kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,543
- 2,142
HahahaTukutane December 2025 😂😂
HahahaTukutane December 2025 😂😂
Kama hatufiki december vile.Muda unazungumza
Yoga Leo unajibu Kila reply, Kuna nn!? situmekubaliana tukutane December, Hahaha nasubria story zako, December 01😂😂😂 Labda unijui, I smile and laugh every time, sooo tukutane December, tchaooooooo🚣
Athibitiwe na naniIli tanzania ipone KIKWETE adhibitiwe
Wanu hafidh huyooo🫡🫡😂 Duh!! 😂😂 Utakuja kuelewa badae sana #tukutanedecember
Mambo ya kolito sio, teh teeh tehNilipoona aliyetembeza kichapo Lugalo Enzi za mkoloni anarudi kwa Kasi na kuboresha miundombinu yake kule kasoro dimbwi nakajua amehakikishiwa barizi la maana! Hakuna Tena changamoto ya awali alipostukiwa Kwa hiyo, Wenye Kampuni waweke Maji kichwani tayari kinyozi afanye kazi yake.
Natamani ni jibu lakini tuupe mda mdawake, uliowataja hawana shida, shida ni hao "wateja"yoga , hii vita ya wanamtandao vs Pro Magufuli ,unahisi inalisaidia taifa??
Coz Pro Magufuli wanapambania ugali wao kwa kujiita Wazalendo! Mtandao nao vilevile wanalinda maslahi yao!
Ukiangalia kwa jicho la tai, haya makundi ni tatizo coz hakuna hata moja lenye nia thabiti la kulisaidia taifa!
Wateja wa kampuni wanacheza ngoma wasiyoifahamu!
Huwa nawaambia tatizo kuu la elimu yetu ni kufanya watu wasifikiri kwa kutumia fikra tunduizi! Tunaendeshwa sana na mhemko, papara,pupa na hisia!
Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Coded messageUjumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Ooh meeeenUjumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.