Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Haya
 
Loh...
 
Daah hii imepitajepitaje bila kusemwa humu?
 
Nikiweka original version ya huu ujumbe utanihisi kichaa wengine watasema nimevuta bangi... Kiufupi hakuna ninalolijua ila nilijitahidi kudecode kulingana na upepo mwenendo wa mambo yanavyokwenda kampunini.
Basi hongera kwa karama uliyo jaaliwa na Mwenyezi Mungu. Katu usikubali ipotee huenda ikaja saidia watu wengine.
 
shida ni hao "wateja"
Unaweza kuwalaumu 'wateja' kama ukitumia hisia,mhemko,papara,hasira na pupa! Ila ukitumia fikra tunduizi huwezi kuwalumu coz wametengenezwa kuwa hivyo!

Naamini huku kutojitambua kwa wateja kumefanywa makusudi kupitia elimu mfu na masuala ya kiroho! Coz haiingii akilini watu zaidi milioni 60 kuiogopa dola isiyozidi watu milioni 1.

Hata kama wana kila aina ya nyenzo huwezi kuuzuia umati wa watu milioni 60 kama wakiamua kuuundoa unyonyaji na ukandamizaji wanaofanyiwa na dola!

yoga , unahisi huu ukondoo na unyumbu wa wateja kwa dola yao ni wa kawaida???
 
Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Duuuh
 
Ramli
 
Back
Top Bottom