwe nikiwa pale sikutaka kushuhudia mwezangu akichinjwa na kutapatapa, hivyo niligeukia pembeni... Nil kumbe baada ya yule wenzetu kuchinjwa na sisi tulifuatia kuchinjwa , na kuna wengine sehemu nyingine walishambuliwa jumla usiku ule walichijwa watano. Ni Habari mbaya na ya huzuni tumewapoteza ndugu zetu katika mgogoro huo
.Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Saa tano ya TZ au nchi nyingine...maana muda ushafikaTukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Hana lolote amefulia huyoSaa tano ya TZ au nchi nyingine...maana muda ushafika